Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

storynzuri UTAMU WA TUNDA sehemu ya kumi na mbili

.
.
UTAMU WA TUNDA SEHEMU YA 12
MTUNZI HANSCHARLZ
INSTAGRAM @hanscharlz @storynzuri
Whtsapp +255 652486818
               
Ilipoishia
Basi vijana hao walibaki wakijiuliza huku kila mmoja wao akijua kila kitu, Nao wote waliwatizama huku wakiwaona wanapiga stori na vicheko vikiwa vingi, nao waliondokaaa.
Happy alimshika mkono Hans na kuanza kuondoka naye kuelekea kwenye nyumba ya wageni moja jirani tu...
.
.
Vijana wa mtaani hakuna aliyeamini kwa kile alicho fanya happy pamoja na kijana Hans, hasa wakizingatia kuwa haiwezekani na kuwaza labda ni masikio yao mabovu hayakusikia vizuri, kwani Happy ni mtoto wa kishua awezi kwendana na kijana mchafu Hans,
Ndipo Hans alipo amuwa kumwambia waende kwenye geto lake, liliopo jilani tu na hapo walipo kuwa ili aka mtoe uvivu wa siku chache zilizopita. Hans alijitamba kwani alikuwa kakwisha kumwona Happy yuko kwenye hali gani na ndipo alipochukua point tatu muhimu wakati huo kumwomba waende getoni mwake.
“Happy baby waonaje twende getoni kwangu” aliongea Hans huku akimwonea aibu binti kama ataweza kukubali au laaaa!
“yah! Wewe tu Hans maana nyumbani kwenyewe leo yupo baba” Happy alijibu huku akitamani hasa kwenda kupajua na anapoishi kijana Hans
“okay sawa tunaweza ongozana wala usijali ni hapo tu mtaa wa tatu”
“sawa baby”
Vijana wale waliendelea kuwa tolea macho Hans pamoja na Happy na ndipo kijana mmoja na mwingine walikuwa wakijibizana
“Kila kitu kipo kuanzia usafiri hadi mambo mengine, hasa kuhusu mtonyo! Iweje ampende kijana mchafu mpaka sisi katuzidi”
“Jamani, inawezekana kweli?” kijana mmoja, aliuliza.
“Inawezekana kabisa! Unajua bwana hawa mademu wa kishua si kivile. Wanafungiwa kila wakati kwa hiyo wakipata upenyo ndiyo kama vile wanatoka na kila mtu mwenye kisu kikali” alijibu mwenzake
.
.
Mjadala mkubwa ulizuka kwenye kijiwe hicho kuhusu Happy kuingia geto kwa Hans ambaye anajulikana kwa uchafu kwa kuvaa nguo chafu na kutopenda kuoga huku akijali samani ya kazi yake aliyokuwa akiifanya watu wengi walikuwa wakimweka kwenye makundi tofauti tofauti mapaka kwenye makundi ya wavuta mbangi alikuwepooooo.
“Hata kama watoto wa kishua wanabanwa lakini ndiyo wakipata upenyo wanatoka na mwanaume yeyote?” mjadala uliendelea pale kijiweni.
Ilifika mahali, vijana wote walitaka kwenda kwenye Geto la Hans ili wafatilie chumba alichoingia Hans na Happy ili wapige chabo kuwa ni kweli anaenda kushusha mzigo au zilikuwa ni stori tu..., alitokea kijana mwenzao akawashauri kuhusu kwenda kuchungulia siyo vizuri ni kwenda kuumizana tu.
“haaaaaaaaa! Bwana kausheni hayo tushapitia kama anaenda kupiga mzigo ni yeye, na kila mtu kasikia kwa masikio yake kwenda huko kupoteza mda tuuuu ni heri tuendeleee na shughurizetu tulizo nazo na kwani mda umeshatutupa mkono sana hivyo tupige stori tu vijana hayo ya kupita tu”
“ila kweli usemavyo huko kwenda kuumizana roho tu” alimsapoti kijana mwezake kwa kile alichokuwa kaongea, basi walipo maliza majibizano yao yote yale yaliokuwa wakiendelea nayo wakati ule na kila mmoja wao aliona mda kweli umewatupa mkono basi iliwabidi warudi majumbani mwao tu, na kutoweka mahali pale ili wakapange ya kwesho yake.  
Jua lilianza kuzama, hivyo kagiza nako kalianza kuinyemelea mahali walipo kuwa wameka vijana wale na kumfanya mtu wa hatua kadhaa asiweze kuona kwa usahihi, naa kwenye mji huo watu walianza kufifia na kurudi makwao.
.
.
Hans pamoja na Happy waliingia getoni mwa Hans na huku Happy kubaki akitazama sana chumba kile kilichokuwa kimesheeni vitu vya ajabu japo mtoto Happy alikuwa kakwisha oza kwa kijana Hans hakujali kile alichokuwa akikiona machoni mwake, na ndipo alipo toka kidogo kwinda bafuni kujimwagia maji ilia pate mzuka kwa kucheza pambano siku hiyoooo, Hans alimwaga kidogo binti Happy na kuelekea kuonga na hazikupita dakika nyingi kwani naye alikuwa na hamsha hamsha ya kutaka kulila TUNDA la mwa na dada Happy naye alionekana kuwa na usongo siku hiyooo na ndipo alipo msogelea na kumwita…..
 “happy baby”
“yes Hans” aliitika binti Happy huku akijing’ata ng’ata………
“sogea hukuuuuu basi” Hans alimwita binti Happy huku akikaza sauti yake….
“mmmmmmh wewe Hans” alishituka pindi alipo kamatwa mahara penye nguvu..,
“nini baby sogea huku bwana wakati si ndio huuuu au?”
“yah Hans najua wala sina shaka nasogea mpenzi”
Maneno ya kimahaba yalitawala chumba kizima huku kila mmoja wao alikuwa akimwogopa mwenzake kwani walikuwa hawajaonana mda sana basi ule uwoga ulizidi kushamili kwa binti pamoja Hans,  basi ziliendelea dakika za majerui na ndipo kila mmoja wao alipata sumu kali iliopelekea kwa kila mmoja kutoona tena aibu na happy alimvuta kwa nguvu kijana Hans na kuanza yake, baada ya kumvua nguo zote kijana huyo, alipiga magoti na kushika mashine ya kijana Hans huku akiwa anaisamini sana kwa shughuri aliokuwa akiipata kutoka pale, naye alianza kuifanya ipate nguvu huku akiakikisha kuwa iko imara, Hans alisikika kwa sauti ya kibabe pale binti Happy alipokuwa akiizungusha zungusha na kuichezea kwa kiasi kikubwa binti Happy alikuwa yuko huru na kusahau kurudi nyumbani.
Happy alionekana kuifanya iwe na nguvu na kuanza kutoa machozi kwa mbali lakini hakutaka kuiona iko lele mama kwani siku hiyo alikuwa kajipanga kisawia kuimidi mikiki mikiki ya mipira atakayo kuwa anatumbukiza kwenye gori lake,
Yeye aliendelea kuichezea na kuifanya iwe imara ile mashine ya kijana Hans huku akimsifia kwa uzuri wa kwani alijua tum da ukifika chombo kikiwaka habari anayo, na kumwambia hawezi kumwacha...
“Baby” aliita Happy kwa sauti tamu...
“Mm...?”
“Siwezi kukuacha na wewe usije ukaniacha,” alisikika akisema Happy...
“Ee...ee hata mimi sikuachii wala usiwe na shaka baby sawa” alisema Happy bila kunyoosha Kiswahili chake kwa vitu alivyokuwa akipokea kutoka kwa binti Happy.
“Kweli huwezi kuniacha?” aliuliza Happy...
“Siwezi, ila usinizingue lakini pindi upatapo mtu mwingine” alijibu kijana huyo.
“Sasa nikuzingue kwa lipi mpenzi wangu, hivi hujiulizi kwa nini sijaamua kuwapenda vijana watanashati wenye fedha zao nimeamua kuwa na wewe!” Happy alimwambia.
“Ila unachosema nakubaliana na wewe kwa asilimia mia moja, asante kwa kunipenda tudumishe penzi letu.” Hans alimwambia Happy
“mmmmmmh kweli Hans” aliuliza Happy huku akiishika kwa nguvu kuiona kama iko imara kweli tena.
“yah Happy” aliitikia huku akishika kichwa chake kwa kile kitendo alichofanyiwa pale kilimkuna sana na kwenda moja kwa moja kwenye ubongo wake.
.
.
Ndipo kijana alipo ushika mkwaju wake ili aanze kumchapa nao binti Happy, naye Hans aliupeleka kwa nguvu na alipofikisha alipokuwa akipataa alianza kwenda mdogo mdogo huku naye Happy alikuwa akilia machozi huku akimshika Hans ambaye alikuwa moto, wakapanda kitandani. Happy alitangulia safari, Hans naye akafuatia, mechi ikaanzia hapo huku mechi hiyoooo ilikuwa ya kuvutana sana mashati na kukabana, lakini hakukuwa na makosa makosa ya kiufundi yote yalikuwa yakifika palipokuwa pakisitahili .
Ilikuwa mechi yenye kasi, Happy alitaka ushindi wa mapema sana baada ya kuahirishwa kwa mchezo wake na Frank kule kwao. Hans naye alitaka ushindi mapema ili aingie mtaani kuendelea na shughuli zake za kila siku....
Ilikuwa pale ambapo, Happy alimtoa Hans staili waliyoanza nayo na kuingia hatua nyingine inayoitwa mbuzi kagoma kwenda ni wa nani? Hapo kijana Hans aliamia  upande mwingine kwani ilikuwa kali kwake kumwona Happy kwa kila kitu.
Sasa Hans alipiga zile za kichinichini, kwenda na kurudi bila kukata pumzi na kuonekana kuwa bado yuko na speed ya kutosha, na ndipo Happy mwenyewe akamtangazia ushindi lakini kijana Hans naye hapo hapo aliunganisha mechi ikaendelea kuanzia pale pale bila y ahata kupumzika huku vijashooo vingi vilimtoka kijana Hans kwa kasi ya ajabu.
“Hoooooo! Shiiiii baby, Nita...nitaku...nununulia simu mpenzi, sawa?” Happy alimwambia Hans huku na yeye akiwa tayari na yeye akakaribia ushindi wake wa kwanza.
Hans alitaka kama kuanza zile za sloosloo wakati mwenzake alifika pazuri, ilibidi Happy amwoneshe ishara ya mikono ili aongeze kasi kwa wakati huo. Kasi hiyo haikumchukua Happy sekunde kumi, akapiga kelele na kuzidisha pozi la ajabu...
ITAENDELEA……………………………

.
.
JE NI POZI LIPO ALILOPIGA BINTI HAPPY USIKOSE KUSOMA INAYO FATA HAPA HAPA SIKU YA JUMAA TANO 
Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment