GANDA LA NDIZI
SEHEMU YA SABA
MTUNZI @hanscharlz @storynzuri
Whtsap +255652486818 Tsh 5000#
.
Wote walijikuta wako chini na kila mmoja wao kuitaji
msaada wa hali na mali ili waweze kutoka eneo lile kwani walikuwa kando kidogo
mwa barabara basi pindi walipokuwa wakiwaza watasimama vipi kwani kila mtu pale
nguvu zilimwisha kwa mtikisiko ule pamoja na uzito waliokuwa nao wote wawili
hao. Basi walianza kutupa macho kando ya barabara wili hao na kumwona kwa
pamoja kijana mmoja na kumwita lakini haikuwa nzuri kwa kijana yule kuwapa
msaada nae kijana yule alipowaona tu alitokomea pasipo julikana huku kijana
huyo ni ndiye aliyekatazwa kutoka eneo lile na bosi wake kwa dhumuni huwenda
angetajwa kwenye kesi ile….
“nimekwambia uingie ndani mda mrefu” ilisikika sauti
ya bosi wake ikimwambia kwa kile kilichotokea wakati ule
“ndio bosi kwani mimi sikutegemea kama angeweza
kuniona kwani nilijifisha sana”
“hata kama ndio wameshakuona na wewe umekimbia
watakufikilia vibaya”
“bosi mimi niliogopa kwenda kutokana na wewe
ulivyoniambia hapo awali”
“basi sawa ngoja tuone watafanya nini”
Basi kijana na mfanyakazi walijificha huku
wakichungulia kuona ni nini kitaendelea
pale
Binti pamoja na kijana pale chini walishangaa sana
kutopata msaada wa aina yoyote huku magari kwa wakati ule yalikuwa machache mno
na ndipo lilipotokea gari moja lililokuwa likija upande wao walipo kwa kasi
tena bila ya kujali mtu. Dereva wa gari lile alionekana kuwa ajali chochote
mbele yale nae alipoanza kuwapigia honi kali iliowafanya kila mmoja kupigwa na
butwaaa pale gari lile lilipo…………….
USIKOSE SEHEMU INAYOFATA HAPA HAPA MDA KAMA HU?
#Mrstory #storyempire cc @storynzuridaily
@storynzurination
0 comments:
Post a Comment