Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

GANDA LA NDIZI sehemu ya Tisa

GANDA LA NDIZI
SEHEMU YA TISA
MTUNZI @hanscharlz @storynzuri
Whtsap +255652486818 Tsh 5000#
.
Walifika vijana wapatao sita na kuanza kutoa msaada kwa wawili hao lakini cha kushangaza walipokuwa wakiendelea kutoa msaada waliona gari lile lilotokomea kwa fujo na sipi kali likisimamishwa na gari jingine na haikupita mda walishangaaa kuona wakikimbizana na kuwa kwenye hali ya sintofahamu basi waliwanyanyua wawili hao na kutoka pembeni kidogo mwa barabara ile na ndipo kijana alipomvuta binti pembeni na kuanza kutupa swaga zake kidogo…..
“mrembo samahani waitwa nani?” kijana alianza kurusha mshale wa kwanza kwa binti yule
“mmmmh bila samahani naitwa SOFY” binti alijibu huku akimtizama kijana yule kwa jicho moja
Basi kijana alipoona binti akimtizama kwa jicho la kuibia basi basi aliona aingie mzima mzima kwa binti yule…….
“hoooo unaonekana mrembo sana maana uliponidondokea pale nilitamani tusinyanyuke kama masaa kazaa hivi”
“mmmh unavisa wewe”
“hapana kweli nachosema” aliongea na kumsogerea karibu sana na kumfanya binti SOFY awe muoga kwa kijana yule basi kijana ndipo alipo peleka mkono wake taratibu mpaka kwenye mkono wa binti SOFY na kumvuta kwa staili yake na kumweka kifuani na kumpa maneno matamu ambayo binti SOFY hakuweza kutoa hata moja naye kijana alipoona watu wengi wakikimbia nae ndipo alipo chukua baiskeli yake na kumbeba na kuondoka nae walichomoka mbio huku binti SOFY akisahau kuwa alikuwa na safari zake kwenda ofisini na ziliishia pale pale..
Kijana alimpeleka moja kwa moja mpaka kwenye geto lake na kuingia ndani…
“karibu sana SOFY…” ni sauti ya kijana ikimkalibisha binti SOFY
“Ahsante sana” aliitika na kubaki akishangaa sana mahari pale huku na kule kijana aliaga na kwenda jikoni na aliporudi alirudi na girasi mbili huku akiwa na chupa ndogo ya WINE basi alimimina na wote kwa pamoja walikunya huku wakipiga story kati kati ya story kijana alianza kufungua ya moyoni…. Na ndipo kijana alipotupa……………..?
.
USIKOSE SEHEMU INAYOFATA HAPA HAPA MDA KAMA HU?

#Mrstory #storyempire cc @storynzuridaily @storynzurination
Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment