Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

storynzuri sehemu ya arobaini na saba shemeji ingiza pole pole

.
.
sehemu ya arobaini na saba
Mtunzi IG @hanscharlz @storynzuri
.
ilipoishia "sikutaka kuumiza kichwa sana huku nikiwaza siku hiyo nitaenda vipi?"
.
siku hiyo ilikata nami nililala na kulipo kucha kama kawaida nilipata chai nzuri huku jambo liliokuwepo ni kutoka japo nizunguke zunguke mitaa ya maeneo hayo ya hotelini basi nillipo maliza chai nilifanya haraka haraka na kuchukua pochi mezani na kuingia mtaani lakini  na kuanza kuzurula zurulaaaaaa lakini pindi nilipokuwa na mizunguko hiyoooo? gafra binivuuuu sikuamini kuona kwa mbali sura ya shem Erinest na alipozidi kusogea ilinibidi mimi nijifiche ili nimwone vizuri anapoelekea basi na alifika mpaka mahari nilipo huku nikizidi kujibana kwenye ukuta ambao haukuwa viizuriiii sana basi iliniwia vigumu lakini nilijitaidi mpaka kumkwepaaa  nae alipitaaa huku nikiakiki kuwa ndie kweli au nimefananisha lakini niliakikisha kuwa hakuniona basi  nami nilamua kuchomoka huku nikiwaza yaweza kutokea mengine mbele na kukatisha tena safari ya kuelekea nilikokuwa naenda japo kuwa sikuwa na mipaka lakini ilinibidi tu nifanye hivyoooo na kurudi mpaka hotelini nilipokuwa nikikaaaa.
Basi nilipofika tu na kuwaza sana huku nikijisemea
"sijui shem lake ananitafuta maana itakuwa kanimiss kwani mpaka huku kakujua vipi mchezo tu"
laaaah shaaa??? hayo yalikuwa mawazo tu huku na huku niliingia bafuni kuoga ili kuondoa uchovu niliokuwa nao kwani pale nilipokuwa nimejifichaaaa niliparamia ukuta ambao ulikuwa hauko vizuri kimatengenezo basi ndio niouparamia na kudondoka chini japo kuwa shem Erinest hakuniona kwa jitiada nilizokuwa nimefanya japo kuwa nilidondoka chini.
Nilimaliza kuoga na kurudi kitandani na kuanza kuchezea simu huku niperuzi instagram pamoja na facebook kwani ndio ilikuwa mtandao yangu mikubwa toka nimepata simu ambayo inasapoti intaneti
basi punde si punde mara SMS iliingia na kuiangalia na kuikuta ni ya yule yule kijana Erick  huku alipo toa pesa zile basi simu yake au kitu chochote kikionesha ni yeye kapiga au katuma SMS nilifanya jitiada kurudisha mara moja ujumbeee basi tuliendelea kuchati  takiribani saa moja na wote kuchoka lakini hakusahau kunikumbusha kile alichokuwa kapanga kukutana nae huku ikiwa imebakia siiku 1
Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

2 comments: