Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

KIGODORO Sehemu ya Pili

.
.
MTUNZI HANS CHARLES
Instagram @hanscharlz @storynzuri 
SEHEMU YA PILI
KAPILO UVUMLIVU ULIPOMSHINDA NA KUFATA MSAFARA
Vijana walizidi kupita mtaaa kwa mtaaa huku wakiakikisha wanazunguka kijiji kizima huku wakikusanya pesa kwa wale watakao vutiwa na ngoma zile yaani “kutoa SADAKA” basi walipokuwa wakipita pita watu nao walikuwa wakiburudika na kile walichokuwa wakisikia huku mitikisiko na vishindo vya wacheza ngoma nazo zilikuwa zikiwaamasisha wanakijiji wa kijiji hicho kuwa wako sehemu flani.
Ndipo kijana KAPILO aliungana na binti mmoja wa wale waliokuwa wakicheza ngoma ile nae kumuuliza
“Mnaelekea wapi?” KAPILO aliuliza huku akimtolea macho binti yule Kwa mavazi aliokuwa kavaaaaa……
“kaka weeee!!!!!! Hiiii bado sana kwani twazubguka kijiji kizima na siku nzima wewe tu na huruka yako……………? Dada yule alimjibu na kupita kwa mbele yake na kuanza kumkatikia kijana KAPILO
“Ooohooooooo…...!!!!!!!” mguno ulisikika kutoka kwa kijana KAPILO kwa kile alichokuwa akifanya binti yule.
Nae binti alipomwona kijana akibaki aki duwaaaaaa!!!! Alichomoka mbioooooo na kuingia kati kati ya kikundi chake na kuendelea na mudundiko uliokuwa ukiendeshwa na vijana wachache amba walionekana kuwa na ustadi ya hali ya juuuuuuu, moja alijulikana kama “AAMBILIKI” alikuwa ni kijana ambaye alipata jina hilo kulingana na matendo ya kutomsikia mtu nae ndiye aliye kuwa mwanzilishi wa ngoma za VOGODORO kijijini hapo, basi alikuwa akiwapa raha watu waliokuwa wakiusindikiza msafara ule ambao watu wengi hawa kuchoka kwani vijana hao akiongozwa na “AAMBILIKI” walikuwa wakichanganya midundo ya aina tofauti.
Walizidi kupiga hatua huku safari yao ilikuwa inaelekea ukingoni mahali walipokuwa wamekusudia kuweka kambi usiku mzima wakicheza ngoma huku wakiburudika kwa vinywaji na kila aina ya starehe
.
.
KAPILO alizunguka na ndooo yake siku hiyo yote huku akiwa nayo kichwani mpaka majira ya saa kumi na mbili jioni nae kupata hauweni pale walipo weka kambi na kuanza kucheza huku wakipokezana kwani wengi wao walipoteza nguvu zao walipo kuwa wakitembea na kuchukua mda mrefu sana,
Ndipo alipo tua maji yake na kuyaweka pembezoni kidogo na pale walipokuwa wakitimua vumbiiii huku mduwara ukitengenezwaaa na watu wakipandisha mashetani yao.
Walicheza sana huku walivyokuwa wakizidi kumiminika watu nao walipata nguvu, kwani watu walikuwa wakiwamwagia fedha nyingi, nae kijana KAPILO aliendelea kuona raha huku akivutiwa na mdada moja kati ya wale waliokuwepo wakicheza “KIGODORO” huku akimlia tageti yake kumfata mahala atakapokuwa peke yake, walizidi kumwaga fedha wanakijiji huku wengine wakiminika kutoka kila pande za kijiji hicho,
Nao wazee wa kijiji walikuwa wamekwisha peana taharifa juuu ya “VIGODORO” walivyokuwa wakicheza kipindi cha nyuma lakini hiki kilionekana kuwa cha tofauti yake huku kikiwafanya wanakijiji kuacha shughuri zao mnamo majira ya asubui mpaka usiku, kilikuwa kitu cha kushangaza sana kwani watu hawakusikia bali walipenda kucheza “KIGODORO” kwani kilikuwa na mambo flani ambayo yalikuwa ni adimu kwa wanakijiji na huchezwa mara moja moja, wanakiji wengi pindi wakikosapo kucheza “KIGODORO” kwa wiki wengi huwa na hamu ya kucheza basi wakionapo tu wengi wao ukitamani na wanakifata ili nao wachezeeee……………..!
Ndipo kijana KAPILO alipo mwona binti yule aliyekuwa akimtolea macho yuko upande wake akiwa mwenyewe, nae alichomoka mpaka alipokuwa binti yule na alipo fika tu alianza kuongea nae,
“Samahani nakuona wacheza, Hongera unacheza vizuri dada yangu” aliongea kijana KAPILO huku akimtizama kwa jicho la mahaba
“AHSANTE sana lakini sio sana ebu ona wenzangu wanavyo jua kuyazungusha” alimjibu kwa mafumbu huku nae rohoni alikuwa akichekelea kwa sifa alizokuwa akimwagiwa na kijana KAPILO
“Mmmmmmmh! Wewe mbona mimi nimeona uko tofauti nao samahani lakini waitwa nani….?” KAPILO alimuuliza
“Naitwa MWANTUMU” binti MWANTUMU alimjibu nae kubaki akimfikilia kijana KAPILO kwanini ka mfata yeye tu au ni mzuri alibaki akijiuliza na kuto fanikiwa kupata jibu lolote lile…………
Basi kijana KAPILO alipo mwona akitabasamu nae jicho lilimtoka na kukumbuka mda umeshakwenda sana nae kugeuka nyuma na kuelekea mahali alipo acha ndooo yake, na alipofika tu alinyanyua ndooooo yake, lakini pindi alipokuwa akipiga hatua zake kurudi nyumbani na kukiacha “KIGODORO” kikiendelea mara gafra aliomwona binti yule yule aliokuwa akiongea nae akimfata nae KAPILO kusimama…………..!

.
.
KAPILO kusimama…………! Chakushangaza MWANTUMU akutaka kuonesha na kuona aibu yoyote pale kwani alikuwa kwenye kazi licha yay eye kuvutiwa na kijana KAPILO alimshika mkono wake licha ya kijana KAPILO kutoelewa chochote wakati huo nae alimwangalia mnooooo! MWANTUMU huku akiwa nae anapata hisia nyingi kwa mkono uliokuwa umemshija KAPILO nae alijikuta ana lopokaaaaa “MWANTUUUUUUMU!!!!!!! Wewe mkono wako una nini”
“Mmmmmmmmh kwanini wasema hivyooo” mwantumu aliguna na kumuuliza KAPILO
“Si unani naniiiiiliiiiiiii”
Hapo hapo MWANTUMU alipo pata nguvu kwa yale maneno yalio mtoka kijana KAPILO nae kuanza kucheza huku akimkatikia mauno hatariii kijana KAPILO mpaka kupelekea kijana KAPILO kutokuwa mvumilivu japo alikuwa kabeba Ndooo yake kichwani, Nae alianza kujibu mashambulizi ambayo binti “MWANTUMU” alivyokuwa akimpelekea,
Ndipo alipo ona ni heri kuishusha ndooo ile aliyokuwa kabeba ili aweze kuyakata vizuri, nae alifanya hivyo na kuenedelea na mdundo ule, binti aliona azidishe manjonjo mpaka kumpelekea kijana KAPILO kuwa hoiii maeneo ya chini ya kiuno cha kijana KAPILO
Huku nae hakutaka kukubali kama kashindwa na binti “MWANTUMU” nae kujibu japo kishingo upande alicheza sana kwenye makalio ya binti “MWANTUMU”
Mda ilikuwa ikizidi kuyoyoma huku KIGODORO kile kuzidi kukolea nao watu kuzidi kumiminika mahali hapo, MWANTUMU alipoona kijana KAPILO yuko vizuri nae kutoka nae pembeni kidogo mwa KIGODORO kile huku akiwa na shauku ya kujua kipi hasa siri ya ujuzi wake japo kuuonja ndipo atalizika,
“KAPILO wewe ni hatariiiiiiii” binti MWANTUMU alimbwagia sifa kijana KAPILO
“Mmmh kweli”
“Ndio kweli unaonekana kuwa fundi sana” MWANTUMU alizidi kumjazia sifa za hapa na pale kijana KAPILO
“Ahsante sana mbona hata wewe ni mkali maana nilifikia kipindi GIA zilikuwa azipandi”

“Hahahahhahahha KAPILO bwanaaa!!!!” MWANTUMU alicheka huku jicho lake likiwa limelegea.
.
USIKOSE SEHEMU INAYO FATA HAPA HAPA 
Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment