Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

KIGODORO sehemu ya TATU



MTUNZI HANS CHARLZ
Instagram @hanscharlz @storynzuri
whtsap +255652486818 
SEHEMU YA TATU
MWANTUMU ANAJIKABITHI KWENYE MIKONO YA KIJANA KAPILO
Naye KAPILO alipomwona binti MWANTUMU yuko nyang’anyang’a……………… naye kumvuta pembeni tena na kuzama pasipo onekana na mtuuuuu na kuanza kumkata kiu aliokuwa nayo “MWANTUMU”, naye binti MWANTUMU alionekana kuwa na kiu kubwa kweli ambayo ilimlazimu kijana KAPILO kupeleka mashambulizi ya huwakika kwa binti “MWANTUMU”
“ooooooshi……………………” ni sauti binti MWANTUMU iliokuwa ikisikikaa kwa mbali pindi wa mechi kali iliokuwa ikifanywa na kiungo mchezeshaji KAPILO, hatima ya kijana KAPILO kumfikisha Binti MWANTUMU kwenye kilele cha mlima mrefu aliokuwa akipanda mdogo mdogo ilionekana pale alipo mkamata kwa nguvu kijana KAPILO na kumpelekea kijana KAPILO kumfikisha kilele naye kijana kuwa mpole huku akijifuta jasho lililo kuwa likimchuruzima pindi mchezo ulipokuwa umeshika kasi ya aina yake,
“Mmmmmmh KAPILO wewe” ilisikika sauti ya MWANTUMU
“Vipi MWANTUMU kunatatizo” alijibu KAPILO
“Hapana nataka tena kingine cha mwishoooooo KAPILO” aliongea huku akimtizama KAPILO huku akionesha kiu yake bado haijakatika atakavyoooooo
“MWANTUMU tutatafutana kesho kwani sasa nimechelewa nyumbani waona mda umesha kwenda sana” alijibu KAPILO
“Kimoja tu cha mwisho KAPILO” binti MWANTUMU alionesha kuwa anahuitaji mkubwa kwa kiu yake
“Kesho ……” alijibu KAPILO naye kuibeba ndoooo yake na kuanza kuondoka kuelekea nyumbani kake
.
.
Lakini alipo piga hatua chache tu tena MWANTUMU alimfata na kumshika mahara husika na kuamsha mashetani ya kijana KAPILO, naye KAPILO kuiweka ndooo chini na kuanza kazi upya ambayo kazi hiyo haikuchukua mda mwingi mpaka “MWANTUMU” kutangaza ushindi huku kijana KAPILO naye akionesha ujuzi wake wa kukichezesha kiuno kwa mrembo “MWANTUMU”.
“Hapo nimefurahi sana KAPILO” MWANTUMU alitoa shukurani zake kwa kukatwa kiu yake
“Okay sawa utanitafuta basi tena MWANTUMU”

MWANTUMU alimwangalia kwa jicho kali bila ya hata kummaliza kijana huku akifurahia mchezo aliokuwa kampa nae akajibu huku akisema
“Okay usijali wewe ten ahata leo tena naweza kukutafuta”
“Hahahahahhahhaha!!!!!! acha bwana” KAPILO alicheka nae kumtazama na kuamza kupiga hatua kuelekea kwake kwani mda kweli ulikuwa umesha kimbia kwani ilikuwa ni mda ya saa tano usiku kwenda saa sita,
Binti MWANTUMU atoka mahali pale na kuingia tena kwenye KIGODORO kuendelea na mdundiko, alipo fika alionekana tofauti mpaka kupelekea mabinti wenzake kutaka kujua nini kimempelekea mpaka kuwa vile
“wewe MWANTUMU vipi kulikoni uko na furaha hivi” binti mmoja alimuuliza MWANTUMU
“mmmmmh ampitwiiii na kitu” MWANTUMU alijibu huku akizidi kuonesha furaha yake
“tuambiye bwana nini kilicho jili huko utokako” binti huyo aliedelea tena kumuuliza MWANTUMU
 “kijana yule ndiyo kanifanya niwe hivi” MWANTUMU aliwaonesha wenzake
.
.
Mabinti hao walimtizama sana kijana KAPILO huku nao walihitaji mno kupata kama kile alichopewa MWANTUMU, naye KAPILO hakuwa na habari yoyote alianza kutoka maeneo yale lakini njia ilikuwa ni kuipita pale pale palopo kuwa na KIGODORO ili aweze kuipata njia ya kuelekea nyumbani, basi nae alikaribia na eneo lile huku akiwa nay a kwake hakujali tena kucheza kwani alikuwa kakwisha tosheka kucheza mpaka hamu ilimwisha.
Mara alipokuwa akikatiza alimwona binti mmoja akimwangalia mno nae hakutaka kufatilia sana aliinamisha macho yake chini na kuendelea na safari, lakini alivyokuwa akizidi kutembea na kutizama mbele alikutanisha macho yake na binti huyooooo!!!!!......
Ndipo alipo ona hakuna haja ya kumwogopa nae alizidi kuongeza mwendo na alipo mkalibia tub inti nae alianza kumsogelea mdogo mdogo huku akimfata KAPILO, na alipo mkalibia tuuuuu binti yule alionesha hali ya kutaka kitu japo KAPILO alikuwa njia pandaaaa amwelewi binti huyooooo………!!!!!

Wote wawili walichukua mda mwingi huku wakitazamana huku kijana KAPILO hakuelewa chochote kile, binti huyo alimtizama kwa macho ya mlegeo huku kijana KAPILO ndipo alipoelewa kuwa anataka nini binti huyo, huku wenzake na binti yule walikuwa pembeni wakimtizama mwenzao ili nao waje kufanya kama akifanikiwa, binti huyo alimunyooshea kidole chake huku akimwonesha ishala ya kumwita KAPILO ajongeee maeneo aliyokuwa yeye,

Binti huyo alishangaa sana kwa kitendo alichokionesha kijana KAPILO ka kumwendea sipidi huku akiwa ndooo yake kaiweeka pembeni ili awe mwepesi vizuri, alipo mfikia binti huyooo KAPILO hakutakaa kuchelewesha huku akitaka kumwona yuko na radha ipi nae au ndiyo ile ile kama MWANTUMU fundi, 

USIKOSE SEHEMU INAYOFATA HAPA HAPA?
Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment