Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

storynzuri sehemu ya arobaini sita shemeji ingiza pole pole

.
.
.

sehemu ya arobaini na sita 
Mtunzi IG @hanscharlz @storynzuri .
ilipoishia "Nitakapo pata ndio nitatoka na ndio plani yangu kuishi mpaka nitakapopata"
.
alisnisaidia sana kunipatia kiasi kikubwa hicho cha fedha basi nilipofika tu niliingiwa na shauku ya kumtafuta na japo kumuomba asante kwa kile alichonipatia au nikiweza kumuweka mkononi niishi nae yote hayo yalikuwa mawazo yanguuu kwani alionekana matatizo yangu mpaka yalipo fika anaweza kuyatatua licha ya kuto weka asilimia nyingiii juuu ya jambo hiloooo nami niliona ningoje tu basi siku hiyo ilikuwa nzuri kwangu na yenye furaha kwani alinikwamua kwa kiwango kikubwaa mnooo na pili sikuwa na hali nzuri ya fedha. 
Usiku ulipofika siku hiyo huku moyo wangu ukiwa mweupe hauna mawazo basi ilifika majira ya saa tatu nilifikiria sana kumpigia simu japo nimshukuru kwani sipo fanya hivyooo nitaonekana mtu wa ajabu basi ilinibidi nichukue simu na kuipiga namba yake na nilipoipiga iliita sana mpaka kutata huku nikijaribu tena napo iliita mpata ikakata napo ilipokata ilinikatisha tamaaa huku nikiwaza mda huuu atakuwa kachoka kiasi cha kwamba hata kupokea simu basi nilishusha simu na kukaa takiribani dakika chache na wazo jingine likanijia na kushika simu tena na kuipiga tena nayo kwa bahati nzuri alipokea simu nami nilishusha pumzi ya jaziba na kuweka nzuri na huku lengo languuu nikumuomna asante kwa kile alichonifanyia nami nilifanya.
jambo la kwanza kumwambia ni hilo la kumshukuru sana kwa kiasi kikubwa alicho nipatia japo sikuombaaa . Naee alionekana kunijibu kama kachukulia kawaida kwa jambo alilofanya basi nae alinijibu kawaida na kuiomba tena kukutana siku nyingineee ili tuzidi kufahamiana basi alionekana kusisitiza kwa siku hiyo ambayo hakuitaja mda na siku lakini alipenda nisije muweka njia pandaaa. Basi nami nilimjibu
"wala usijali siku ikifika utaona mwenyweee nami nitakuja usiwe na shaka mpendwaaa:"
nae alinijibu huku akionekana kuwa kalizika na jibu langu nililotoa wakati huo kupitia simu
"Ok sawa Isabela nami nitafurahi sana kama ukiitika wito wangu tena nitafurahi mnoooo". Basi ndipo nilipokata simu huku nikibaki nikijiuliza sana lakini sikutaka kuumiza sana kichwa changu huku nikiwaza siku hiyi nitaenda vipiii ???????

Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment