.
.
UTAMU WA TUNDA SEHEMU YA 13
MTUNZI HANSCHARLZ
INSTAGRAM @hanscharlz @storynzuri
Whtsapp +255 652486818 kwa 5000# tu.
.
Ilipoishia
.
Hans alitaka kama kuanza
zile za sloosloo wakati mwenzake alifika pazuri, ilibidi Happy amwoneshe ishara
ya mikono ili aongeze kasi kwa wakati huo. Kasi hiyo haikumchukua Happy sekunde
kumi, akapiga kelele na kuzidisha pozi la ajabu...
.
.
Kijana hans alizidisha
mashuti yake mpaka hapo alipoakikisha kuwa binti Happy yuko hoi kitandani na
kukubali matokeo, naye alipo maliza kutembeza mashuti makali kwa binti Happy
alikuwa hoi na kujitupa kitandani kupata mapumziko ili atakapo rudi tu mwendo uwe
wa kasi.
“baby weweeeeee” aliita
binti Happy
“yes nambye……….!” Alijibu
kijana huku akiashiria kupata pumziko la kutosha kutokana na shuhuri ya kutosha
aliotoka kuifanya wakati huo basi alimwangalia sana, tena sana Happy huku siku
hiyo aliona kuwa yuko mwepesi vya kutosha.
“kingine baby”
“mmmmh kweli….!”
Alishangaaa sana kuona tena Happy akidai akatwe kui yake kwani alionekana kuwa
siku hiyo yuko free kujiachia kwenye geto la kijana Hans.
“njoooo basi Hans
wangu….. usifanye hivyoo!” alimwita tena
Ndipo Hans alipo tulia
kidogo na kuinuka tena kwenda kumfanyia kufuru ya kufa mtu binti Happy huku
akionekana kuupania mchezo huo. Naye alipo mkalibia alimkamata kwa nguvu zake
alizokuwa nazo na kumrusha kitandani naye akifata na kuanza kumtembezea fimbo
ambayo Happy alikuwa akisikika akilia kwa sauti ya mahaba ya aina yake huku
Hans naye hakujali kwani alimwona akiwa kwenye mudi nzuri, alizidi kumsurubu
takiribani dakika 30 huku akimvutia kasi kumwona kama atatangaza ushindi mapema
binti Happy, lakini naye Happy alionekana kuwa mgumu pale alipoanza kuweka
staili za aina yake ambazo zilimtoa kwenye mchezo kijana Hans huku akiona kuwa
kazidiwa mapigo,
Naye kijana Hans aliona
achanganye mapigo ili aendane naye sawia, alianza mdogo mdogo huku akiongeza
kasi taratibu mpaka hapo alipoanza kukolea na kwenda naye sawa alishitukia
akiongeza speed kali na kutulia mwenyewe, huku Happy naye akidondoka kitandani
huku akihema kwa speed ambayo ilikuwa kali sana.
“babyyyyyyyyyyyyy! Kwa
leo” ilisikika sauti ya Happy ikiongea
“Eti heeee”
.
.
Basi mchezo ule uliokuwa
na mvutano wa huku na kule uliishia pale huku hakuonekana nani alikuwa kamtoa
mwenzake huku wakijiona kuwa sawa, Happy aliwaza sana kwa kile alichokuwa
kaenda kufanya kwa kijana Frank haikuwa anastaili na kumwamini sana kijana Hans
ndiye anaye weka kukata kiu yake.
Walivaa nguo zao na
kuwaza kutoka ndani kwani geto lake kijana Hans lilikuwa uswahilini sana kila
mtu alimwona akimwingiza binti Happy.
“Ebu funua pazia hilo
tazama watu nje” aliongea kijana Hans
“sawa” alijibu huku
akitembea kuelekea kwenye dilisha alilo ambiwa na Hans
Alitazama huku na kule
kuona kama kuna watu wako nje wakiwangoja watoke, naye hakuona mtu yeyote na
kumwambia Hans.
“hakuna watu”
“hoooooo basi tutaweza
kutoka”
“okay baby” aliitikia binti
Happy huku akimshika mkono vizuri Hans huku akionesha upendo mwingi sana, huku
akimtazama bila y ahata kummaliza kijana huyo nao walitoka na kuongozana kwenda
kwao Happy walikini walipokuwa wakitoka tu walikumbana macho kwa macho na
kijana Frank, happy aliinamisha kichwa chake huku kijana Frank alibaki
akishangaa sana kuona mtoto mzuri Happy alikuja mwenyewe huku jogooo wake
alishindwa kufanya kazi, naye alipo mwona kijana Hans alibaki akijizalau sana
huku akimwona binti Happy akiwa mwingi tena mwenye furaha wakati huo.
“vipi baby mbona umeinama
chini?” aliuliza kijana Hans
“no nimejikwaa tu hapa
naangalia mguuu wangu huppy” alijibu huku akionekana kuwa muongo muongo
“okay sawa”
Alipo kwisha kusema vile
naye kijana Hans alitupa macho yake na kuwmona kijana Frank akiwa naye kichwa
chini na kubaki akishana pale alipo mwona akitimka mbia bila ya kujua hii wala
lile. Frank alitimuka huku akitokomoea pasiko julikana naye Happy alipo pata
hauweni ya kunyanyua macho yake na kuendelea na safari.
Walifika maeneo karibia
na kwao Happy naye kijana Hans alimuaga Happy na kumwangalia mpaka anapo ingia
ndani, Happy aligonga geti lao na ndipo lilipo funguliwa naye Hans kugeuza
kwenda getoni mwake.
“dada ulikuwa wapi?
Johari alimuuliza Happy
“nilikuwa kwa rafiki yanguuu
vipi kwani?” alijibu huku wakiongozana kuingia ndani
“Mama amekutafuta sana
mpaka ajielewi yuko ndani”
“kwani baba hakumwambia
mama”
“alikutetea lakini
kilicho mshangaza anapiga simu yako aipatikani”
.
.
Happy alitangulia kuingia
ndani na kumkuta mama yake kaka sebuleni naye mama alipo mwona Happy alishituka
sana na kutaka kumfokea, na ndipo alipo simama na kumfata Happy
“wewe ulikuwa wapi?
“kwa rafiki yanguuuuu!”
Happy alijibu huku akitetemeka na kushitukia kofi likitua shavuni kwake huku na
huku akitaamaki alishanga tena upande mwingine akipokea kofi zito kutoka kwa
mama yake.
“mamaaaaaaaaaaaaaaaaaaa”
alilia huku akimtizama mama yake na kukimbia chumbani
Mama alipo maliza kumpiga
makofi yale mazoto alijutia kwani hasira zilimpeleka kuto taka kusikiliza kile
alichokuwa akiongea binti yake.
Baba alifika na kumwona
mkewe akilia huku akija kwa kasi kwani naye alisikia makofi yale aliyokuwa
akimwagia binti yake, alipofika tu alimuuliza mkewe
“mama happy nini wafanya
sasa?” baba alimuuliza huku akimuulizia binti yake alipoelekea
“mumewangu sielewiiiii
mimi mkono wangu jamani” mama alijibu huku akitetemeka kwa kile alichokuwa
kafanya wakati huo.
Baba alichomoka haraka na
kwenda chumbani kwa binti yake na kutazama kote hakumkuta binti yake Happy na
kurudi tena sebuleni
“happy kaelekea wapi?”
Baba alimuuliza Johari
“sijui baba mimi nilikuwa
jikoni mimi”
“itakuwa kakimbilia wapi”
Baba mtu alijiuliza maswali na kumfata tena mkeweee
“mama Happy, Happy hayupo
sijui kakimbilia wapi?”
Mama alishituka na
kudondoka tena chini kwa kupata mshituko wa gafla, Baba alimbeba na kumkimbiza
kituo kidogo cha hospitali kilichopo jilani yao, alimfikisha na kufanyiwa
huduma ya kwanza. Naye baba alielekea moja kwa moja mpaka kwenye kituo cha
polisi kutoa taharifa kuhusu binti yake kupotea kwenye mazingira ya
kutatanisha, alifika na kukutana na Afande Mwita
“samahani Afande
nimepotelewa na mtoto wangu usiku wa leo”
“okay jaza fomu hiyo hapo na
maelezo yote yaliyopo kwenye karatasi hiyo na unipe hapa tuanze kuishugulikia
sawa” Afande Mwita alimpa fomu baba Happy
“sawa Afande”
.
.
Alipokwisha kujaza fomu
ile nayo aliikabidhi mikononi mwa Afande Mwita na kuondoka kuelekea Hospitali
alipo mwacha mkeweee, naye alipo fika hospitalini hapo alikuta madaktari wakijitaidi kumpa
huduma ya kwanza mama Happy naye alikuwa kwenye hali nzuri kwani mshituko wake
uliweza kutibiwa na madaktali hao.
Happy alichomoka moja kwa moja mpaka mpaka kwa
kijana Hans, na alipofika mlangoni kwa Hans aliingia kama anakimbwiza na kumkuta kijana Hans yuko
kwenye taulo lake kitandani kajilaza huku akiangalia juu. Naye kijana Hans
alishangaa sana kuona sura ya mpenzi waki ikirudi tena kwa spidi kali mno
“kulikoni tena kuna
mashindano nje” aliuliza kijana Hans
“hapana baby”
“Kuna nini mpenzi”
aliuliza tena kijana Hans
Ngoja nipumzike
nitakuambia usijali” aliongea huku akilia binti Happy
Hans naye alipotupa macho
yake kumtazama vizuri alimwona akidondosha chozi na ndipo kushituka kuona yuko
na alama kwenye mashavu yake ya vibao. Hans alijawa na jaziba kali sana alipo
mwona mpenzi wake nae kufungua kinywa chake………………..?
.
JE KIJANA HANS ALIZUNGUMZA NINI? USIKOSE HAPA HAPA SIKU YA IJUMAA
.
JE KIJANA HANS ALIZUNGUMZA NINI? USIKOSE HAPA HAPA SIKU YA IJUMAA
0 comments:
Post a Comment