GANDA LA NDIZI
SEHEMU YA NANE
MTUNZI @hanscharlz @storynzuri
Whtsap +255652486818 Tsh 5000#
.
Kupigwa na butwaa na kuona gari lile lililokuwa
likipiga honi likifata sehemu walipo naye dereva aliekuwa akikiongoza chombo
kile alionekana kuwa na mhamasisho pindi vijana aliokuwa nao pemebeni wakimpa
maneno mengi tena ya kumpumbaza basi alishituka akifunga breki pembezoni kidogo
walipokuwa wamedondoka kijana pamoja nab inti yule…
Nae dereva akuwaza lile alianza kutoa maneno machafu
nay a kejeri kwa kijana yule huku vijana aliokuwa nao nao walikuwa wakichangia
kutupa maneno yale… nae kijana hakuwa na jibu lolole kwani alionekana kuwa
msitarabu mpaka hapo walipo kuja wasamalia ili kuwasaidia.
Kijana mmoja ndani ya gari lile alitoa kichwa chake na
kuwatizama na kusema…
“tungewamalizia tu hawa wajinga”
“hahahaha umeona” dereva nae alijibu huku akionekana
kupenda wazo la kijana yule
“rudi tena nyuma tuwapitie tu”
“ila kweli” dereva aliitikia na kuwasha mafuta na
kuanza kurudi nyuma lakini nafsi yake ilisipa pale ilipotaka kupindisha taili
zile ili ziwafate walipo….
“twende dereva wetu” alizidi kuchochea kijana yule
“mmmmmmh” muguno ule ulisikika ka dereva na kuwaza
mambo mengi na ndipo alipo weka spidi kali na bila kujali mtu yoyote alipita
kwa nguvu na kuacha vumbi jingi eneo lile na kijana yule aliyekuwa akichochea
alitoa tena kichwa chake na kuwaonesha kidole cha kati kijana pamoja nab inti
yule….
“mnabaati yenu siku ya leo”
Basi walitokomea na walipokuwa wakizidi kushanga watu
walizidi kujaa eneo lile. Binti yule alipotaka kunyanyuka tu maumivu yalijaa
eneo la mguu wake na alipoutazama tu aliona kuwa mguu wake hauko sawa nae
kupiga kelele nyingi na ndipo kijana kujivuta na kutoka eneo lile.. na kupiga
mayowe ya kuomba msaada wa watu nao waliitika na kuwa wengi…
“msaada ndugu zangu” ni sauti ya kijana yule…
USIKOSE SEHEMU INAYOFATA HAPA HAPA MDA KAMA HU?
#Mrstory #storyempire cc @storynzuridaily
@storynzurination
0 comments:
Post a Comment