Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

storynzuri sehemu ya therasini na tisa shemeji ingiza pole pole

.
.

Sehemu ya therasini na tisa 
Mtunzi IG @hanscharlz @storynzuri .
Ilipoishia "BAsi ngoja nami niwai mahari alipo kimbilia dada yako amina "
.
Maana achelewi kufanya kitu kibaya kwetu au kwake"
Shem alionekana kuwa ni mtu anaye mfahamu fika dada Amina kwani yale yote aliokuwa akisema ni ya kweli dada amina ni mtu ambaye hubadilika gafra na kufanya chochote basi mini hapo ndipo naogopaaa mnoooo!!!!.
basi nae aliondoka na kuniacha chumbani huku nikiwa sina hali maana Tukio la fumanizi limetokea basi nilibaki nikiwa mtu mzito kwenye kichwa changu nami nilingoja chochote kitakacho tokea itabidi nikubaliane nacho maana kulikuwa hakuna namna. Uvumikivu ulinishindwaa nikipokuwa nimeka huku mawazo yangu yanataka niende kumuomba msamaaa dada Amina lakini wazo jingine likinishauri nibaki maana hato weza kuregeza roho yake kwani hakuwa na sifa ya kuwa mtu mwenye masihara.
Mara nikijishangaaa nikiinuka mwenyewe na kutoka chumbani na kuelekea sebureni na nikipo vuka tu mlango wa chumba hicho nafsi ili sita lakini nikianzaa kusogea taratibu mpaka nilipofika sebureni na niliwakuta shem Erinest akiwa yuko akimbembeleza dada amina.
Basi nafsi ilinituma nifike mbele yao na nipige magoti japo niombe msamaaa nami nilifanya hivyo nilifika na kupiga magoti mbele ya shem pamoja na dada Amina na iliniwia vigumu mnooo pale nilipokuwa nikinyanyua macho yangu na kumtazama dada amina basi nikikuwa na aibu kali ambayo sikuweza kuificha kwa mtu yoyote pale ndani kwani kwa kilicho kuwa kimetokea ni cha aibu sana kwani sikupaswaaa kufanya hivyo kwa dada yangu amina nafsi ilinisuta sanaa tena sana. Nikibaki nikidondosha machozi kwa dada amina huku nikiwa natia huruma lakini dada amina hakuonesha chochote juuu yangu?

Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment