Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

storynzuri sehemu ya ishirini na tisa shemeji ingiza pole pole

.
.

Sehemu ya ishirini na tisa
Mtunzi IG @hanscharlz @storynzuri
.
Ilipoishia "kila mmoja wenu alikuwa kalewa tiralia na mkipiga"
.
Kelelee mtaa mzima na mtaa ulizizima kwa kusikia sauti zenu na mlipofika ndani nilifunga mlango na kuhakikisha mko salama na kuwaacha wote mkiendelea kuongea mpaka mm nilipo amka nashangaa kuwakuta mkiwa kwenye hali hiyo kwani mimi nilijua mliingia chumbani mwenu na kulala"
"duuuuuh sawa shem nimekuelewa lakini pombe hizi zitatupeleka pabaya nami itanibidi niache kabisaaa maana nielekeako siko kuzuri"
Maneno hayo aliyaongea shemu mwenyewe akiwa anapiga hatua kutoka jikoni na kuelekea chumbani mwake basi nami niendelea na usafi na kupanga vitu vizuri viwe kwenye hali sitahiki na uwatahalishia chai mezani ndipo niende ofisini (saloon).
Nilimaliza na kuweka kila kitu mezani nami nilijianda na kuondoka na kuelekea kazini (saloon). Nilifika saloon na kuendelea na shughuri kwani zilipita siku kazaa kukanyaga hapo basi ilikuwa chafu mno saloon na iliitaji usafi wa nguvu na niliufanya usafi huo na nilipata wateja wengi kwa wakati tofauti tofauti na huku kila mmoja nikimuweka tifauti na mwenzake ilitumia mdaa sana mpaka nilipo hakikisha wako safi na wengine walizidi kuja sikupumzika na ilipofika majira ya saa saba mchana huku nikiendelea na kazi ngumu ile gafra dada amina aliingia kwa speed kali huku akujali wateja nilionao nae alinita na.kuniomba kidogo tuingie faraga mimi nae basi nikimfata mpaka kwenye chumba cha maongezi huku nikiwataka radhi wateja wangu juuu ya kilichotokea nao walinivumilia nae akungoja hata kidogo na nilipofika tu kuanza kuniambia
"Isabelaaaaa mdogo wangu kulikoni nasikia jana tumelala sebureni kipi kilichotupata mimi na shem wako maana nashangaaa mume wangu ananiambia tulilala mpaka asubui"
"Ndio dada asemacho shem ni cha ukweli kwani mlifika kila mmoja alikuwa pombe zimemjaaa yaani kukupeleka itakavyooo na huku mkipiga kelele usiku kucha"
"Mmmmmh isabela samahani sana kwa kile kilichotokea jana zilikuwa furaha zimezidi mpaka kunywa kupitilizaaa na hatukujua kama kitatokea hicho"
Sawa dada wala usijali ni hali ya kawaida tu kutokea kwa hicho lakini hofu yangu ilikuwa kuzulika kwenu lakini nilipoona mko vizuri ilikuwa!

Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment