storynzuri sehemu ya hamsini shemeji ingiza pole pole
.
.
Sehemu ya hamsini
Mtunzi INSTAGRAM @hanscharlz @storynzuri
.
ilipoishia "nilipata nguvu za kuinuka na ikanibidi niondoke maeneo hayooo na nilipo kuwa nikiondoka mara gafra simu yangu iliita huku namba ilikuwa ni ngeni na nilipo pokea tu?"
.
Nilivyooo pokea tu simu hile sauti iliyo nijia hapooo ilikuwa ya kiume ambayo hata mimi mwenyewe ilikuwa ngeni kwa kiasi kikubwa sikuweza kumfahamu na ilikwa tabu sana kuielewa na ndipo nilipo ikata simu hiyooo kwa kuhofia pindi nikiendelea kuongea nae mtu ambaye sikuwa na mfahamu basi nilipoikata simu hiyo na niliendelea kupiga hatua kutoka maeneo hayo na kuelekea barabarani kuchukua boda boda na kuelekea hotelini kwangu. Wakati nikielekea barabarani tena simu iliita na kuikuta ni ile ileeee iliokuwa imetoka kuongea nami mda mfupi tuuuu nami basi ilinibidi kuipokea simu hiyo na nilipo ipokea tu nilianza kufika huku nikimwambiaaa.
"Eheeeeeh! wewe nani? mbona sikufahamu kaka yangu au umechanganya namba kulikoniii ndugu yangu yani sikufahamu kabisaaa?"
Nae alipoona nimemwendea juuu alionekana kuwa mpole wakiti nikiyatoa maneno ambayo hata yeye alibaki akinishanga huko alikooo basi aliniomba kumsikiliza kidogo huku akikisisitiza kuwa na ujumbe anataka kuniambia tena wa muhimu nami kusikia hivyooo nilibaki nikimsikiliazaaa huku akisema.
"Samahani dada yangu mimi ni dakitari wa muhimbili na niko na mgojwa hapa kapata ajari kali sana na kupelekea kupoteza fahamu zake na wakati nikitafuta namba au vitambulisho vyake nikafanikiwa kukutana na namba yakokwenye mfuko wake wa suruali na nikaona sio budi kukupigia japo kujua mtu huyu ulie zoeana nae kuongea kwenye simu yuko kwenye hali gani na pengine waweza nisaidia ndugu zake kuwa fahamisaha zaidi
kama wewe sio ndugu yakeee au unamfahamu jina Erick nakama utaweza kuja hapa hospitalini muhimbili itakuwa vizuri sana na chumba alicho mpaka sasa ni 124 kwa heri dada kwa kunisikilizaaaa.
Nae alipokwisha kusema hivyooo na kukata simu nilishituka sana pindi alipolitaja jina la Erick na kujiuliza ndie au siye huku nikiwa njia panda sielewi nini nifanye nilizidi kuchanganyikiwaa na huku nikijiwa na wazo la kutafuta boda boda haraka mnoo na kukimbia hospitali.
Boda boda inikimbize mpaka alipo lazwaa Erick kwani mahari nilikuwa nisha ambiwa na daktali. Basi nayo ilinikimbiza mpaka hospitalini hapo muhimbili na moja kwa mojaa nilielekea mpaka hodi ya wagonjwa nilikuwa nimeelekezwa na dokta na nilipo fika mlangoni na kuanza kusita huku nikimwona akiwa kwenye kitanda huku akiwa amefungwaaa mitambo mingi nami nilisogea mpaka mahari alipokuwa amelazwa na kuanza kutokwa na machozi huku nikiwaza kipi kilicho mpata wakati huoooo Erick basi ilinibidi nimsubilie daktali mpaka atakapo fika ili anipe kisa na mkasa au chanzo cha yeye kufika kwenye hali hiii. Na ndipo iliponibidi nikae pembeni yake kidogo hukuuu nikimgoja daktaliii wa zamu basi niliendelea kumtazama Erick huku nikimsikitikia sana na huku machozi yalikuwa yakidondoka mpaka nilijawa na hali ambayo ilitaka kunipelekea mambo mengine zaidi kwani pindi lipokuwa namwangalia wakati akipumlia mashine huku macho yake yote yalikuwa yamefumbaa tuuu nilijawa na wasiwasi kama nitampoteza Erick wakati nnilipokwa nawaza na kumtazama Erick ndipo daktali nae alifika nae aliponiona niko pemebeni yake na kuanza kuniuliza maswali?
"Wewe ndiye niliye toka kuwasiliana na wewe mda uliopita kuhusu Erick au laaaha!"
Nami nilimjibu haraka mno huku nikiwa na aibu kwani nilihisi ananilipishia wakati nipo ongea nae huku nikionekana kuwa na jaziba basi nilisema.
"Ndio mimi dokta lakini samahani nini kimemekuta Erick Dokta" nilimuuliza dokta huku nikiwa na shauku ya kutaka kujua nini kilicho mpata Erick
Dokta nae alinijibu huku akinitaka kukaa pembeni kidogo ili hali atakpo maliza ndipo atanipa maelezo juu ya kitu kilichomkuta Erick. Nami ndipo iliponibidi niwe mpole huku nikiwa mwingi wa kutaka kujua sana na ndipo nilipo sogea pembeni na kumpisha aendelee na yakwake dokta ili aweze kuniambia kila kituuu kilichotokeaaa mpaka kufika kwake hapo hospital.
Nae alipomaliza na kuniita ili nimfate ofisini kwake basi ilinibidi niongozane nae mpaka ofisini kwake na nilipo fika nae alinikaribisha ndani na kuonesha kiti nikaeee ili tuyazungumuze vizuri kuhusu mkasa wa Erick ndipo alipo anza kuniuliza maswali yenye changamotooo zaidi
"haaaaah! karibu sana lakini unaitwa nani wewe kabra ya yote"
"Naitwa Isabela" Nilimjibu dokta
"Erick ni nani yako ndugu yako au?"
Ndipo niliposikia swali hilo nilitaka kusita kujibu lakini ilinibidi nimjibu kwani sikutaka kuonesha kitu chochote wakati huoo?
"haaaah dokta mimi ndio mpenzi wake Erick"
"okaaay! basi leo kwa mujibu wa lipoti nilioletewa hapa ni kwamba majira ya mchana mda ya saa saba hivi alipata ajari ya gari yake na FUSO kwa mujibu wa wasamalia walioona tukio hilooo na raia wema waliojitokeza kumleta mpaka hapa lakini walikuja wagonjwa wapatao watano (5) ambao miongoni mwao alikuwa ni Erick huku Erick ndiye alie pona kwenye ajari hiyooo huku wengine walifikishwa hapa wakiwa wameshapoteza uhai.
"JE? NINI ERICK ATAPONA AU ATAPOTEZA MAISHA NA KAMA AKIPOTEZA MAISHA ISABELA ATAISHI VIPI TENA?
STORY WRITER HANS
FOLLOW ME ON INSTAGRAM @storynzuri
HAPPY BIRTHDAY TO ME 12 DEC
.........................................S T A R..B O Y ...........................................
Mmmmh naogopa kwakweli isabela anakutana na mtihani mkubwa sana.
ReplyDeleteMmmmh naogopa kwakweli isabela anakutana na mtihani mkubwa sana.
ReplyDeletepole wala usiogopeee
Deleteaaaaah mtunzi usimuue erick bwana.. afu nae isabela ana kiherehere kujibu mpenz... akiambiwa awatambue waliokua pamoja atawakueje sa!!! waiting for 51... Hans u rockin...
ReplyDeletehahahahhahha sawa kiongozi
DeleteJamanii natamani iendelee ili nijue,,maskini Isabella.
ReplyDeletemkuu kwema sorry umejitahidi kwa kiwango kikubwa sana kutunga hii story safi sana big up ila napata shida kuelewa baadhi ya vipengele,kwanza hatujajua hatma,ya mama yake isabela kule nyumbani maana alikuwa na hali mbaya kiuchumi je kaka yake yupo level gani ya elimu maana sijamsoma tena,vipi Yolanda yupoje na iweje isabela apate matatizo yote hayo yolnda hajui na ndie aliyemchukua kwa mama yake na yeye hajamfukuza,huku kwa amina wale police waliokuwa wanamtafuta alifanya kosa gani?????na iweje ISABELA ameondoka nyumbani kwake yolanda hajui??????sijui mambo ya uandishi lakin najitahidi nipate picha halisi ya hii story imebase sana upande mmoja wakati imeanza na watu wengi atleast utuoneshe wengine wapo katika hali gani ni mtazamo wangu also umeweka fupi fupi sana kama insta bana wakati huku ni blog waweza toa episode moja ndefu ukakaa week nzima
ReplyDelete