Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

storynzuri sehemu ya arobaini na tisa shemeji ingiza pole pole




.
.
Sehemu ya Arobaini na tisa
Mtunzi INSTAGRAM @hanscharlz @storynzuri
.
Ilipoishia "nilitoa tabasamu huku nikiwa na asilimia 100% za kumshika kwenye sekta ya mapenzi kwani alionekana kunisikiliza sana?"
.
Basi nilikata simu ya Erick na kuendelea na shughuri nyingine zangu hapo hotelini huku mawazo yangu tuuuu ni mda basi ndipo iliponibidi kuweka alamu ili mda utakapofika uniwezeshe kuniweka active (makini) kwa mda tuliokuwa tumepanga kukutana mimi pamoja na Erick ili niwe nimeshafika kabla ya mda ili kusudi aone niko tayari na kile alichokuwa akisema Erick. Jioni ilifika majira ya saa kumi na mbiliii huku nikiwa ni melala mara gafra alamu ilianza kupiga kelele na kuniamsha haraka mnooo. Basi nilishukuru kwa kile kilicho tendeka kwa wakati huo huku nikiamini nitawai mahari pa tukio na nianza kufanya upesi kujiandaaa  na kuweka mwili safi huku nikiangalia sana mda na kuutumia vizuriii kwani Erick mara ya mwisho aliniambia kuwa mda niuzingatie sana kwani hakutaka afike then mimi siko eneo la tukiooooo? hilo tuuuu ndio lilinifanya mimi niwe na endana na mdaaa sana basi nilimaliza zoezi la kujiandaaa na kujipodoa nyuso yangu huku nikiweka vinakirishi vya mng`aooo wa kipekeee kwani nilivipata hapo hapo hotelinii na ndipo nilipo chukua boda boda ili iniwezeshe kuwahi mahari pa tukio na kuuwai mda tuliopangaaa.

Lakini cha msingi nilichotaka kuonesha kwa Erick kuwa nisije kuonekana kuwa muongooo kwa kiasi kikubwaaa na kuweka mazingira mabaya basi na nilipokuwa nikielekea nilimsihiii mwenye chombo kuniwahisha awezavyoooo ilimradi tuuu nifike salama. Kiukweli niliwahi maeneo hayooo huku nikimsifu mwendesha boda boda niliokuwa nimepandaaa kwani alinifikisha kwa mda niliokuwa nimeupanga toka kwenye akili yanguuu na nilipofika hapo nilitulia kidogo pembeniii na kuanza kuongeza manukatooo huku nikihisi ya kuwa yote niliyaacha njiani kwa kasi ya mwendesha boda bodaa pindi alipokuwa akiikimbiza hatariii.

Basi nilijipulizaaa manukato mengineee na ikanibidi niongeze tena bwebweee kwenye nyuso yanguuu kwani nayo ilipata vumbi la njiani na niliona nitatia haibu nitakapo kuwa nae na kujionesha kuwa sijijari yote hayo yalikuwa mawazo yangu lakini ilinibidi tu kufanya hivyoooo wakati huoooo!
Nalilipo maliza kufanya yangu wakti huooo na nilianza kupiga hatua kuelekea mahari aliponiambia nitamkuta kwani mahari hapo hapakuwa pageni kwanguuu kwani siku ya kwanza ilikuwa ndio hapo hapooo basi nilionekana mzoefu kwa kufika moja kwa moja mpaka kwenye meza alioniambia nitamkutaaa Erick basi nilifika na ca kushangaza sikumkuta na kusema leo nimemuwaiiii kwa kiasi fulani na kuwa ni mtu wa kwanzaa basi nilikaaa na kumwita muhudumu na kuagiza kinywaji japo kukata kiuuu niliokuwa nayo kwani boda boda ile nilikuwa nimepanda ilinipeleka mpute mpute mnooo.

Na nilipokuwa nikiendelea kupata kinywaji hicho huku nikiangalia mda na kuona kuwa ilikuwa imebakia dakika chache tu kama kumi na tano kutimia mda tuliokuwa tumepangaaa. Lakini wakati nikitafakari juuu ya Erick kuwa atakuja au laaah! lakini sikuweka mawazo ya kutokuja kwani nilikuwa namjua akisema kitu lazima afatishe mda basi ilinibidi ni hesabu dakika zilizo kuwa zimebaki na zilipo timia majira ya saaa moja na kubaki kupoteza matumaini ya ujio wake Erick na ndipo mawazo yangu yakapelekea kuwazaaa "labda foleni kwani ndio ulikuwa mda mbaya sana kwa watu kurudi makwao au pengine majukumuuu!!!!! yote hayo nilikuwa nikiyatamuka moyoni "Nivumilie tuuu uwendaa yuko njiaani anakuja mda hiii nivute subira" na ndipo ilipo nibidi niongeze mdaaaa kidogo kama nusu saa ya kumsubilia yeye.

Na ndipo iliponizidia nafsi na kunibidi nichukue simu yangu ya mkononi ili kujua yuko wapi wakati huooo na nilipopiga simu ya Erick ilinitia mashaka sana kwani nilipata ujumbeee usemao "Namba ya mteja unayo piga kwa sasa hapatikani jaribu tena badaeeee!!!!!!!!" Nilibaki nikishika tama na kusema "Ebu nijaribu tena" Lkini nilijaribu tena lakini nilipokea ujumbe ule uleeee nakuishiwa pozi na kuwaz sana basi nilipoteza matumani kabisa kuja kwake na kubaki sijielewiiii wakati huooo? Ndipo mawazo yakawa mengiii mnooo! wakati huoo mpaka kupelekea kuinamisha kichwa changu kwenye meza ileee niliokuwa nimekaa na ndipo kupelekea usingizi mzito ambao sikujua ulikotokeaaa wapi?

Nilishituka usingizini kwa mguso nilioguswa na mtu flani ambaye sikumjua huku nikiwa nimeweka kichwa chini nafikilia na kuwaza kuwa ni Erick uwenda kafika. Tratibu huku nikinua kichwa changu na kumuangalia mtu ambaye aliye nigusaaa ni nani? Moyo ulishituka sana nilipo mwona mtu huyo huku sikutegemea kuwa naweza kumwona kwani mtu huyo alikuwa ni muhudumu na ndipo hakutaka kupoteza mda nae aliniulizaaa
"Dawa vipi umekunywaaa maana umelala hapa mda mwingi sana vipi kwani dada kuna tatizo naweza kukusaidia"
Nilishindwa hata kumjibuuu huku nikibaki nikitikisa kichwaa tu kuashiria ya kutokuwa na tatizo lolote pale basi nae alibaki akishangaaa kwa hali niliokuwa nayo huku akisikia nacho mjibu na kuto weka wazi jambo nililokuwa nalooo wakati huo ambalo lilikuwa linasumbua akili yanguuuu. basi ndipo nae alijibu.
"Sawa dada basi kunywa maji haya upate tena nguvuuu na ukimaliza hivyo japo pitisha na uso wako uondoe usingizi ulio nao".

Nilishangaa sana kwa kile alichokuw akisema kuhudumu huyo na kuonesha kuwa na huruma sana basi nilichukua maji hayo na kufatisha alichokuwa akisema nilikunywa na kuyanawa kwa mjubu wake nilipata nguvu za kuinuka na ikanibidi niondoke maeneo hayooo na nilipo kuwa nikiondoka mara gafra simu yangu iliita huku namba ilikuwa ni ngeni na nilipo pokea tu?

"JE? NI NANI ALIMPIGIA ISABELA USIKOSE SEHEMU YA 50"

STORY WRITER HANS CHARLZ FOLLOW INSTAGRAM @storynzuri 

HAPPY BIRTHDAY LOADING.........?


..........................................S T A R..B O Y..........................................







Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

8 comments: