Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

storynzuri sehemu ya arobaini na nne shemeji ingiz pole pole



.

.

sehemu ya arobaini na nne 
Mtunzi IG @hanscharlz @storynzuri . .
.
ilipoishia "alinikalibisha kiti na huku akichukua jukumu la kuvuta kiti kile" . .
.
Nyuma na kunikalibisha vizuri huku nami moyoni nilifurahia kitendo hicho basi nami nikaketi huku nikimtazama sana pindi alipoonesha hayo .
Basi ilinibidi niwe mpole huku nikitizama na kubaki niko mdomo wazi nikiwaza ataanza na nini? yaani mazungumuzo baina yangu na yeye. Nae hakutaka kuuliza nini nataka hapo hapo alimwita muhudumu na kuniagiza kinywaji nami nilianza kushusha kiu taratibu huku mazungumuzo yakizidi kuwa matamu na ndipo alipo anza kuuliza swali huku nikiwa mwingi wa hofu sana aliponyanyua mdomo wake na kusema "sorry isabela kama nitadiliki kuzama ndani sana lakini inabidi tu niwe muwazi?" "yes nambie tuuuu wala usiogope " Nilijibu huku nikijiamini kwa kipindi kifupi mnooo na kupita kiasi basi nae alifunguka tena "isabela eti una mpenzi au mume ?" "Nilishituka na kupaliwa na soda niliyokuwa na kunywaaaaaa! basi nilikooa sana na takiribani dakika tano nilizipoteza kwa kukooa sana huku nikiwaza nitamjibu nini kwa swali aliloniuliza basi na kikoozi kile kilitulia na ndipo niliponyanyua kinywa changu na kumjibuuuuuuu. "Aaaaaaha no sina mpenzi wala mchumba niko kama unavyoniona vipi kwani?'" Nae aliposikia tu nimemjibu hivyo aliyoa tabasamu la ushindi na kuniambia tena "sawa vizuri ila mbona ulitakiwa kuwa nae au mda bado isabela"" "yaaah! mda bado na sijampata aliye tokea kuwania nia kwangu?" kiukweli aliniuliza maswali yenye changamoto sana huku akiwa mtu mwenye sura ya ki mahaba basi nami nilipoona akizidi kuzama mpaka ndani nimi nilibaki nikishika kucha na huku nikingata vidole vyanguuu vya mikono yanguuu tu.
Basi tuliendelea kupiga stori za hapa na pale huku tukizidi kufahamiana kwa vicheko na matani zaidii na mda simu yake ikaita nae gafra alipopokea alionekana mtu mwenye haraka na kuniomba kuwa atanitafuta kwenye simu basi alianza kupiga hatua huku nikiwa namwangalia nami nikiwawaza kuwa hotelini nako kaaa mda umebaki wa siku moja kwa kile kiwango cha pesa nilichokuwa nimelipa kufika tamati. na ndipo alipo geuka na kunitizama sana na kurudi haraka haraka huku akiwa mkono uko ndani ya suruali?

Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment