Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

StoryNzuri Sehemu ya Ishirini na nne shemeji ingiza pole pole

.

Sehemu ya ishirini na nne 
Mtunzi INSTAGRAM @hanscharlz @storynzuri.
.
Ilipoishia "Alizungusha kichwa huku macho yaki tapa tapa ni wapi aanze kujipanga"
.
Alijibu huku akiwa na mawazo mengi ajui huku akijua anaweza fika mda wowote "Mmmmmmh unasema kweli ngoja niwashe na hiii simu kwani itakuwa kanitafuta mno mpenzi wangu sijui nitamjibu nini akipiga daaaah!"
"yah shem kwani nae aliponipigia simu aliniambia hivyo kuwa alikutafuta lakini hukuwa ukipatikana hewani na ndipo alipochukua jukumu la kunitafuta mimi Kwa sasa ujumbe nimeufikisha naisi kesho atakuwa maeneo haya nakuomba tena na yena tupunguze yale yote tunayo fanya kwa kipindi chote alichokuwa hayupo kwani mimi namheshimu sana dada yangu japokuwa shetani alinipitia kufanya kitu hicho sawa shem"
"Okeeey shem lakini si mchezo nitakuwa na pata mara moja moja eti shem isabela" "Shem wewe unavisa vingi mno naomba tusizungumze sana tuwaze tutafanya nini kwa kipindi hichi atakapo kuja ili tu asije jua"
"Mmmmh isabela visa vipi tena shem wangu au ndio utakuwa mwanzo na mwisho kujuana kimapenzi mimi na wewe endapo kesho amina.akiwasiki hapa "
"No Erinest lakini wajua fika kuhusu mimi na dada amina njisi tulivyo na pia wamjua sana amina alivyo au mkeo humjui kuwa ni moto wa kuotea mbali na pili akijua tu mimi wataka kuniletea baraha kwangu mimi na amina tukosane kisa mapenzi yangu na yako ya kukutana hapaaaa hapa tu "
"Hapana isabela simaanishi hivyo kwani ninachomaanisha hapa hata siku moja tukipata nafasi twaweza kurudia mchezo kati yangu na wewe "
Aliniweka kwenye wakati mgumu kumjibu hilo swali alilo uliza na ndipo nilipo pata jibu la kimwambia papo hapo "Sawa lakini chatupasa kuwa waangalifu sana siku hiyo ukinihitaji mimi sawa shem "
"Sawa isabela nitakuwa makini kama usemavyooo na tena nitakuwa mwangalifu zaidi ya sana"
Nilikwisha kumwambia hayo na nilirudi chumbani mwangu na kujitupia tena kitandani huku nikiwaza ya kesho yake juuu ya ujio wa dada amina na ndipo nilipokuwa nikiwaza hayo usinguzi ulinipitia mzito nami sikuwa na budi na ilinibidi nilale hapo hapo mpaka kulipokucha na nilipo amka cha kwanza nilizungukia nyumba yote kujua kama dada amina kawasili nyumbani maana akusema mda na wakati wa kufika.

.
WHTSAP GROUP +255652486818 
Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment