MTUNZI HANS CHARLZ
Whatsapp +255652486818
Instagram @hanscharlz @storynzuri
SEHEMU
YA NNE
KAPILO
ANACHEPUKA KWA KIMADA KINGINE
Alimzunguka huku akishika
maeneno alikuwa akijua yanaweza kumfanya awe mnyenyekevu pindi atakapo anza
kulimenya TUNDA lile alilokuwa nao binti huyoooo….
“vipi mrembooo” KAPILO
alianza kumwita kwa mahaba ya kutosha binti huyoooo
“Poaaaaa” binti huyo naye
alijibu huku akiwa mnyenyekevuuu kwani KAPILO alikuwa kaishakwisha fanya yake.
“Hoooooooo! Basi sawa tende
huku nikakate kiu yako mrembo”
Basi KAPILO alimvuta
binti huyo pemebni kidogo na kumwanzishia kichapo ambacho binti alikuwa
akifurahia, kwani KAPILO alimtembezea kichapo cha mbwa kamata mwizi
“Hooooooooshiiii
elewiiiiiiii…!” Ni sauti aliokuwa akitoa binti yule huku KAPILO hakujali
alizidi kushindilia huku na kule binti yule alianza kuonesha kutwoka na jasho
jingi ambalo lilimpelekea kukubali kwa kichapo cha kijana KAPILO, naye KAPILO
alitoa pumzi huuuu akitoa sauti amabyo ilionesha kuwa kile alichompatia binti
yule kilikuwa cha uwakika
“vipi mrembo unajisikiaje”
KAPILO alikuwa na bwebweeee
“jamani niko vizuri mno
naweza pata kingine cha nguvuuuuu” binti alionja UTAMU naye akataka apewe
kingineee
KAPILO alionekana kuwa na
mapafu ya SIMBA kwani binti alivyokuwa akiongea kutaka kingine basi KAPILO
alimfata pale na kuanza kutembeza kichapo kingine kwa binti huyoooo mpaka ilipo
sikika sauti ya binti huyoooo,
“Toshaaaaaaaa” huku
kelele nyingi akitoa licha ya sauti ya ngoma ilikuwa ikizuia
“Bado kidogooooo mpendawa” KAPILO hakutaka
kuachilia kati kwani alikuwa kafika sehemu nzuri ilimbidi afike mahali
alipokuwa akiendaaa na alipo fika mwisho sauti ya muungulumo wake ulisikika nae
kuwa mpole huku tabasamu likiashilia kuwa kalizika.
Binti alivaaaa nguo
haraka haraka na kumwambia KAPILO “nimefurahi sana kwa kunikata kiu yangu ya
mda mrefu”
“Okay usijali mrembooo
sisi tumeubwa kwaajili yenuuu watoto wazuri kama nyie” KAPILO alijibu huku
akijifuta jasho lake lilokuwa likichuruzika wakati wa mchezo ule uliokuwa na
upinzani mdogo.
Nae binti yule alichomoka
kama mshale na kuelekea walipokuwa wenzake, na alipo fika tu cha kwanza wenzake
walianza kuoji maswali mengi ambayo hakuweza kujibu kwani alionekana kuwa na
furaha kwa zoezi alilokwenda kufanya wakati ule, ndipo msichana mmoja alipo
tamka kwa sauti huku akiwasisitiza wenzake “inaonekana kijana huyooo yuko
vizuri”
KAPILO alipokuwa nae
aliona ni vyema kuondoka maeneo yale, na kubeba ndooo yake haraka na kuanza
safari tena lakini cha kuchangza mabinti wa tatu akiwemo na yule binti
walimwona kijana akiwa na ndooo yake nao walimzingira na kumweka kati huku kila
mmoja wao alianza kuonesha manjonjo huku wakibilinga bilinga makalio yao kwa
kija KAPILO.
KAPILO alibaki
akishangaaa kwa mengi licha ya kuwa alijiona nguvu kuwa zimekwisha kwa wakati
huooo ilimbidi abaki akiwatazama tuuuu mabinti hao waliokuwa wakioneshana nani
mkali kwa mwenzake, aliishika ndoo yake huku akiiweka usawia huku akiwa mpole
wakati huo kwani alijua tu akionesha chochote uwenda watamwaga maji yake basi
nao mabinti walichukuwa takilibani dakika kazaa huku wakimzunguka kijana
KAPILO.
MWANTUMU alipowaona
wenzake naye ilimbidi aingilie kati swala hilo kwani naye alikuwa akimpenda
sana KAPILO basi wivu ulimwingia MWANTUMU na alipofika aliwaondosha mabinti hao
na kubaki akimtizama KAPILO, na ndipo alipo mwambia
“vipi mbona ndooo
kichwani unataka kuondoka”
“ndiooooo kwani
nimechelewa mno” KAPILO alijibu huku macho yake yalizidi kuangalia usalama wan
do yake waki aliwaza endapo ataya mwaga maji hayooooo huku giza limetawala hato
weza kurudi kisimani.
