Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

StoryNzuri sehemu ya ishirini na nane shemeji ingiza pole pole

.
.

Sehemu ya ishirini na nane 
Mtunzi INSTAGRAM @hanscharlz @storynzuri .
Ilipoishia "kusikika huku ikisogea na kuisikia vizuri na kuijua sauti"
.
Na kuifahamu sauti kumbe ni ya dada amina pamoja na shem Erinest. Ilinibidi niwasubilie mpaka wafike mlangoni ndipo niwafungulie mlango waweze kuingia ndani. Walifika na nikawafungulia mlango nao kila mmoja wao alikuwa akitoa harufu kali tena ya pombe na ilisikika pindi pale tu nilipofungua mlango basi nyumba nzima harufu ilitapakaaaa nami ilikuwa ikinichefua mno wala sikutaka kuongea chochote na nilifunga mlango huku wote wakiwa ndani ya nyumba basi ilinibidi nikimbie chumbani mwangu na kulala huku wao nikiwaacha wakijibizana ovyo kwani hawakuwa wao bali pombe ndizo zilizokuuwa zikifanya kazi wakati huo wafanye nini na wazungumuze nini!
Usingizi hata chembe haukunijia papo nilipo mpaka ilipopita masaa kidogo kuupata kwani kelele na fujo walizokuwa wakifanya ndugu zangu usiku huo zilikuwa si za kumfanya mtu apate usingizi bali kusumbua usingizi wa watu na majirani.
Walichoka na kila mmoja wao alikuwa kimya basi nami ndipo nilipo pata chansi ya kupata usingizi ambao ulikuja kwa nguvu ya ajabu na kujikuta niko ndotoni huku nikimuwaza tu mtu mmoja nae si mwingine alikuwa ni shem Erinest.
Kulikucha asubuhi siku iliyofata nami huwa wa kwanza kuamka na kufanya usafi na kwenda ofisini basi kumbe siku hiyo shem na dada Amina walilala sebureni na nilipofika sebureni niliwakuta kila mtu yuko na pozi lake huku wakionekana kuwa wamechoka sana na ike safari walio toka usiku huo.
Basi ndipo kufikilia sana na ikabidi nimuamshe shem Erinest ili tu atakapo amka tu yeye atambeba mkewe na kumpeleka ndani.
Nilifanya hivyo na kumuamsha shem Erinest nae alionesha uanaume wake pal chumbani e alipo mnyanyua dada amina na kumpeleka mwao akapumzike.
Nilikiwa nikiendelea na kazi huku nikitazama mda wa kwenda kazini basi shem alikuja jikoni na kunikuta nikiendelea kufanya usafi na ndipo aliponiuliza.
"Isabela za asubuhi shem "
"Nzuri shem huuuuh mzima wewe!!!!"
"yaaah niko njema tena wa afya mno sorry lakini vipi hivi jana tulikujaje hapa nyumbani?"
"Shem mlikuja usiku mnoo na mlikiwa choka mbaya huku kila mmoja wenu alikuwa amelewa tiralira na mkipiga"

Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment