Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

storynzuri sehemu ya arobaini na tatu shemeji ingiza pole pole

.
.

Sehemu ya arobaini na tatu
Mtunzi IG @hanscharlz @storynzuri .
Ilipoishia "kijana huyo alinifanya niwe na wenge pindi aliponiambia kuwa anataka kuniona"
.
Huku nikifikiria kuwa nitamuambia nini? kwani simu ilikuwa bado iko hewani nami kufikilia sana na kutotaka kumjibu papo hapo na kumwambia "Haaaaaah! Unataka kuniona na mimi basi ngoja nipange ratiba yangu ya leo na ndipo nitajua mda na wakati wa mimi na wewe tutakapo kutana? Sawaaa au"
Nae aijubariana na kile nilicho kuwa nikiongea nae kwenye simu kwani alionekana kuvutiwa na kupendezwaaa nami japo mimi sikuwa na shida nae bali ni hali ya maisha ilinifanya na itanifanya kupata mahari pa kujiegesha kwa kipindi kifupi au siku mbili tatu huku nikiangalia mwelekeo basi nae alipokwisha kujibu nami kwa haraka na furaha nilikuwa nayo nilikata simu hiyo na kuanza kuwaza nitampa mda gani ili kukutana nae ndio zilipo pita dakika kazaa nami kupata majibu ya wapi na mda wa kukutana nae basi nami kwa haraka nilichukua simu na kumtumia ujumbe wa SMS uliokuwa umejitosheleza juuu ya wapi na mda wa kukutana nae.
Nae alirudisha ujumbe ule kuwa kaupokea na hana shaka atazingatia mda tuuuuu!.
Ilikuwa mda ya jioni ambayo ndio mda tuliokuwa tumekubaliana kukutana ili wawili sisi tukae tuyazungumuze basi nilitoka hotelini nilipokuwa nimefikia huku nikiwa nimebakisha siku moja ya pesa yangu niliokuwa nimelipia kwa siku kazaaa.
Nilifika mahari nilipo mwambia na mda huo tuliokuwa tumepanga ulikuwa umeshafika na kunyanyua simu yangu na kumpigia simu.
Nilipopiga tu simu nae alipokea na kumbe alikuwa kaishafika mda mrefuuu basi nae alichukua jukumu la kunielekeza mahari alipo kuwa ameketi nami nikaelekea mahari aliponielekeza ili tuongeee mambo mabali mbali huku nikiwa na lengo mojaa tuuu kwani atakapo nitaka kimapenzi ni heli anitafutie mahari pa kuishi au kuishi nae kwake kwani nikikumbuka ya hotelini ndio yaliokuwa yakini changanya sana kuwa bado siku moja basi hayo ndio yalikuwa mawazo yangu. ndipo nilipomuona alipokuwa ameketi huku akiningojaa tuongee pamoja. Nilimkalibia nae aliponiona tu alinikumbuka haraka mno huku akitoa tabasamu zuri huku nami nikiwa nimevutiwa nalo basi alinikalibisha kiti huku akichukua jukumu la kukivuta??

Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment