Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

Storynzuri Sehemu Ya Ishirini na mbili Shemeji Ingiza Pole Pole



Sehemu ya ishirini na mbili 
Mtunzi IG @hanscharlz @storynzuri .
.

ilipoishia "na kukumbuka kile alichokuwa akisema dada amina "
.
"Nampenda mno shemeji yako tena sana tu isabela.
nilibaki nikijiuliza kuwa kumbe ndicho alichokuwa akifurahia na kujivunia toka kwa Erinest basi nami nililionja penzi siku hiyo kutoka kwa huyo huyo shem wa ukweli Erinest na kuusemea moyo alikuwa ni fundi kwenye hiyo sector ambayo hata mimi aliniwekea mazingira ya kutaka hata kumchukulia dada amina mumewe erinest. Siku ilikata kwa kila mmoja wetu kuingia chumba chake na kulala na siku iliyofuata kulikucha vizuri na kama kawaida yangu kuelekea kazini basi nilijiandaaa na kumtaharishia shem chai ili asije pata usumbufu wa aina yoyote wakati wa asubui ili tu atakapo amka basi akute kila kitu kiko sawa. Nilifanya vyote na kuelekea kazini na nilipofika saloon huku nikiwa na nyuso yenye furaha tereeeh na siku ilienda vizuri huku wateja wangu walipendezwa na kuvutiwa na huduma na wengine walibaki kunishangaaaa kwa huduma nilioitoa kwa siku hiyo. Jioni nilifunga ofisi na kurejea nyumbani na nilipofika na kuingia ndani na kumuita shem erinest.
"Erinest Erinest Erinest Erinest "
Hata sikusikia sauti ya shem Erinest ikinijibu mpaka nikafikilia hayupo labda katoka yote mimi sikujua na ilinibidi niingie chumbani mwake kumtazama kama yupo au laaaah nilipofika chumbani mwake sikumkuta na kujua tu katoka basi ilinibidi nitoke chumbani mwake na nilianza kupiga hatua kutoka na nilipofika mlangoni nilishituka kumuona shem Erinest akinitazama basi moyo wangu ulikuwa ushaenda mbio na ndipo ulipopata hauweni na kuanza kusemezana nae.
"mmmmmmmmmh shem ulikuwa pande zipi mbona nimekuita sana lakini hata hukuitikia"
"Hahahahhahahahhaha leo nilitaka nikuone ulivyo muoga na nimejua muoga sana nikikuwa nikikusikiliza tu toka ulivyoo ingia ndani "
"Mmmmh shem wewe ulitaka kunitoa roho mimi maana niliogopa mnoooo "

Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment