Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

StoryNzuri Sehemu Ya Ishirini na saba Shemeji Ingiza pole pole

.
.

Sehemu ya ishirini na saba 
Mtunzi INSTAGRAM @hanscharlz @storynzuri.
.
Ilipoishia "Niligeuza na kuanza kuufata mlango wa jikoni "
.
Sikupiga hatua ndefu kutoka nilipokuwa na shem Erinest nilishituka mno nilipomuona dada amina akitoka bafuni na ndipo niliposhusha pumzi kwa speed kali mno na kuwaza mengi papo hapo huku nikijisemea moyoni "Angenikuta mimi nafanya vitu hivi na Erinest mumewe tena sebureni kwake daaaah! mungu kanificha leo"
Tulipishana mimi na dada amina kwenye korido huku akiwa kashikiria nguo mkononi na ndipo alipofika mbele kidogo aliniita na kunipatia nguo hizo na kuniambia.
"Naomba mdogo wangu hizi nguo ukaziweke kwenye nguo chafu siunapajua au!!!!?"
"Sawa dada nitaziweka kwani uliponielekeza napajua vizuri"
Alinipatia nguo hizo nami nilifanya kama alivyo niambia mahari pakuziweka huku nae akielekea chumbani mwake.
Siku hiyo hiyo yalipofika majira ya jioni kijua kikizama kwambali dada amina pamoja na shem waliniaga na kuondoka na kuelekea sehemu nisipo pajua hata kidogo huku nikijua ni kawaida tu wanaenda kufurahia siku yao na wakiniacha nikiwa mpweke huku pia nikiwaza wamekwenda wapi au maeneo gani na ndipo nilipo jawa na wivu na ukinyemelea kwa wingi basi tu ilinibidi niwe mvumilivu maana hakuwa wangu licha ya kunionjesha penzi iwe sababu ya kumpenda kiasi hicho nilitupa moyo konde na kuendelea na shughuri ndogo ndogo zilizopo. Nilipo maliza kufanya hizo kazi nilikula chakula cha usiku na kukaaa sebureni ili hali niwangoje mpaka watakapo kuja kwa mda wowote. 
Nilikaaaa sebureni mno nakukosa matumaini ya kurudi kwao huku masaa yakizidi kusonga mbele ndipo nilipopitiwa na usingizi mzito nikiwa hapo hapo Sebureni.
Nikipitiwa na usingizi huo takilibani masaa matatu na ndipo niliposhituka usiku huo na kuitazama saaa ya ukutani ikinionesha ni saa nane na ndipo nilipofikilia zaidi kama wameingia ndani lakini haikuwa hivyo sikuwaona nilirudi kidogo sebureni na ndipo niliposikia sauti kwa mbali wakizungumza kwa speed tena wakitoa sauti kubwa na pia ikiwakela mnoo majirani japo kila mtu aliisikia lakini hakuweza kutoka kwani mda ulikuwa umekwenda mnooo.
Kila mmoja alitoa sauti ya ovyo ovyo na ilipozidi kusikika huku ikisogea na kuisikia zaidi na kujua sauti

Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment