Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

StoryNzuri Sehemu ya ishirini na tatu Shemeji Ingiza Pole Pole



.

Sehemu ya ishirini na tatu 
Mtunzi INSTAGRAM @hanscharlz @storynzuri.
.
Ilipoishia "mmmmmh shem ulitaka kunitoa roho maaana niligopa mno "
.
Shem E_r_i_n_e_s_t mbona na tena daaaah ulivyonishitua hivyo mimi moyo wangu ulitaka kuchomokaaaa duuuh wewe nakili leo umeniweza umeniweza kwa kwwliiii"
"hahahahahaha isabela kumbe na wewe muoga kiasi hicho niliraka tu kukuona mpendwa lakini sikukusudia kutendaa kitu kibaya kwako sawa "
"Okey sawa"
Nilibaki nikimuangalia shem erinest huku nikiwaza yale yaliopita wakati huo nae pia nyuso yake ilinitizama kwa huruma huku akizani moyoni nime mchukia kwa kitendo hicho lakini haikuwa hivyo alivyokuwa akizani yeye kwani mimi nilikuwa nikiwaza kitu tofauti mno.
Nikiondoka pale na kuelekea chumbani mwangu huku nilimuacha mahari alipooo kuwa kasimama.
Nilifika chumbani na nilipokaribia kitandani mwangu nikiutupa mkoba niliokuwa nimeubeba huku nikonekana nimechoka mnooo nami pia nikijitupa kitandani pia basi zilipita dakika kazaa gafra simu iliita na namba ilikuwa ngeni nami sikuwa nq budi na niipokea huku nikijua tu ni dada amina basi.
"hallooooooo!"
"nambie mdogo wangu wazima huko "
"Sisi tu wazima wa afya tunaendelea vizuri tu dada "
"Basi vizuri lakini niko njiani nakuja naomba umtaharifu shem wako kwani nampigia simu haipatikani "
Nilishituka sana jinsi alivyo kuwa akisema kuwa yupo njiani atafika siku inayofuata basi nami nilishukuru mno kwa kunipa taharifa hiyo kwani angefika bila hata ya kujijuza sijui ningekuwa mgeni wa nani na ilibidi nijipange kwa ugeni wake. "Sawa dada karibu sana tulikuwa tumekumisi mnoo kwani mda sasa hatukuwa nawe nasi tutakuwa na furaha pindi ukiwa nasi na kufurahia kama zamani " 
Nilijibu huku nikiwa mwingi wa hofu mno kwani nikijipa ujasili tu na simu ilipokata nilitoka chumbani kwa speed mpaka mlangoni mwa shem Erinest.
"Shem shem shem fungua mlango na ujumbe nataka nikuambie na.kukushirikisha pia" "Sawa usijali isabela lakini nini tena hicho" "wewe fungua nita kuambia"
alifungua mlango nami sikupoteza mda nilimueleza kuhusu yale nilioambiwa na dada amina nae alipokea kwa mshangao mkubwa pindi nilipomueleza kuhusu dada amina. Alizungusha kichwa huku macho nayo yaki tapa tapa ni wapi aanze kujipanga…!

Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment