.
.
UTAMU WA TUNDA SEHEMU YA 11
MTUNZI HANSCHARLZ
INSTAGRAM @hanscharlz @storynzuri
Whtsapp +255 652486818
.
.
Ilipoishia
“Basi twende huku,” Frank aliposikia vile naye
alimshika mkono Happy na kumkokota hadi chumbani kwake na kufunga mlangoooo
huku jogooo wake wa shamba alianza kuwika taratibu.
Walisimama katikati ya chumba, Happy akaanza yeye
kutoa ulimi na kuupeleka kinywani mwa Frank huku akihema kwa nguvu na kumpapasa
kifuani mwa kijana Frank...
.
.
Frank akiwa bado haamini
kwa kile alicho fanya bint Happy, alijikuta amemkumbatia kwa nguvu zote huku
naye akihema kwa sana kama mtu aliyetoka kukimbia mbio ndefu..., Frank
aliendelea kumpapasa huku akihakikisha kuwa binti Happy ampi nafasi yoyote ya
kujitetea wakati akifanya yake, alimkamatilia maeneo ya nyumba huku akiangalia
vizuri kile alichokuwa akiktamani kwa md asana nacho kiko mikononi mwake naye
alijisemea “daaaaah amakweli happy kaumbika sio kwa kujazia hivi, leo kaingia
kwenye mikono yangu lazima anyanyue mikono juuu”
Frank alionesha bwebwe
pale alipo mbeba juu huku akijipima nguvu zake kwani alifikilia pindi atakapo
shindwa tu mapigo yote japo aponee kwa pigo hilo……,
“Happy,” aliita Frank kwa
sauti ya kukatika huku akihema kwa nguvu na kuonekana kuwa yuko tayari kwa
mashambuliziiiii...
“Abee.”
“Ni kweli?”
“Kwamba?”
“Leo uko mikononi mwangu
mtoto mzuri mzuri?”
“Jamani...kwa nini
huamini?” alijibu huku akitoa jicho huku akiwa kalilegeza hatariii na kuzidi
kumpagawisha kijana Frank,
“Siamini kwa sababu
nimekufukuzia kwa siku nyingi kidogo lakini sikuona kama utaweza kunikubali. We
mwenzangu unaonekana ni msichana mwenye hadhi ya juu, unataka kuwa na wanaume
wenye fedha zao si kama mimi kabwela niliyechoka kama mpira wa makaratasi,”
alisema kwa kulalamika Frank huku akimalizia kwa kutoa tabasamu hatari ambalo
hata binti Happy alibaki akimshangaaa sana...
“Jamani Frank, mbona mi
niko kawaida tu! Kwanza ni lini umewahi kuniambia lolote kuhusu mapenzi, si leo
tu?”
“Ah! Ni leo kweli lakini
kwani wewe hukuwa unaona alama zozote kwangu za kuashiria kukupenda?”
“Kama sipi? Hata zile
salamu za kila siku zilikuwa zinaashiria kwamba mimi nakupenda sana.”
“Mh! Sikuwa najua.”
.
.
Frank alimshikashika Happy
sehemu mbalimbali za mwili huku wakati mwingine akimbusu na kuomba denda.
Walisimama kwa karibu dakika kumi nzima, Happy akavunja ukimya kwa kuzungumza
kwa sauti ndogo sana...
“Frank...?”
“yes happy”
“Mi mbona tayari Frank..”
“Tayari nini Happy?”
“Twende bwana mda huuu
niko chapaka chapa Frank.”
“Wapi? happy”
“Si kitandani jamani
Frank.”
Ndipo Frank akabaini
kuwa, kumbe tayari kimahaba, kwamba Happy alishapata joto kali na tena liko linamwasha
anaitaji kukatwa kiu. Alimshika mkono hadi kitandani ambapo hawakupoteza hata
dakika saba, walianza kuungurumishana kwa kupinduana kila upande, huku kila
maeneo yote kijana Frank aikuwa akiyatendea haki, huku binti Happy naye
akimiliki jukwaa vizuri.
Happy alishangaa kuona
Frank akiwa legelege? licha ya kuanza kwa kupashana kwa mda kidogo. Frank
alilala, akashindwa kuamka kwa nguvu alizokuwa kazionesha kipindi cha mzwnzo?
ili mechi iendelee...
“Frank vipi,” aliita
Happy...
“Mm...Happy!”
“Vipi tena, una nini
kwani?”
“Na mimi nashangaa Happy.”
“Kwani ni kawaida yako
kutokea hivi….??
“Si kawaida yangu kabisa…..
sielewiiiii”
“Au umechoka maana mimi hapa
hata sijapata shamsham ya kutosha bado naitaji Frank…?”
“Wala usijali, ila sema
tangu juzi nahisi nina malaria imenikamata lakini duuuuh” alijitetea Frank huku
dalili za jongoo wake kuamka ili alete
fujo zake zikiwa hazipo hata chembe kwani zilipotea gafla pindi alipo tupa
mashuti yake mawili tuuuu, na ndipo Hapyy alipo towa wazo huku akutaka kukubali
kuondoka hivi hivi bila ya kukatwaaa kiu yake aliokuwa nayo wakati huo na pia
alikuwa kapandisha mashetani yake ili bidi tu Frank ayashushe kwa njia yoyote
ileeeeee..
“Basi tuanze kuchezeana
upya mpaka au unaonaje Frank unipe haki yanguuu nayo sitahili kwa siku ya leo,
uimarike tena” alishauri Happy huku akimtolea macho ya huruma kijana Frank,
huku naye Frank akijibu kwa kuogopaaa ogopaa kwani alionesha uzembe mno..
“Labda.”
Walisimamisha mchezo ule
na kila mmoja wao aliona ni vyema apige hatua kwenda kutafuta japo maji ashushe
koo lake vizuri, wakaendelea kupashana huku wakishikana kwa muda wa kama dakika
kumi nzima, lakini Frank jogooo lake alikuweza hata kuamka kwa wakati huo hata
kidogo..., ndipo alipo fikilia sana kijana na kumwendea juuu binti Happy….
“Au Happy umeweka pini
kwenye nywele ili nisiweze kufanya yangu, nasikiaga mwanamke akiweka pini
kwenye nywele, mwanaume haamki?”
“Angalia nywele zangu,
hiyo pini iko wapi?” aliuliza Happy huku akimshika mkono Frank kwenye ikulu
yake na kuivuta vuta ili aweze kuamka, naye Frank kuupitisha mkono wake ndani
ya nywele za binti Happy nyingi zilizolala hadi mgongoni.
.
.
Happy alikuwa hoti sana
maana tangu atoke kwao tayari alikuwa hoti na alitaka kutolewa joto hilo na
mwanaume, naye alimpendekeza kwa siku hiyo ni Frank, Kisa cha kutoka kwao getini
muda ule ni kuona kama angemkuta Hans aweze kumshugulikia vilivyo..., basi
aliendelea kusemezana na Frank chumbani mule huku akianza kumfikilia tena
kijana Hans….. kuwa angekuwepo wala asinge sikia habari kama za Frank…..
“Sasa Frank unadhani
itakuaje na mimi nataka” aliuliza Happy kwa sauti ya kukata tamaa.
“Hata sijui Happy maana
najijua mimi natoa adhabu ya kutosha sijui leo happy niko vipi?, ndipo happy
alimsukuma Frank, na akatoka kitandani, akavaa nguo zake na kutoka haraka
chumbani huku Frank akibaki ameduwaaa mara gafla simu yake ikaita na kuiona
namba ya kijana John..., naye Frank alipokea simu ile.
“oyooo vipi John,
samahani nimechelewa sana kulikuwa na ishu nafanya”
“hoooooo wala usijali
wewe njooo na tena yuko hapa anakungoja…..”
“mmmmh unasema?” aliuliza
huku akitazama huku kabwagwa kisa joogooo lake aliwezi kuwika.
“okay sawa john nakuja
sasa hivi” alikata simu huku akiendelea kumfukuza binti Happy kwani alikuwa
kaisha kata tamaaa na mrembo yule na kupata aibu sana…..
“Happy Happy! Happy my
dear,? aliita Frank huku akizidi kumkimbilia.
Happy ile anafika mlango
mkubwa wa kuingilia sebuleni anakutana na rafiki yake Frank...
“Heeeeeeeee! Happy leo
umekuja kutusalimia ma home kwetu Frank yupo ndani”
“Ee, mambo vipi lakini.?”
poa, hawajambo nyumbani?” Happy alionekana kuwa na haraka naye kijana yule
alionekana kutaka kupiga stori na mrembo yule kwani kila kijana mtaani alikuwa
akimtolea mate mno.
Kabla Happy hajajibu
hawajambo au la, Rafiki yake Frank alishangaa sana kumwona rafiki yake akitoka
na taulo tu...
“Mh! Wewe vipi tena? Eti
Happy kwani kuna nini?”
“Hamna kitu mbona”
alisema Happpy akiwa ameshafika getini na kutoka zake nje.
Alitembea kwa kasi mpaka
nje ya geti nyumbani kwao, na akasimama hapo baada ya kumwona mtu mmoja akipita
na mkokoteni wa maji, naye binti Happy alipoona ni nafasi ya pekee kumuuliza
kijana huyo kwani alikwa anamjua kijana Hans..
“Eti samahani, kuna yule
kijana Hans mchafu mchafu, umemwona leo kaka yangu?”
“hooooo! Nimemuona na
yuko pale kwenye duka la maji,” alijibu mtu huyo huku akiendelea na safari
yake.
Happy alichanganya miguu
hadi kwenye duka lile na kumkuta Hans akiwa amekaa chini akiwa ameshika chupa
huku kinywa maji ya mia mbili, akiwa kajiinamia hana hili wala lile...
“Baby, mbona nakutafuta
sana jamani?” alisema Happy bila kujali vijana wa mtaani waliokuwa wamekaa nje
ya duka lile wakipiga stori, naye alipaza sauti ile huku akimtizama kijana
Hans.
“Nipo.” Wale vijana
waliposikia kile walimtizama sana Happy, wakaulizana kama wanayoyasikia kutoka
kwenye kinywa chake ni ya kweli au utani...
“mmmmh hivi kweli kijana
huyu mchafu anakula mzigo hapo” kijana mmoja alisikika akiongea
“mmmmh hata mimi sijui
lakini umejionea mwenyewe kwani yeye nani anaweza kula TUNDA hilo”
Basi vijana hao walibaki
wakijiuliza huku kila mmoja wao akijua kila kitu, Nao wote waliwatizama huku
wakiwaona wanapiga stori na vicheko vikiwa vingi, nao waliondokaaa.
Happy alimshika mkono
Hans na kuanza kuondoka naye kuelekea kwenye nyumba ya wageni moja jirani tu...
JE,
UNAJUA NINI KILITOKEA HUKO? USIKOSE IJUMAA HAPA HAPA
0 comments:
Post a Comment