.
.
Sehemu ya Hamsini na nne
Mtunzi INSTAGRAM @hanscharlz @storynzuri
.
Ilipoishia "Huku nikimfata hivyo hivyo nilijishitukia niko sebureni nae alipokwisha nikaribisha pia sebureni nae alichomoka na kwenda kwenye vyumba vilivyo kuwa vime karibiana na sebulehuku nami nikimgojaaa atokealipokuwa kaenda ili tukae tuonge vizuri lakini niliingiwa na hofu pale alipokuja na mtu wakiwa wameongozana nao walifika na kukaa kwenye makochi na ndipo Erick akachukua jukumu la kumtambulisha mtu huyooo?"
Ilipoishia "Huku nikimfata hivyo hivyo nilijishitukia niko sebureni nae alipokwisha nikaribisha pia sebureni nae alichomoka na kwenda kwenye vyumba vilivyo kuwa vime karibiana na sebulehuku nami nikimgojaaa atokealipokuwa kaenda ili tukae tuonge vizuri lakini niliingiwa na hofu pale alipokuja na mtu wakiwa wameongozana nao walifika na kukaa kwenye makochi na ndipo Erick akachukua jukumu la kumtambulisha mtu huyooo?"
Nilishitushwa sana kwa kile nilicho ona kwani sikutalajia kwani pindi Erick alipokuwa akisogea na mtu huyooo huku wakija maeneo niliokuwa nimeketi na walipofika mimi nilishusha punzi nzito kwa hofu kubwa niliokuwa nayoooo wakati huooo na lakini walipo fika tu wote walikaa chini. Na wakati huo mimi nikingoja kutambulishwaa na kukaaa kidogo na tena kurudi hotelini nilipokuwa nakaaa yote hayo nilikuwa na yawaza huku nikiamini kuwa yanaweza tokeaaa wakati wowote tu. Na ndipo nilipomwona Erick akinyanyuka mahari alipokuwa amekaa huku akizungumuza na mtu huyo na kuanza utambulishoooo
Erick "haaaaaaa! isabela na ndugu yangu kwanza napenda kutoa shukurani zangu za zati kwa binti Isabela kwa kile alichonifanyia kwa kipindi chote hicho na mpaka sasa mimi kuwa hapa yote ni kwa neema ya mungu na kuwakutanisha nyote hapa hivyoo basi Isabela huyuuu umuonae mbele yako ni mdogo wangu na ninaye ishi nae siku zote hapa nyumbani na hivyo kwetu sisi tupo wawili tu yaani mimi na yeye japokuwa wazazi wetu wote wawili walitutangulia mbele za haki na kutuacha tukiwa wapweke mno kwa kipindi chote hicho kwani kwa sasa wametimiza miaka ipatayooo kumi (10) ni kipindi kirefu mnooo mpaka sasa".
Hofu yangu ilitandaaaa hukuuu nikinung'unikaaa "jamaaaaaaaaaaani Erick" huku nikijisemea chini chini bila ya mtu kusikia chochote pindi alipokuwa akizungumzaaa kwa hisia na kuniteka mimi pia. lakini huku kiendelea kusema na chozi lake la kuume lilikuwa likimdondoka (likichuruzika) mpaka sakafuniii huku nami Isabela sikuwa na moyo wa chuma wa kuvumilia hayo yote bali nami machozi yalini toka pindi alipo taja wazazi wake wote hawapo japo nami nimebaki na mzazi mmoja lakini alikitonesha kidonda changu ambacho kilikuwa kimekauka kwa kipindi kirefuuu mnoooo. Na ndipo Erick aliendelea kuongea baada ya ukimya uliokuwa umetawala mahari hapo kwa kuongea maneno ambayo wote yalituweka kwenye simanzii.
Nilijifuta machozi haraka haraka na kumwangalia Erick na kusemaaaa "Nashukuru kumfahamu Erick"
Nae Erick aligeukia upande wa Alex na kumwambia
"mdogo wangu Alex huyu ni rafiki yangu Isabela kama nilishakwisha mtaja hapo nyumaaa ni rafiki wa mda kidogo lakini kaonesha upendo kwangu kwa kipindi hicho chote ambacho hukuweza niona machoni kwani nilipata matatizo makubwa sana na yange pelekea mauti yanguuuu lakini kwa uweza wa mungu kaniponya"
Huku nikiendelea kumsikiliza Erick na alipo maliza tu na kuisikia sauti ya Alex Alex "Karibu sana dada yangu Isabelaa na asante pia kwa msahada uliompatia ndugu yangu Erick ambaye ni kaka yanguuuu kwani sikujua nini kimempata kwa kipindi hicho chote cha nyumaaa kwani nilishangaa sana kwa kile kilichotokea kutooonekana nyumbani kwa kipindi kirefu huku simu yake ikiwa haipatikaaniii nashukuru sana Isabela kwani nilikuwa silali na mtafuta yeye mpaka nikakosa matumaini ya kumpata lakini kwa uwezo wa mungu wewe leo umemleta nyumbani nami najikia niko "HURU" na mwenye furaha teleeeeee! ambayo aipimiki na mwisha na malizia kwa kusema karibu sana na jisikie nyumbani"Nami niliitikia "Asante pia Alex kwani nimeshakwisha karibia wala usijali kwa hilooo"
Basi kila mmoja wetu alifurahia kwa kile kilichotokea mda huooo na ndipo Alex alituomba aingie jikoni japo kuandaa chochote kitu kwani kulikuwa hakuna mfanyakazi anaye husika na kupika chakula. Maisha yao yote yalionekana kuwa ya kufanya kazi wenyewe kwani nyumba nzima walikuwa wao tuuuu, basi alifanya hivyo ili sisi wageni wake wa siku hiyooo japo tule kwa pamojaaa. Nae Alex alipootuaga na kwenda jikoni kufanya yake basi mimi na Erick tulibaki tukiwa tumekaaa sebuleni huku tukiendelea na storiii mbili tatu huku wote tukikumbushiana yaliopita kwani Erick alionekana kuwa mcheshi pale a;opokuwa akinifurahisha kwa vichekesho sana huku nami nikicheka mnoooo! mpaka kupelekea kusikika kwa nguvu mnoooo nasi mpaka sautu ilikuwa ikitoka njeee. Basi punde si punde nilimuona Alex akija sebureni huku nikiwa mtu wa kwanza kumwona kwani mahari nilipokuwa nimekaaa kulikuwa kumetazamana na mlango aliokuwa akitokea huku mahari alipokuwa kakaaa Erick alikuwa kampa mgongoooo! nami nilipunguza kucheka na alipofika nae alitukalibisha sote twende mezani kujumuika kwa chakula alichokuwa kaandaaaa Alex.
Tuliingia mezani na kupata chakula alichokuwa kapika Alex huku kila mtu alikifurahia chakula hicho kwani kilionekana kumvutia kila mtuuuu na tulipomaliza tu sote tuliama mezani hapo na kumuacha Alex akikusanya vyombo na kutoa shukurani kwa mtu aliye kuwa kakiandaaa chakula hichoooo.
Niliwaza yangu kwani nilitaka kuagaa na kwenda hotelini tena ili kuendelea na majukumu yangu ya kukaaa tuuu basi ilinibidi niombe kuaga na kwenda lakini kwa nilipomwambia tu Erick kwa upande wake hakutaka niondoke mwenyewee nae aliniombaa japo achukue gari Alex au yeye ili mmoja wao anisindikize mpaka nako kwenda lakini nilisita huku nikijua endapo niki mruhusu mmoja wao na kunipeleka atajua yote nami sikutaka hivyooo nami ilinibini nimwambie Erick japo kumdanganya ili aweze kunipeleka japo sehemu nyingine
"mmmmmmh Erick wala usijali bwana kwa hicho kwani napo kwenda si mbali sana ningeweza kukodi bajaji na kunipeleka basi naomba utanipeleka japo siku nyingine"
Ndipo ilipo sikika sauti ya Erick na kusema "mmmmmmh Isabela kwanini isiwe leo popote mimi nitakupeleka wala usijaliii kwa hilooo na hakuna sababu ya wewe kuita bajaji na kupoteza mda huo inabidi tu nichukue gariii na kukupeleka sawaaaaa!"
Ilinibidi niwe mpole kwani Erick alikwisha bana kona zote na kuomba kunipeleka kokote na ndipo ilipo bidi nipange safari fupi ya haraka haraka ya kwenda mahari basi ndipo nilipooo mwambiwa "Sawaaaaa Erick nimekubali"
Alinyanyuka na kuingia ndani na alipotoka alikuwa amebadilisha mavazi yake na kuniomba tuongozane nae huku nikimwaga Alex basi tulitoka nje na alichagua gari kwani yalikuwepo mengi mnoooo na yenye kuvutia huku na kule tuliingia ndani ya gari na kuwasha gari na kuondokaaa.
Nilimwelekeza mahari napo kwenda na alinielewa basi nae alindesha kwa hali ya kawaida kwani alikuwa katoka kwenye majereha ya ajari ya gari basi alionekana kukieshimu chombo hicho na huku tukiendelea kupiga storiii na tulifika mahari nilipo mwelekeza na palikuwa tofauti sana kwani iliniwia vingumu sana kumwambia nako elekea na ilinibidi nifanye hivyooo tu basi alinishusha na mimi niliposhuka tu nipata akili ya ninapo elekea huku nae alipaki pembeni huku akinitizama ninapo elekea.
JE ISABELA ALIELEKEA WAPI USIKOSE SEHEMU INAYOFATA HAPA HAPA?
STORY WRITER...........HANS
GROUP WHATSAPP 5000 +255 652 486818
...................................S T A R..B O Y..............................
.
Iko poa sana
ReplyDelete