“okay sawa nendaaa hawa
hawato kusumbua sawa” MWANTUMU alimwondoa hofu ya kuzuiliwa na mabinti hao
“asante MWANTUMU”
“Usisahau kesho KAPILO
kunitafuta” MWANTUMU alizidi kumsisitiza KAPILO juuu ya kumtafuta
“wala usijali kwa
hilooooo” naye KAPILO alimjibu MWANTUMU
Aliondoka huku MWANTUMU
Akimtizama mpaka atakapo ishia kwani alijua tu mabinti wenzake wanamtamani.
Alipo fika mbele kidogo
nae KAPILO aligeuka na kumtizama MWANTUMU, na alipo mwona macho yake yalikutana
nae MWANTUMU basi aligeuka na kuendelea na safari, gafra alianza kusikia
kishindo kikubwaaa huku mtetemo huo uliwashangaza sana watu waliokuwepo kwenye
KIGODORO kile nawo walianza kutaamaki na kutafuta ni kipi kilichokuwa kikifanya
mtetemo ule.
MWANTUMU aliangalia ni
mahali alipokuwa akielekea kijana KAPILO, huku kishindo kilizidi kumchanganya
binti huyo na kuona uwenda kita mfanyia mambo mabaya basi alijitaidi kupaza
sauti yake ili arudi KAPILO
“KAPILOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO……!”
Hata KAPILO hakuweza
kusikia licha ya jitiada alizofanya binti MWANTUMU kumwita, KAPILO naye
aliposikia kishindo kile basin aye aliweza kuwa makini licha ya kuto kujua ni
nini hasa kinafanya hivyoooo,
Basi mabinti wale
walifanya jitiada za kuwajulisha wanakijiji wakimbie kuwahi majumbani mwao,
kwani kulikuwa kumeshavurugika, wote kwa mbali waliona kitu cha ajabu ambacho
kiliwashangaza wengi wao licha ya kutahamaki mahali pale waliona wanakijiji
wengine huku wakichukuliwa na jitu lile lilokuwa na mfano wa “ng’ombe” ambaye
alikuwa akila watu.
MWANTUMU alimkimbilia
KAPILO huku akijitaidi na hatimaye kumfikia mahali alipokuwa kajificha huku
wakiona kwa mbali wenzao waliokuwa wakipata mateso na suruba alizokuwa
akizifanya JITU hiloooo.
Ilionekana kuwa katumwa
kwani haikuwai kutokea katika kijiji hicho wanakijiji walishangaaa sana kuona
mashamba yao na vyakula vyao vikialibiwa na JITU hilo, huku baadhi yao walikuwa
wakiliwa na JITU hilooooo.
Mababu wa kijiji
waliposikia kelele zikitawala basi wote waliokuwa wamekusanyika mahali pale
wakajua tu ni mizimu imejibu maombi yaoooo. Walimua vijakazi wawili kwenda
kuhakikisha ni kweli walichokuwa wameomba kimejibiwa au bado wana KIGODORO
walikuwa wamepandisha mashetani yaoooo.
Walipofika eneo la tukio
wale vijana walioagizwa walirudi haraka ili warudishe jibu kamili, nao walipo
fika waliwaambia walichokiona mahali pale huku wazee wa kijiji hicho walibaki
wakiwasonya wale watu ambao waliokuwa wakipinga yale waliokuwa wakitaka huku
mmoja wa wazee alisikika akisema “tumewakomesha sizani kama wataweza tena
kurudia upuuzi kama huo tena”
Basi ndipo walipo subilia
mpaka kelele zile zitakapo isha ili waweze kwenda kushuudia wazee hao, MWANTUMU
pamoja na kijana KAPILO walikuwa wamejificha mahala palipo kuwa na usalama japo
kuwa wengi wao walikuwa hawajui wanaweza wapi kujistili kwa kisanga kile, basi
walishauliana pale wafanye nini ili waweze kumzibiti Mdudu uyoooo licha ya wao
kutokuwa na siraha yoyote ile walijipa uajsiri wa kuweza nao walitoka mahali
pale na kuingia kupambana nalo kwani lilikuwa upande wao.
“hukuuuuuuuu KAPILO”
binti ,WANTUMU alimwonesha njia kijana KAPILO
“okay twendeee” alijibu
huku akitizama kwa umakini nyuma yake
Walizidi kukimbia huku
wakijifichaaaa wasionekane na JITU ile nae kijana KAPILO alipo muuliza
“tupa pata wapi sirahaa
mpendwa” KAPILO alimuuliza binti MWANTUMU
“mmmmmmh hapo sijui
tujalibu kuchukua hizi za asili”
“sawaaaa”
USIKOSE SEHEMU INAYOFATA HAPA HAPA
0 comments:
Post a Comment