NAMALA
.
.
.
SEHEMU
YA TATU
MTUNZI HANS CHARLZ @hanscharlz @storynzuri
WHTSAPP 0652486818 (10000)
Alipachika siraha yake vizuri na huku akiwa kwenye
kama kwani Binti NAMALA aliofia huwenda Bwana TUMBAKU anaweza kumkimbia kwa
kile walichokuwa wameaidiana…
.
Walianza safari iliochukua mwendo kidogo kufika eneno
la tukio huku katikati ya safari kulikuwa na kuto kuelewana pale binti NAMALA
alipoona hisia zake zikienda kufika tamati huku ajafanya kwichikwichi na Bwana
TUMBAKU…… lakini Bwana TUMBAKU alikuwa akimtia moyo mahari walipokuwa
wakienda..
“mbona hatufiki”
“ni hapo tu NAMALA wala si mbali”
“bwana au unanidanganya”
“si wezi mkufuru mungu huku kitu nakitaka”
“mmmmmh” Aliguna huku akiacha alama ya kuuliza kwa
Bwana TUMBAKU
Basi walipopiga hatua kaza huku binti huyo akiwa
mashakani naye kwa mbali aliona nyumba ikiwa katikati ya pori ikiwa tupu tena
huku hofu yake ikawa imetulia na kumshitua Bwana TUMBAKU….
“naona kwa mbali nyumba ndio hiyo”
“yah ndio yenyewe”
“hoooo tuwai sasa” alimsisitiza huku wakiongeza kasi
kuelekea kwenye GOFU lile.
Walikaribia karibu huku Bwana TUMBAKU akiwa na furaha
akiamini siku hiyi anakula kuku na mifupa yake…. “leo kuku kanona kweli huyu
nakula, mpaka mayai yake…..!” ni mawazo yaliokuwa yakimtoka Bwana TUMBAKU
kwenye kichwa chake
.
.
Walifika kwenye GOFU lile huku Binti naye akionekana
kulifahamu sana kwa undani kuwa linavitu vyake, basi hakuweza kumwambia Bwana
TUMBAKU na kuingia ndani
Waliongozana na kutafuta mahara palipokuwa salama kwa
mchezo waliokuwa wakienda kuucheza kwani walionekana kila mmoja wao alikuwa
akicheza uwanja wa ugenini na ikabidi kila mmoja kabla ya mchezo ni lazima
wafanya mazoezi ya viungo….
Walipanda gorofa ya juu huku wakiona kuwa ni salama
Zaidi na ndipo Bwana TUMBAKU alipopata chumba kizuri na kumwita Binti NAMALA
ili nae akishuudie…
“hapa vipi?
“hapo poa” ….
“sawa binti mrembo” aliitika kwa sauti ya kiume huku
akibaki akimsifia na kumjaza hamu ya kumtamani…..
.
Na kumsogelea mpaka eneo binti NAMALA huku akianza
kuonesha madoido huku akimtekenye mwili wa binti NAMALA…..
Hisia za binti NAMALA zilionekana kuwa na misukosuko
pale zilipogoma kupandisha molali wa kufanya mapenzi,.. basi jukumu alikuwa
nalo Bwana TUMBAKU la kuweza kuzifanya hisia hizo ziweze kupandisha mukali
wake….. basi ndipo alipo toka nje haraka haraka na kuingia chumba kingine
kutafuta vitu vya kuweza kumtoa na kumweka kufanya mapenzi… nae Bwana TUMBAKU
alifanikiwa kukuta kuna magara ya pombe za hasiri nae kuchukua baadhi na kurudi
moja kwa moja kwa binti NAMALA huku akihakikisha pindi wakinywa vitu hivyo
watapata hamasa ya kufanya………
.
.
“NAMALAAAAAA!” aliita Bwana TUMBAKU
“abeeee!” nae NAMALA aliitika
“nimekuja na zawadi” aliongea huku mikono yake ikiwa
nyuma huku akisubilia tu tamko la binti NAMALA ili aweze kukitoa
“zawadi ipi tena hiyo”
“nzuri sana” aliongea nae kuitooa
Bwana TUMBAKU alipoweza kuitoa ile zawadi binti NAMALA
alifurahi sana na kumkimbilia Bwana TUMBAKU na kumpiga mabusu mengi sana kwani
nae binti NAMALA alikuwa na kiu ya kupata pombe ili aweze kuwa fiti mchezoni na
kubaki akimwangalia Bwana TUMBAKU kwa kile alichofanya kwani hakutegemea kama
anajua kuwa anapendelea kunya vitu vikari….
“asante sana! Umejuaje kama napenda vitu hivi”
“haaaaa! Kawaida tu NAMALA kwa kila kijana wa sasa
kwenye shughuri kama hii lazima kutumia”
“mmmmmmmh umenishinda tabia”
“haahahahaa” alichea Bwana TUMBAKU huku akim’minia
binti NAMALA kinywaji kile huku akimpapasa maeneo yote ya mwili wa binti
NAMALA….
Ndipo pombe zilipo kolea na kila mmoja kuanza kucheza
nyimbo aliokuwa akiijua mwenyewe, huku bwana TUMBAKU yeye alikuwa ni mzoefu
alibaki akimsikiliza binti NAMALA mpaka atakapoona ni mda muafaka wa kukata kiu
aliokuwa nayo ndani ya suruali yake….. basi zilipita kama dakika kazaa huku
Bwana TUMBAKU akionekana kuumia mwenyewe huku kipezeo kilikuwepo nae alichukua
jukumu…………….?
.
.
.
"USIKOSE SEHEMU INAYOFATA HAPA HAPA "
0 comments:
Post a Comment