.
.
UTAMU WA TUNDA SEHEMU YA 20
MTUNZI HANSCHARLZ
INSTAGRAM @hanscharlz @storynzuri
Whtsapp +255 652486818 kwa 5000# tu.
.
Ilipishia
Happy alishituka mtu
akigonga mlango naye ilimbidi atupe shuka pembeni ili aweze kwenda kuufungua
mlango naye alipofika mlangoni alifungua mlango ule……”
.
.
Na ndipo alipo mwona mama
yake na kuurudisha kwa nguvu huku akizani uwenda mama yake hakumwona lakini
mama alikuwa shapu sana na macho yake naye alimwona mwanae Happy na kumwita
“weeeeeeee! Happy fungua
mlango” mama aliita huku akigonga gonga tena mlango ule, huku naye Happy ndani alikuwa
akijifikilia kuufungua kwani aliogopa sana kumwona mama yake yuko pale na
kujiuliza maswali mengi mno. Aliwaza sana mpaka hapo alipoamua kusimama na
kuelekea kuufungua mlango ule, aliuufungua na mama yake kuingia ndani huku
akimwacha Johari nje
“weeeeeeeeeeeeeeeeee!
Happy wewe?
“yes! Mamy” aliitika
Happy kinyonge huku akimtizama mama yake
Basi ndipo mama alipoanza
kuzungusha macho yake kwenye Geto la kijana Hans na kubaki akiguna na
kumwangalia sana binti yake
“twende nyumbani” mama
aliongea kwa jaziba mpaka ikampelekea binti Happy kuogopa uwenda ataweza kupigwa
naye ndipo alipo mwea na kuwa mdogo kwa mama yake.
“sawa mama!” ni sauti ya
bint Happy alipokubaliana na mama kurudi nyumbani
.
.
Happy alivuta mlango na
kutoka haraka ndani huku mama yake akiwa nyuma akimwona mwanae alichokuwa
akikifanya, Happy alipotoka nje na kumwona Johari yuko nje naye kujiongeza na
kuzani ndiye aliye mwelekeza mama yake basi ndipo alipo mpiga jicho baya mpaka
kupelekea mfanyakazi wao Johari kushusha macho yak echini, naye Happy kumalizia
kwa kumbeza Johari huku akitema mate chini.
Kitendo kile mama Happy
hakuweza kukiona kwani wakati binti yake akimfanyia mfanyakazi wao, Basi
waliongozana mpaka nyumbani naye Happy alipofungua geti tu moja kwa moja mpaka
chumbani mwake na kwenda kujifungia, mama alimfata nyuma nyuma mpaka mlangoni
na kukuta mwanae kaubana mlango wake nae kuugona.
“mamaaaa naye” nisauti ya
Happy chumbani mwake ikijibizana peke yake
“Happy mwanangu fungua
mlango”
“haya mama!!!!!!!!!!”
Happy alijibu huku akiwa hataki taki vile hata kumfungulia mama yake mlango
Happy alifungua mlango
nae mama kuingia chumbani mwa mwanaeeee!, na ndipo ilipombidi mama Happy
kumkalisha mwanae vizuri ili aongeeee naye
“kulikoni mwanangu
sikuhizi umebadilika hivi” Mama ilimbidi aende naye pole pole mwanae kwa
maswali ambayo hato mfanya mwanae aweze kuogopa
“hamna mama”
“nambiye mwanangu mimi
mama yako nimepitia vingi sana na ninavyo kuona kuna kitu kinakusumbua mwanangu
nambiye”
Basi ndipo mama
alipomweka sawa mwanae Happy huku naye Happy alioona ni nyema kumwambia mama
yake kile kilichokuwa kikimsibu.
“kweli mama kuna kitu
nashindwa kukuambia?”
“haya niambiye” mama
aliongea huku akiwa na hamu ya kutaka kukijua kitu kile
“mimi maaaaaama!!!!!”
alijing’atang’ata binti Happy kwa mama yake kutaka kuogopa kumwambia
“nambiye mwanangu
nitakusaidia”
“Mimi na mimba mama”
“mimbaaaaaa????” Mama
alishituka aliposikia vile na kushika kichwa chake huku akimtizama Happy
“ndio mama”
“usinitanie mimba ya nani
au ndio kule ulikokuwa”
“mmmmmmmmmm!” alijiuma
uma binti Happy
“sinaongea na wewe” mama
aliongea kwa jaziba kali
“ni ya kijana yule
mchafu”
“uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
Mzaniae kumbe ndiye siye” mama Happy alitamka maneno yale kwani alikuwa
akimzania kuwa Johari ndiye aliyekuwa akitembea na kijana Hans kumbe ni mwanae,
gafla Johari alikuja mpaka mlangoni na kumwita mama kuwa anaitajika sebureni
baba akimwiitaji.
.
.
Baba Happy alirudi huku
akiwa kaongozana na timu rafiki yake huku akitaka kufanya mabo haraka juu ya
mwanao Happy, walikuwa sebureni wakimngojea mama Happy aje ili wazungumze juu
ya mtoto wao Happy.
Mama Happy naye alibaki
akijiuliza pindi alipo fatwa na Johari atajibu vipi wakimuuliza mwanae Happy
kwani alijua fika tu ni baba Happy karudi na rafiki yake kuja kuyazungumza juuu
ya mwanao Happy, mama alichomoka bila y ahata kuongea na Happy huku akitafakari
ni kitu gani ataweza kuwajibu wazee wenzake wakiwa kwenye mazungumzo.
“yes mume wanguuuu!”
“nakuitaji mke wangu kuna
ugeni mkubwa sana”
“ohhoooo! Karibuni sana
ndugu zangu”
“mama Happy hawa ndio
wale niliokuambia leo wakati natoka nyumbani”
“ohhhho” sawa
Mama happy aliketi
ubavuni mwa mumewe na kusikiliza mjadara uliokuwa ukiendelea kati ya Baba Happy
pamoja na rafiki zake. Basi ndipo walipo mkaribisha mgeni hiku akiwa kaambatana
na kijana wake naye ndipo walipo mwamulu mama Happy ampeleke kijana chumbani
mwa Happy. Naye mama alimwongoza kijana Yule mpaka kwenye chumba cha Happy nae
mama kutangulia kuwema mambo sawa.
“mwanangu usiniaibishe
sawa anakuja yule kijana”
“mama mimi nimeshakwambia”
“mwanangu huyo ni baba
yake”
“mimi nampenda sana Hans
mama”
“najua lakini baba yako
kaisha kuchagulia mwanangu usiniaibishe sawa”
Mama alikwisha kuongea
yale naye kumkaribisha kijana ili aingie chumbani mwa binti Happy naye aliingia
na ndipo alipo mtazama Happy kijana yule moyo wake ulikwenda mbio sana….?, na
kumsogelea kwa ukalibu binti Happy huku naye Happy alipomwona kijana Yule wala
hakuwa na raha yoyote ile ila alitaka kumfurahisha nafsi yake tu.
JE NI NINI KILIENDELEA CHUMBANI MWA HAPPY?
niko kimya sana lakini mambo ya Elimu yananifanya kuwa bize sana
0 comments:
Post a Comment