Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

storynzuri sehemu ya arobaini na tano shemeji ingiza pole pole

.
.

sehemu ya arobaini na tano Mtunzi IG @hanscharlz @storynzuri . .
.
ilipoishia "kurudi haraka haraka huku akiwa mkono uko ndani ya suruali?" .
.
Nae alitoa burungutu la pesa na kuliweka mezani huku niksahngaaa na hofu ikiwa imenitandaaa maana sikuwaza kama atafanya hivyo na nilibaki nikiwa machooooo nikimtizama kwa kile alichokuwa akifanya nae alipo maliza kufanya hivyooo alipiga hatu kuondoka lakini alipofika mbele kidogo aligeuka na kusema "Take care Isabela lakini nitakutafuta badae please" Nami nilipatwa na kigugumiziiiii na kushindwaaa kuongea na kubaki nikitikisa tu kichwa huku nikimkubalia. Nae ndipo alipo nambia "mmmmmmh Isabela waweza kuniita "Erick " na tutazidi kufahamiana lakini ngoja niwahiiii mahari kwani naitajika sana wakati huuu lakini samaani sana kama nitakuwa nimekukela kwa kuondoka mapemaaaa". Basi na e alifika mbali na lutokomea kabisa maeneo ya hotel hapo na mimi nilipokuwa na shangaaa pesa zile alizo weka mezani nilizungusha macho yangu na nilishika pochi yangu niliokuwa nayo na kuzidumbukiza haraka haraka pesa hizo na sikutaka hata kupoteza mda maeneo yale basi niliona si vyema ni bora kumalizia soda niliokuwa nimeagiza basi na kuondoka hapo. Nilirudi tena hotelini nilipofikia baada ya kuondoka kwa dada amina huku nikiwa siamini kwa tukio lililotokea mdaa huuu mfupi kwani nilitoka nduki maeneo hayo huku nikiangalia kama kuna vibaka waliniona au mtu yoyote lakini laaah! haikuwa hivyo bali niliondoka bila ya mtu kuona. Basi ndipo nilipofika chumbani na kuzitoa burungutu hulo na kuliweka kitandani na kuanza kuzitazama sana pesa hizo huku nikifikilia sana je? asingekuwa kijana huyo hizi pesa ningezipata wapi huku nikikumbuka siku ya kwanza kupewa lifti basi nilianza kuziesabu pesa hizo huku mikono yangu ikionekana kuwa na jasho jing kwani kiwango cha pesa nilichokuwa nimepewa sikuwahi hata siki moja kukishikaaaa na ndio ilikuwa mara ya kwanza kushika pesa kama hizo. nilianza kupata kiwewe juuu ya pesa hizo huku nikitoa pesa baadhi ili nilipie nyumba illi niendeleee kuishi kwani ilinipasa tu kulipa maan sikuwa na mahari pa kuishi mpaka nitakapo pata ndio nitatoka hiyo ndio ilikuwa plan yangu kuishi mpaka nitakapo pata?

Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment