Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

storynzuri sehemu ya hamsini na nane shemeji ingiza pole pole



.
.
sehemu ya hamsini na nane

Mtunzi INSTAGRAM @hanscharlz @storynzuri

Ilipoishia " nilijawa na hudhura kidogo na kuomba niende TOILET basi nilinyanyuka na kwenda na kufaikiwa kufanya nilichokuwa nimekusudia na kurudi lakini wakati nikirudi nilipishana na mtu ambaye nilimkisia kuwa namfahamu?"


Nami nilipopiga hatua kazaa na kugeuka vizuri ili kumtizama mtu huyo kwani nae alionekana kujifunga mwili wake wote na kubakisha nyuso yake tu mfano wa mtu kubakisha macho na kujifunga mwili mzima nayo iliniwia vigumu mno kumjua wakati huo huku nikiwa namuwaza sana maana nilihisi kuwa huwenda atakuwa ananifahamu. Basi ilinibidi niendeharaka haraka mpaka mahari nilipokuwa nimemuacha Erick ili nimgonje kumwangalia mtu huyo tena huwenda naweza mfahamu wakati akiwa anatoka nami nilifika kwa Erick. Nilikuwa sina amani wakati huo huku nikiwa nakisia ya kuwa huwenda ni dada Amina yuko nami sehemu moja tukisherekea usiku huooo kwani hata mwendo niliokuwa nimeuona kwa dada uyo ulikuwa ukiendana nae lakini sikutaka kuweka akilini kitu hicho bila ya kusibitisha kuwa ni yeye au laaa!.
Ilinibidi nihame mahari nilipokuwa nimekaaa na kuamia upende wa pili wa meza yetu ili nikae mahari ambapo hata akitoka TOILET niweze kumwona vizuri nami nilifanya hivyo huku nikiwa na angalia mara kwa mara watu waliokuwa wakitoka nayo ilikuwa vigumu mno kuipata sura yake kwani alionekana kuchelewa kutoka huku waliokuwa wakitoka ni wale niliokuwa nawaona wakiingia na kutoka huku nikihisiii uwenda alikuwa mtu wa ajabu lakini hazikupita hata dakika nilipoongea neno hilo nae alionekana kutoka huku akiwa kainamisha kichwa chake nami macho yangu yalikuwa makini yakimtizama dada huyo kwani nilikuwa na shahuku ya kutaka kumjua licha ya Erick alikuwa akiendelea kunywaa tu na akiongea mawili matatu huku mchezo huo hata alikuwa ahujui.
Nilishindwa kumwona vizuri huku nikiwaza kile nilichokuwa nataka na kuwaza "Ebu ngoja nimtizame mpaka anapo ishia huenda atakapo kaaaa nitajua ni nani au namfananisha"
Niliendelea kumwangalia mpaka hapo alipofika mahari alipokuwa amekaaa wakati wa nyuma na kukaaa lakini nilipo tizama pembeni yake na kumwona shem Erick akiwa anakunywa na kufurahia hapo hapo nilifungua kinywa changu na kumwambia Erick
"Erick tuondoke mahari hapa sasa hivi?!"
Niliongea huku nikiwa nimeshapaniki kwa ile hali iliokuwa imejitokeza machoni mwangu kwani sikutaka hata kuwakutanisha kati ya Erick na Dada Amina kwani nilikuwa nimekwisha kusema uongo.
"Kuna nini Isabela?' Aliuliza Erick huku akinifanya nizidi kupagawa na kuchanganyikiwa nikiona mda unazidi kuyoyoma.
"Twende Erick kwani najisikia vibaya mno naitaji kupumzika na nitakuambia nyumbani"


Nae Erick alionekana kujibu huku akiwa mnyonge kwani ilikuwa gafra sana kwake kuambiwa kitu hicho,
"sawa haya twende isabela"
Tukitoka mkuku mkuku huku nikiwa mbele na haraka zangu nusulu nianguke kwenye ngazi hayo yote yalikuwa ya kutoonekana kwa dada amina na shem Erinest tu kwani kungekuwa na taharuki na majibizano ambayo sikupenda yatokee hapo. Tulifika mpaka mlango mkubwa wa kutokea na kupanda gari na kundoka na tulipotoka maeneo hayo nilishusha pumzi huku ikiambatana na furaha kiasi chake.
Na tulipofika nyumbani kwa Erick na kuingia mpaka ndani huku akiwa anielewi ni kitu gani kilicho nifanya mpaka kuondoka mda huo na kuniuliza,
"kulikoni Isabela nini kimekupata mpendwaaa haya nambiye?"
Nilitulia kidogo huku nikipanga cha kumwambia Erick wakati alipokuwa akinisemesha nami nilikuwa na suka uongo ili uonekane kuwa wa ukweli basi nami nilipoona hivyo na ndipo nilipo mjibu Erick.
"haaaaaah! sorry Erick kwa kukukatisha kwani nilipatwa na tatigo gafra kwenye mwili wangu huku na zile kelele za pale zilikuwa zikichangia kwa kiasi kikubwa kuufanya mwili wangu kuwa na hofu na mtetemo wa mdundo na ndipo nilipokuambia tuondoke"
Nae Erick kusikia sauti ya kike huku ikionesha hali ya kunyenyekea nae alikubaliana na mimi na kuniambia.
"Basi twende nikupeleke ukapumzike ili kesho asubuhi sana nikupeleke hospital isabela"
"okay sawa Erick tutafanya hivyo kesho kama nikiendelea kujisikia vibaya"
Basi nae alinishika na tukaongozana mpaka kwenye mlango wangu nami kuingia ndani huku Erick akiniaga kwa kuni busu kwenye shavu langu huku akinitakia usiku mwema
"usiku mwema Isabela"
"nawe pia Erick"


Nilirudishia mlango na kupanda kitandani huku zoezi langu ilikuwa limepita nami kupata usingizi na kulala, kulipokucha tu mtu wa kwanza kuja alikuwa Erick naye kugonga mlango wangu na kumfungulia
"za asubuhi Isabela unaendeleaje" aliuliza Erick huku akionesha kunijari mno
"yaaah nimeamka salama namshukuru mungo japo vitu vilivyo nipata jana naona kama vimetulia"
okay sawa amka sasa twende hospital ukafanye vipimo"
Nilishitushwa sana wakati huo huku mawazo yangu hayakuwa kwenda hospital nami kutafuta sababu ya kujitetea kutokwenda kwani nilikuwa najifahamu kuwa ni mzima tena mwenye afya teleee.
"hakuna haja tena Erick ya kwenda mimi hospital kwani najiona niko vizuri"
"kwanini Isabela" aliuiza Erick huku akiwa na hofia afya yangu
"najihisi niko vizuri tu Erick wala usipate tabu mpenzi"
alibaki akiniangalia sana huku akinionea huruma japo alikuwa ajui kitu basi nae alitoka chumbani na kuniacha nikiwa nimelala bado.
Ilinibidi niamke na kutoka kwani kulikuwa kumekucha zaidi, nami kuingia bafuni na kuoga na nilipo maliza nilirudi chumbani na kubadilisha nguo na kwenda sebureni kuona kama wameanda kichu chochote. Nilipofika sebuleni hakukuwa na mtu na ndipo nilipo pata wazo la kwenda jikoni,
Niliingia jikoni na kumkuta Erick akiwa anaanda chai nami ndipo kuanza kusaidizana nae huku akionekana kuwa tofauti pindi tu nilipo mjibu kuwa niko sawa na kuto kwenda hospitali.
"Erick na hivi navyo nipeleke mezani" nilimuuliza Erick
"yaaah tena vya muhimu sana peleka" alinijibu
Nami kupeleka na nilipo rudi nilisimama pembeni yake huku nikiwa na mwangalia alichokuwa akipika mchanganyiko wa mayai na viungo huku akitia nakshi ili kunukia vizuri.


Nilimsogerea mpaka alipo na kuwa nyuma yake huku nikimshika kiuno chake nae akiwa anapika huku nikimtamkia maneno matamu ambayo yalimfanya amalize mapema kupika nami nilizidi kuzidisha huku nipandisha hisia zake nae uvumilivu ulikuwa duni na kunigeukia na ndipo nilipo mgusa mdomo wake na kumwambia
"shiiiiiiiiiiii! ngoja kwanza tumalize kula Erick" nami hapo hapo kuchukua kile chakula na kukiweka kwenye sahani na kukipeleka mezani na kwenda kwenye mlango wa Alex na kumkarinisha
"Alex alex alex"
"yes isabela"
"chakula tayari karibu mezani"
"okay sawa nakuja isabela nyie endeleeni tu" alijibu Alex
 Niliondoka mlangoni mwa Alex na kurudi mezani kunywa chai nae Erick nilimkuta akiwa anaendelea nami kuchukua nafasi na kuanza kunywa chai. wakti tukiendelea kunywa chai Erick alikuwa akinitizama sana huku nami nikifikiria tu nikile nilichokuwa nimemfanyia jikoni kitakuwa kimepandisha mashetani yake.
Nami niliendelea kula na nilipoona akizidi kuniangalia nilimuuliza
"vipi Erick wanitizama sana nambie hicho wataka kuniambia"
alishituka sana na kujibu
"hamna Isabela"
"okay sawa leo umejitaidi kupika nimekipenda"
"hahahahaha kweli mbona mimi nakiona cha kawaida tu" aliongea erick huku akiachia tabasamu zuri
"yaaah Erick kizuri mno"
"okay asante ngoja na Alex nae akila tutajua tuuu kama unanimwagia sifa nisizo zistahiri"
Nilimaliza kula na kutoa sahani yangu na kuipeleka jikoni na nilipofika tu jikoni Erick nae alikuja mbio mbio na sahani yake na kuweka na ndipo alipo nibana ukutana huku akiweka mikono yake kunizunguka mimi na kuniambia
"Leo usiondoke mwambie dada yako hupo huku sawa nataka tuzungumze vizuri usiku"
"mmmmmmmh sawa Erick" nilimjibu huku nikiwa najuwa kuwa sina mahari pa kulala hiyo itakuwa ndio nafasi yangu

JE NI NINI ERICK ALITAKA KUMWAMBIA ISABELA USIKU USIKOSE MWENDELEZO HAPA HAPA

WHATSAPP GROUP THS 5000 ONLY +255 652486818

...........................STARBOY.............





Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

4 comments:

  1. Huyu eric ananiuzi analemba sana kwa nini hadi leo hajambandua mtoto!!

    ReplyDelete
  2. Daaah, Ernest anaonekana ana bahati ya Kitanda.

    ReplyDelete