Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

storynzuri sehemu ya arobaini shemeji ingiza pole pole

.
.

Sehemu ya arobaini
Mtunzi IG @hanscharlz @storynzuri .
Ilipoishia "lakini dada amina hakuonesha chochote juu yangu"
.
Kwani pindi nilipokuwa chini hapo nikiomba msahaaaa nilikuwa nikiumia sana na kuraumu mnooo nafsi ilionituma kufanya yote haya kwa dada amina nae dada amina akinitizama huku akishindwa hata kuongea pindi alipoona sura yangu ikimtizama yeye basi nami nilibaki kichwa chini nikijutia mno nafsi yanguuuu..
Shem Erinest alionekana akimtuliza kwa hali ya juuu huku dada amina alionekana kuwa na hasila nyingi na ndipo alipo nyanguka dada amina na macho yalinitokaaa na kuhisi kipi anataka kufanya basi aliondoka maeneo hayo ba bila ya kuongea na mtu basi nami kuona hivyo kwani nilikuwa mwingi tena mwenye hofu kubwaaa juuu ya hukumu ambalo dada amina atakayonipa.
Licha ya kuona hayo na kufikiria mengi kwa wakati mmoja na ndipo nilipowaza kuondoka maeneo hayo kabla ya kuwaza hayo nilitoka sebureni na kuelekea chumbani kwangu huku nikiwa na wazo la kuondoka basi nilipofika nilichukua mkoba wangu mdogo na kuanza kuweka vitu vichache huku nikipanga kwa mpangilio usio fahaaa kwani nilikuwa na mawazo mengi mno wakati huo basi ili niwapishe yeye na shem kwa kipindi kifupi mpaka hapo asila za dada amina atakapo punguza hasira zake ndipo nitakapo weza hata kuja kuomba tena msamahaaa juu ya jambo hilooo. Basi nilipoona nimepanga vibaya ilinibidi nimwage tena vitu nilivyokuwa nimepanga kwenye mkoba huo navyo nilimwaga chini na kuona business card na kuishika vizuri na.kuvuta taswira ya mtu aliyenipa kadi hiyooo nilitumia mda kidogo na kukumbuka aliyenipa kwani ndiye aliyenipa siku moja lifti asubui nilipokuwa nikielekea ofisini basi na kukumbuka kijana huyo alichoniambia na huku akinisihiii sana nipatapo mda au kitu chochote nijaribu kumtafuta. Na ndipo nilipo chukua simu haraka haraka na kuanza kuipiga namba hiyo nilipiga kwa mda sana lakini simu ilikuwa inapatikana lakini kupokelewa ndio ilikuwa tatizo lakini nijipa moyo pindi aikutapo simu ataweza kunitafuta au mimi mwenyewe mda tena ukipita nitajaribu kumtafuta tena. Nilipaki vitu vyangu kwenye mkoba huo na kuondoka maeneo ya nyumba hiyo na.kutimukia mbali kidogo bila ya mtu kujua na nilipotoka nje kidogo ya mji!

Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment