.
.
.
UTAMU WA TUNDA SEHEMU YA 18
MTUNZI HANSCHARLZ
INSTAGRAM @hanscharlz @storynzuri
Whtsapp +255 652486818 kwa 5000# tu.
.
Ilipishia
“kweliiii Hans
nikuambiye”
“ndio”
.
“na mimba yako” Happy
alipokwisha kusema hayo maneno alishanga kumwona kijana Hans akiwa na badiliko
kwenye sura yake
“unasemaaa nini Happy”
Hans aliuliza tena
“mimba baby”
“mimbaaaa!”
“ndio Hans” Happy alijibu
huku akimwona kijana Hans ayuko pale kwa kupokea tukio lile
Hans alisimama na kuanza
kuzunguka Getoni mwake huku akimtizama binti Happy ba kuto mmaliza, alishika
kichwa chake na ndipo alipotumia dakika nyingi huku akiwaza naye aligeuka na
kuongea
“tunafanyaje sasa
Happy…..” Hans alimuuliza huku akiwaza wazazi wa binti Happy
“wewe unaonaje” Happy
naye alijibu huku akimwachia swali Hans
“uitoeeeee mimba
hiyooo…!” Hans alimwambia Happy huku akiwa na msisitizo licha ya binti Happy
hakutaka kukubaliana na kile alichosikia kwa wakati ule naye kumjibu kijana
Hans
“siwezi Hans………….!”
“uwezi……………” Hans
aliuliza kwa hasira
“ndio siwezi kuitoa kwani
napenda sana mtoto uwezi jua kama nimepangiwa kuwa na huyu tu na nikimpoteza
nitakuwa mgeni wa nani mimi nimelidhia kuwa na mtoto na mimba hiii siwezi Hans”
Happy alijibu kwa machungu mno huku machozi yakimtioka, na ndipo kijana Hans
akawa mpole na kumfata mahali alipo naye alipomfikia alimkumbatia na kuanza
kumbembeleza kwa maneno mazuri na yenye ushauri
.
.
“wazazi wako Happy…….!
Naogopa sana wakijua hili swala”
“Hans kwa hilo niachie
mimi mpenzi”
“sawa mpenzi…………….!” Hans
alijibu kwa kinyonge huku akiwa bado ajiamini amini kwa kile alichosikia kwa
Happy kwani kile kipindi mama yake Happy alivyo mwona alimwogopa huku akipata
sifa zake mtaani hapo ndipo alipokuwa akichoka………..!
Hans alimwinua Happy
mahali alipokuwa kapiga magoti chini na kumpeleka moja kwa moja mpaka kitandani
na kumlaza, basi kila mmoja wao hakuwa na mudi yoyote ya kufanya tendaoo kama
walichokuwa wamezoe hivyo walichukua masaa mengi wakipiga story huku wakiachana
na kile kilichokuwa kimejili wakati ule.
“baby mimi mda umefika
nataka kurudi nyumbani…..?”
“mmmmmh sawa Happy”
“okay usiwaze Hans
nakupenda sana mpenzi wanguuu usiniache wala kunisaliti” ni maneno yalikuwa
yakimtosha huku akifungua mlango kuelekea nyumbani kwao
“okay name sito kuacha
mpenzi” naye Hans alijibu huku akiwa jasiri.
Basi happy alielekea
nyumbani wakati ule na ilikuwa majira ya jioni jua lilikuwa likizama,
Mama pamoja na Baba Happy
walikuwa wamerudi nyumbani na wao walikuwa chumbani wakizungumza juu ya mwanao
kutaka kumsafirisha au kumtafutia mchumba wa kumuoa,
“mkewanu mtoto wetu kama
nilivyokwisha kukuambia sasa kakua na anaitaji mtu wa kuwa naye”
“ndio mme wangu hilo
nalijua sasa tunampata vipi maana mimi simwelewi yule kijana mchafu sijui ndio
anatembea na mwanangu maana kama ikiwa kweli mimi siwezi maana nitaaibika sana”
“nawazo kwani nilimpigia
rafiki yangu leo tukawa tunaongea lakini kati kati ya maongezi ilionekana yule
kijana wake sasa anarudi mjini name nimempendekeza huyo kwani kindi cha nyuma
baba yake alipendekeza mwanae atamwoa mwanetu”
“sawaaaa ni kuongea na
Happy tu leo”
“yuko wapi sasa….” Baba aliuliza
“atakuwa chumbani mwake”
mama naye alijibu
“nenda kaongee nae wewe
sawa mke wangu”
“sawa”
.
.
Mama alitoka chumbani na
kuelekea chumbani mwa binti yao Happy na alipofika mlangoni mwake aligonga na
kuingia ndani, naye happy hakuwemo chumbani basi alitazama kote na kuhakikisha
kuwa bado ajaingia ndani basi alitoka chumbani mwa Happy lakini alipokunja
kitogo hatua kutoka mlangoni mwa Happy alimwona Happy akija chumbani mwake basi
ndipo mama alipoona amgonje afike naye wakae wayazungumze yale aliyokuwa
akiyataka baba yake,
“ndio unarudi” mama
aliuliza
“ndio mama” naye mtoto
alijibu
“na jambo moja nataka
kukueleza mwanangu”
“lipi mama” Happy alishituka
sana na kumtazama mama yake mara kibao huku macho yakionekana kuwa na uwoga wa
jambo alilokuwa akitaka kumwambia.
“usiwe na haraka Happy
tangulia chumbani nakuja”
Happy alitangulia kisha
mama akafata, naye alipofika alianza kumwaga sela zake pale
“Mwanangu umekuwa sasa na
unaitajika kupata mtu wa kukuoa”
“kwanini mama mbona kama
mapema sana”
“sio mapema sana kwa umri
wako sasa unaitajika upate mtu akuoe”
Happy alifurahi sana
nakuwaza kuwa Hans ndio atakuwa mume wake kwani wazazi wake wameona umuimu wa
kuwa na mvulana sasa, mara alishangaaa sana pale alipomsikia mama yake kuwa…..!
“baba yako kakutafutia
mchumba mwanangu?”
“kanitafutia”
Ndio mwanangu……!” mama
alijibu
“mama nitachagua mwenyewe”
“baba yako kaishakuchagulia
mwanangu na mtu mwenyewe anarudi leo kutoka uwingelezaaa”
Happy maneno yale
yalikuwa hata ayamwingiii akilini huku mama akizidi kumchafua na ndipo
alipochukua jukumu la kutoka chumbani hapo na kusema “mama hivyo siwezi”
Mama alibaki akishangaaa
kwa binti yake kutoka na kuacha kumsikiliza na kuwaza “haya malezi mpaka lini
sasa tunajutia kumlea kama yai”, mama naye alichomoka moja kwa moja mpaka
chumbani mwake na kumkuta mumewe kajilaza kitandani, baba Happy alichangaa sana
kumwona mkewee akija na hali ile naye ndipo alipo muuliza.
“kulikoni”
“si mwanao huyo”
“kafanya nini?”
“hataki kusikia kuwa
tunamtafutia kijana wa kumwoa”
“yuko wapi sasa Happy”
baba aliuliza na kujifunga taulo lake na kukasaawa
“katoka chumbani nenda
sebuleni utamkuta”
Baba alichomoka na kwenda
sebuleni na alipofika alimwoana Happy kakaaa akiangalia video naye moja kwa
moja mpaka alipokuwa kakaaaaaa…..!
.
NINI KILITOKEA BAADA YA
HAPPY KUMWONA BABA YAKE?
0 comments:
Post a Comment