Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

storynzuri sehemu ya arobaini na nane shemeji ingiza pole pole



.
.
Sehemu ya Arobaini na nane
Mtunzi INSTAGRAM @hanscharlz @storynzuri
.
ilipoishia "hkunisahau kunikumbusha kile alichokuwa kapanga kwa kukutana nae huku ikiwa imebaki siku moja"
.
Basi alinisisitiza sana juuu ya jambo hiloooo kwani asije katisha mambo yake na tena nisende kuona nae basi ilinibidi nichukue jukumu la kumpa moyo kuwa siku hiyoooo nitakuwepo basi nilimsihii juu ya siku hiyo kuwa nitakuwepo kwani sikutaka kupoteza bahati ambayo inaonekana wazi wazi tena kwa mtu mwenye moyo kama Erick. Kwani alionekana kuwa ni mtu msitarabu japo kuwa sijamsoma sana lakini kwa kuwaza kwanguuuu ilikuwa hivyooo bali japo kuwa nilikuwa na shida sana.

basi ndipo siku ilipo kata kwa mimi na yeye Erick kuachana huku tukiwa tumekubaliana juuu ya siku inayo fata huku kila mtu kumhaidi mwenzake kuwa hato muangusha basi nilikuwa na usingizi ambao ulikuwa ni wenye mawazo mengi huku nikiwaza ya kesho yake itakayofata kwa kuonana na Erick Kwangu alijilikana kama HB kwani alikuwa na mvuto japo mawazo yangu ni kuondoka kwenye janga la malazi kwani sikuwa na muelekea wowote juuu ya kile kilicho tokea kwa dada Amina basi hicho ndicho kilikuwa ni changamoto kwangu kwa kuanza maisha yanguuu basi usingizi kwangu ulikuwa kuwaza hayoooo tu mpaka asubui na kulipokucha nilishituka na kujikuta nikiwaza huku jasho likini tokaaa.

Basi siku ilipoanza kama kawaida kuingia bafuni kuoga kwani nilikuwa nimeloa hatari kwa jasho lililo tokana na ndoto nilizo kuwa nikiota usiku uliosheheni mawazo mengiiiii juuuu maisha yanguuuu lakini niliziona ni changamoto tu huku nikijipa matumaini juuu ya huyuuu nilie mpataaaa. Nilioga na nilipo maliza tuuu nilipata kifungua kinywaa na nilipo maliza tu huku akili yangu ikiwa safi wakati huo kwani nilikuwa nishatoka kusafisha tumboooo langu na kuwa na nguvu basi niliwaza ni mda gani lakini nikama hatukuongea kuhusu mda niliwaza hayo na kupata wazo la kumtafuta kwenye simu Erick.

nilichukua simu na kutafuta jina la Erick na kuipigaaaa iliita mda sana lakini zilibaki dakika chache nae alipokeaaa simu na alipoongea tu alionekana kuwa bado yuko kwenye usingizi (kalala) na nilipoona hivyooo nilijiongezaa na kumwambia
"hoooooooh sorry Erick bado uko kitandani lakini japo mimi nilikuwa naulizaaa vipi hivi tulikubaliana mda gani? tutaonana maana najua siku ni leo Erick.
Nae aliposikia hivyooo huku nikimuulizaaa basi usingizi wake kwa kiasi flani uliondoka nae kuniambia.
"heeeeeeh! kumbe ni leoooo okay! sawa ni mida ya jioni au wewe unaonaje kwani kwa mda huo utakuwa freee au"
Alipo kwisha kuniambia hivyooo huku akiniachia kesi mimi kupanga mda huo basi nami nilijijua niko free mda wote kwani sikuwa na mahari pa kwendaaa ikabidi niondoe ubishiii nami nilimjibuuu Erick.
"oook sawa Erick basi kama mida ya jioni itakuwa poa mda hiyooo ya saa moja hivi au unasemaji hilo ni pendekezo languuu lakini"
Nilipo mwambia hivyooo nae alionekana mda huo atakuwa nae na mda huku utakuwa vizuri huku akisemaaa?
"haaah! hapo utakuwa umefanyaaa jambo la maana sana kwani mda yote nilikuwa na kikao mda flani ya mchana lakini free ilikuwa jioni na wewe umepangilia vizuri sana nimependaaa hakuna neno Isabela"
Basi alipo kubali ombi langu (pendekezo languuu) nilitoa tabasamu huku nikiwa na asilimia 100% za kumshika kwenye sekta ya mapenzi kwani alionekana kunisikiliza sana?
.
.
ITAENDELEAA !!!!!!!!!!
.
"UTAKAPO SOMA COMMENT"
.
STAR..BOY @storynzuri
.
HAPPY BIRTHDAY LOADING 12 DEC








Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

3 comments: