.
UTAMU WA TUNDA SEHEMU YA 10
MTUNZI HANSCHARLZ
INSTAGRAM @hanscharlz @storynzuri
Whtsapp +255 652486818
.
Ilipoishia
“Haya nakuja,” happy alisema huku akicheka chekaa
mwenyeweeeee na kuwaza mengi papo hapo. Akiwa anaendelea kucheka pale alizidi
kuvutiwa na kupenda waende wote lakini huku nyuma akiwaza baba yake alimwambia
kuwa yuko nje kidogo anarudiiii, ndipo happy alipo mwomba kijana Frank……….
.
.
Alianza kuondoka akiamini happy hawezi kwenda kutokana
na kuzungumza huku anacheka. Alitokomea kijana Frank mpaka kwao huku binti
happy alibaki akimwangalia kijana frank mpaka alipokata kona inyokwenda kwao,
frank alizidi kuchana kona huku akifililia tu jinsi alivyo mwona happy akiwa
ndani ya kanga moja huku mitego wazi wazi, alijiuliza sana kama ni kweli binti
ataweza kuja au laa! Atofika kabisa huku akikisia zile zilikuwa danganya toto.
Alifika kwao na aliingia ndani na kurudishia geti huku
moyoni mwake akiumia kuhusu uzuri wa happy na hakuweza kumtoa kichwani kwa wakati huo, msichana
ambaye aliyekuwa akimwona na walicheza pamoja wote tangu utotoni..., basi akili
yake ilikuwa ikiwaza kufanya mchezo mchafu kwa binti happy,
“Demu kawa bomba sana sasa anajifanya matawi, Iko siku
yake tu name atakuwa kifuani kwangu” alisema yote hayo moyoni Pasko akidhamiria
kwamba, siku happy akiingia kwenye mikono yake atampa dozi ambayo hajawahi
kuipata katika maisha yake ya kimapenzi. Basi frank alipowaza sana aliona siyo
kesi aliingia chumbani kwake na kupumzika kidogo huku akiendelea kutazama Tv,
gafla simu yake kijana Frank iliita
“hallooooo!” alipokea kijana frank
“vipi uko wapi”
“niko home kwani vipi john” aliuliza frank
“njooo fasta wewe huku kuna bonge la duuu kitaaa hichi
linatia hamasa ya kuwa na bwana”
“haaaaaaaaaa! Wapi nipe namba yake kama unazo”
“haaaa bwana frank njooo wewe mimi nakuaminia sana uje
kumaliza mchezo huku”
“basi sawa nakuja ndani ya dakika kazaaa niko hapo
kwani leo na mzuka nao sana”
Frank alivaa chapu chapu ili kuweza kwenda kwa rafik
yake john.
.
.
Happy alipo ingia ndani alirudishia geti lao na kwenda
moja kwa moja mpaka chumbani huku naye akiwazaa sana juuu ya kile alicho ambiwa
na kijana frank kwenda kwao.
“Kwa hali niliyonayo lazima niende kwa akina frank tu
nikampe penzi, kijana kapendeza na kile kifua chake kimenipagawisha kabisa,”
happy aliwaza.
happy aliingia chumbani mwake na kubadilisha nguo na
kwenda bafuni kuoga, akaoga na kuvaa haraka nguo za kawaida tu kisha akatoka,
lakini alipofika sebuleni alikutana na baba yake……
“Unakwenda wapi?” baba yake alimuuliza.
“Baba nakwenda kumwona yule rafiki yangu hapo jirani
tu anaitwa mwantumu...?
“Yule anakaa pale mbele?”
“Ndiyo baba”
“Oke, usichelewe kurudi sawa mwanangu”
“Sichelewi baba.”
“Baba naye kazidi, kila ninapotaka kwenda anataka
kujua, sasa leo nimempiga changa la macho,” happy alizungumza moyoni na huku kuachia
tabasamu kwani alikokuwa akienda siko alipo mwambia baba yake.
Happy alipokuwa ametembea umbali kidogo na maeneo ya
sebuleni naye akamsikia baba yake akimwita.
Kitendo hicho hakikumfurahisha kwani alihisi alitaka
kumzuia asiende kwa rafiki yake.
“Samahani mwanangu, nasisitiza usichelewe kurudi,”
baba Happy alimwambia mwanae ambaye alimwambia sawa.
Ndipo happy alipo zikamata barabara na kuelekea kwao
na Frank na alipofika getini kwa akina Frank naye kubonyeza kengele ya getini.
“Nani?” Frank aliulizia kwa sebuleni nae alikuwa akitoka huku akienda getini.
“Nani?”
“Happy”
“Haa! Siamini Happy, umekuja kweli?” alizungumza Frank
huku akifungua geti haraka sana na kutowaza tena kwenda alipoitiwa na kijana
John. Lakini moyoni alihisi Happy amemwambia baba yake sasa wamekuja wote...
“Ulidhani mi mswahili ee Frank?” alisema Happy huku
akiingia ndani. Frank siku hiyo .
.
.
Alikuwa peke
yake, ndipo alipo ingia ndani ya geti naye Frank alimwita happy
“happy” aliita Frank...
“Abe...”
“Hata siamini mama.” Alizngumuza huku akiona aibu
kwani aliona mbuzi kafia kwenye muuza bucha.
“Huamini nini sasa?” happy alionekana kuwa na hali
flani yakutokuwa na uwoga wowote
“Kama ulivyosema utakuja ungekuja kweli, karibu sana
happy.”
Frank alimshika mkono Happy hadi sebuleni...
“Karibu sana hapa,” alisema Frank huku akimwangalia
Happy..
“Nikaribie hapa sebuleni Frank”
“Ndio, unataka wapi wewe jkwani happy?”
“Noo! Twende chumbani ukanioneshe huo uanaume wako,”
alisema happy bila y ahata kupepesa macho huku akimwangalia sana Frank. Bado
hali yake ilikuwa mbaya, joto la mahaba lilikuwa juu! Naye alitaka kukatwa kiu
aliokuwa nayo mdaa kdogo…..
“Basi twende huku,” Frank aliposikia vile naye
alimshika mkono Happy na kumkokota hadi chumbani kwake na kufunga mlangoooo
huku jogooo wake wa shamba alianza kuwika taratibu.
Walisimama katikati ya chumba, Happy akaanza yeye
kutoa ulimi na kuupeleka kinywani mwa Frank huku akihema kwa nguvu na kumpapasa
kifuani mwa kijana Frank...
.
.
NINI KITATOKEA CHUMBANI HUMO USIKOSE HAPA HAPA JUMAA 5
0 comments:
Post a Comment