.
MTUNZI HSNS CHARLZ
INSTAGRAM @hanscharlz @storynzuri
whtsap +255652486818
SEHEMU
YA TANO
MIPANGO
YA KUWEZA KUMZIBITI ILIPANGWA
Ndipo walipo beba mawe na
fimbo ili ziwasaidie pindi wakutanapo na JITU lile, watu walizidi kutawanyika
huku na kule nalo JITU lilikuwa likipata wakati mgumu mno kuwakamata watu hao
licha ya kuwabeba watu Zaidi ya watatu kwenye mkono nao aliokuwa akikuta nao
alikuwa akiwabeba na wengine kuwakata vichwa na kuwatupaaaaa.
“umemuona yuleeee”
ilisikika sauti ya MWANTUMU ikimwelekeza KAPILO
“ndio JITU laa ajabu
mmmmmmmmh tutawezaje kumzibiti JITU hiloooo”
KAPILO alikuwa na wasi wasi kwa kile walichokuwa wamebeba uweza mawe na
fimbo zisifanye kazi yoyote ileeee
“tutawezaaaa wala usiwe
na hofu ni kulenga kichwa chake” MWANTUMU alimpa ujasili kijana KAPILO kuondoa
woga na hofu zilizokuwa zimemtawalaaa kijana huyoooo.
Walianza kumnyemelea huku
wakitia juhudi za kumkalibia JITU lile nalo ndipo lilipo shituka kuona watu
wakiwa na maweeee huku na fimbo akijifichaaa chini mwake nae kutoa muungulumo
uliopelekea mpaka kila mtu akibaki akishika masikio yake na kusahau kuwa yuko
kwenye mapambano mazitoooo na yenye kutumia akili nyingiii.
Ndipo MWANTUMU pamoja na
kijana KAPILO walizidi kusogea maeno aliyokuwepo JITU hilo na walipo fika
walitaharuki ya kuona JITU lile kwa ukaribu uliopelekea mpaka kijana KAPILO
kusita kupambana nae huku akiimizwa na MWANTUMU, MWANTUMU alitumia jitiaada
kubwa huku akiwaimiza vijana na mabinti wenzake kupambana vilivyooo ili asije
kuleta madhara kwenye kijiji chao,
“wewe acha kushangaaaa
pambana” ilisikika sauti ya binti MWANTUMU akimwambia kijana KAPILO kwani
alimuoona amekosa matumaini na ujasili wakati huo
“sikutegemea kiukweli
kuona kitu kama hiki” alijibu KAPILO huku akiendelea kushangaaa
“usiwe mtu wa hivyo wewe
ni mwanaume pigana achana na hayooo mawazo potofu
“sawa” aliitikia huku
akifungua mkoba uliokuwa umebeba mawe mengi na siraa
Basi walishilikiana yeye
pamoja na binti MWANTUMU kusaidiana ili kujilinda, ndipo JITU lile lilichukua
jukumu la kuanza kuwasambalatisha watu waliokuwa maeneno yale huku wengine
waliendelea kunaki wakipingwa butwaaa…………….! Nayo ilikuwa nafasi kubwa kwa JITU
lile kuwakusanya na kuwaweka mahala pengine.
“MWANTUMU hukuuu uko huto
weza kumpiga”
“Mmmmh sawa KAPILO”
Binti MWANTUMU aliamia
upande mwingine na kuanza kurusha mawe na mishale ambayo kwa JITU lile
haikuweza kumudhuru kwa kiasi kikubwaaa….!, basi nae alianza kufata mahali
palipokuwa panatokea mawe na kumwona binti MWANTUMU akijitaidi kurusha ndipo
alipoanza kumfata nae MWANTUMU alipomwona alibaki akishangaaa huku JITU lile
likiwa kwenye kasi ya kumfata mahali alipo,
KAPILO ndipo alipo mwita
MWANTUMU “mwaaaantumu hama mahali hapoooo na waondoe watu ulionao hapo”
MWANTUMU alibaki
kijiuliza kuhama au kubaki kuendelea na mapambano, lilipofika karibu yake
MWANTUMU aliamasisha watu aliokuwa nao upande huo wakimbie wote.
.
.
Wengine walikimbia lakini
kuna baadhi ya wanakijiji walibaki wakipigwa na butwaaa walipokuwa wakiona lakini
alicho kuwa akifanya binti MWANTUMU ni kuwaimiza kutoka maeneo waliokuwepo ili
wakimbilie maeneo mengine kulinda usalama wao, waliosikia walizidi kujiweka
kwenye mazingira mazuri licha ya wale waliokuwa wakiona hamasa ya binti
MWANTUMU kuwaimiza haifai nao walizidi kuteketea na JITU lile lisilo na huruma
hata nusu chembe.
Walikufa wengi wao huku
JITU hilo litakapo kukamata cha kwanza alikuwa akikata kichwa na kukila huku
kiwiliwili alikuwa akikiifadhi vizuri kwenye ndooo kubwaaa iliosemekana kuwa ni
kubwa kuliko ndooo zote, kipindi hicho basi naye alikuwa akiifanyia kazi hiyo
ya kuifadhi viungo vya mwili kwa wale watakao kuwa wameingia kwenye mikono
yake.
MWANTUMU alijitaidi sana
kufanya jitiaada za kumfanya JITU lile kumpoteza njia ili walicho kubaliana na
KAPILO kiweze kutimia lakini lilionekana kuwa na uelewa kupitiliza lilipofika
mahali na kunusa harufu na kurudi upande mwingine, kitu hicho kilimshitua sana
binti MWANTUMU na kuchoka kwani zilikuwa zimebaki hatua chache tu kufika kwenye
mtego waliokuwa wame upandikiza ili kuliangamiza JITU lile basin aye binti
alipoona vile alimkonyeza kijana KAPILO, naye KAPILO kuona mipango yao imefeli
ilimbidi atafute njia nyingine ya kutega mtego kama ule kwani JITU lile
liliamia upande aliokuwepo kijana huyoo……..
Basi nae kijana KAPILO
alipoona hivyo huku akiona wanakijiji wako kwenye mikimbizano nae
alijichanganya kati kati yao kuamia upande mwingine na kuacha mahali pale
kaweka tena mtego wa pili, basin ae alipoakikisha akuna hata mtu mmoja eneo
lile aliona kwa mbalo anawakimbiza baadhi ya watu waliokuwa wakijitaidi
kujilinda basin ae alijitokeza akiwa peke yake huku lengo lake ni kumfanya JITU
lile kumfata yeye kuliko kukimbizana na wale, nae alichukua mawe na kuanza
kulichokoza nalo lilipoona kitendo cha jeuri alichokuwa akifanya kijana KAPILO
alitoka kwa spidi isiyo ya kawaida na kumfata mahali alipokuwa akirusha mawe
yale, basi KAPILO alianza kukimbia eneo alipo tega mtego huku nalo likimfata
bila ya kujua chochote kile.
Ndipo binti MWANTUMU
alipojiongeza kuona kile alichokuwa akifanya kijana KAPILO naye alifanya kama
makubaliano yao ya awali endapo mmoja wao atakapo kimbizana nalo JITU awai
kwenye mtego ili aweze kuufyatua vilivyoo, basi alikimbia mpaka kwenye mtego
ule na kukaaa stand basi kuwangoja waje kwani walikuwa wamebakiza hatua chache
tu.
.
.
Naye JITU lile lilipo
nusa harufu gafra alisita kwenda na kusimama gafra huku akiwashangaza MWANTUMU
pamoja na KAPILO, basi tukio hilo liliwafanya wawaze sana kwani ni mara ya pili
kakwepa mtego waliokuwa wameupanga ndipo KAPILO alipowaza na kumwambia
MWANTUMU,
“duuuuh…! Hapa tutawezaje
kama hali ndio hiii au katumwa maana siyo kawaida”
“mimi mwenyewe sielewi
hapa”
“wewe unaona tufanye nini
tena” KAPILO alimuuliza
“mmmmh hapo sina ujanja
wowote ule KAPILO”
Walitoka eneo lile na
kuama tena kwa mara ya tatu kujalibu huku wakizani huwenda kabaatisha kujua
mitego yao, basi walipokuwa wakitafuta mahala pengine pa kuweka mitego upya
JITU lile liliwaona na kuanza kuwakimbiza wawili hao, nao kugeuka nyuma kuona
wakifatwa kwa kasi huku na huku walijikuta nao wakikimbia lakini vishindo
vilivyokuwa vikisikika vilizidi kuwachanganya sana na kuwapoteza uwelekeo
waliokuwa wakiufata nao kujikuta kila mmoja wao njia tofauti.
KAPILO alishangaaa kuona
hayuko nab inti MWANTUMU, naye MWANTUMU hivyo hivyo alishangaa sana kutomwona
kijana KAPILO ndipo kila mmoja wao alipofikia aliwaza atampata wapi mwenzake
nae kijana KAPILO alipokuwa kajificha aliona si sehemu salama ni bora amtafute
binyi MWANTUMU.
Alianza kupiga macho huku
na kule akitazama kama ataweza kumwona MWANTUMU, lakini hakuweza kufanikiwa
kumwona basi alitia juhudi na akili zake lakini kwani alikuwa na uwezo mkubwa
wa kufikilia na kutatua jambo, aliwaza sana pa kumpata lakini aliona kila awazacho
kinaenda ndivyo sio basi alimwona kijana akitapa tapa huku akiangaika kutafuta
njia ili ajiweke salama na ndipo alipo mdaka na kuingia nae kichakani hapo
alipokuwa na kuanza kumuuliza vijiswali vidogo vidogo.
“vipi mbona unaangaika
hivi”
“sielewi nakoelekea kwani
hapa ni wapi kaka” alijibu kijana huyoooo……
“duuuuuh kweli umepoteza
mwelekeo kwani hapa ni kichakani…..” alijibu KAPILO
“mmmmmmh duuuuh kuko
salama hapa maana wenzangu wote wameuwawa na lile JITU”
“Pole hapa huko mahala
salama, lakini nataka kukuuliza kitu ndugu yangu”
“uliza tu kaka”
“kuna binti yuko na
nywele nyingi unaweza kuwa umemwona mahali popote ulipokuwa unapita”
“ndio kaka tena mfupi
kiasi chake, nilimwona alikuwa akiangaika sana huku lile JITU lilikuwa ndio
linamfukuza kwa nyuma yake”
“duuuuuuh nisubilie hapa
naenda kumfata huko huko………….!!!”
Alitoka mbio kwenye
kichaka kile na kuanza kuzikamata nyaya za mahali alipokuwa kaelekezwa na
kijana huyooo na ndipo alipo karibia nae
kumwona MWANTUMU akiwa kwenye wakati mgumuuu huku akiwa chini amejeruliwa
vibaya na JITU lile.
.
.
“duuuuuh kweli umepoteza mwelekeo kwani hapa
ni kichakani…..” alijibu KAPILO
“mmmmmmh duuuuh kuko
salama hapa maana wenzangu wote wameuwawa na lile JITU”
“Pole hapa huko mahala
salama, lakini nataka kukuuliza kitu ndugu yangu”
“uliza tu kaka”
“kuna binti yuko na
nywele nyingi unaweza kuwa umemwona mahali popote ulipokuwa unapita”
“ndio kaka tena mfupi
kiasi chake, nilimwona alikuwa akiangaika sana huku lile JITU lilikuwa ndio
linamfukuza kwa nyuma yake”
“duuuuuuh nisubilie hapa
naenda kumfata huko huko………….!!!”
Alitoka mbio kwenye
kichaka kile na kuanza kuzikamata nyaya za mahali alipokuwa kaelekezwa na
kijana huyooo na ndipo alipo karibia nae kumwona MWANTUMU akiwa kwenye wakati
mgumuuu huku akiwa chini amejeruliwa vibaya na JITU lile. Akiwa chini
kajeruliwa vibaya sana na ndipo JITU lile kuona vile alimbeba na kutimka nae
mpaka kwenye NDOO kubwa iliokuwa na uwezo wa kubeba watu wapatao elfu moja,
basi alipofika alimnyanyua juuu binti MWANTUMU tayari kwa kumdumbukiza kwenye
ndoo ile gafra kijana KAPILO kutoa msaada wa mwisho kama ataweza kumsaidia
binti MWANTUMU, alifanya kila jitiada lakini aliambulia patupu pale alipo
shikwa nae na kubebwa juuu huku akining’inizwaaa kichwa chini na kuanza
kumzungusha huku akimbamiza chini
Lakini wakati JITU lile
likifanya tukio lile alijisahau na kubweteka huku macho yake yakiwa kwa watu
hao wawili tu, lakini kijana yule aliokuwa kaachwa na KAPILO kichakani alitoka
na kumfata kijana KAPILO kwa nyuma na kuhakikisha yuko nae basi pindi tukio
lilipokuwa linaendelea naye alikuwa kajificha huku akiwa na siraa ya jadi,
alianza kumweka kwenye tageti JITU lile na kuakikisha endapo atafyatua risasi
ile iende moja kwa moja na kumwangamiza, alizidi kuichochea huku akitizama kwa
umakini sana ili asimzulu mtu kwani JITU lile lilikuwa limewabeba wawili hao
huku likiwafanyia mateso makali.
Alifyatua risasi ile na
kwenda moja kwa moja kumpata mlengwa na aliona akiwaachia chini Binti MWANTUMU
pamoja na kijana KAPILO nao kudondoka chini alisubiria mpaka hapo atakapo
dondoka nae ili awawai vijana hao, alipoona nae mdogo mdogo akidondoka
alikimbia moja kwa moja kwa kijana KAPILO na kumnyanyua na kumkuta yuko mzima
lakini alikuwa ajiwezi basi aliiti vijana waliokuwepa na kuwaondoa eneo lile
huku akionekana kuwa shujaa wakati huo na kila mwanakijiji alimtazama sana
kijana huyo nae hakujali chochote kwani aliona ni jambo la kawaida, walifanyiwa
huduma ya kwanza nao kupata hauweni binti MWANTUMU pamoja na kijana KAPILO.
Walibaki wakishangaaaa
sana lakini walipo rudi kwenye hali nzuri kijana yule alianza kuwasimumia nao
walielewa nani kaokoa maisha yao, lakini kijana yule alimkumbusha tu kijana
KAPILO
“umeokoa maisha yangu
name sikuwa na budi kuokoa maisha yako”
“asaante sana ndugu yangu
kwa msaada wako” alijibu huku akimtizama kijana yule
“wala usijali” alijibu kijana yule na kuondoka
Basi kijana KAPILO na
MWANTUMU walipopona na kuwa vizuri waliishi na kuwa pamoja licha ya miaka
kupita waliendelea na kuendeleza VIGODORO kijijini hapo licha ya wazee wa
kijiji kile kukubaliana nao na VIGODORO kudumu kwenye kijiji hicho.
**************************MWISHO**********************
0 comments:
Post a Comment