.
NAMALA
SEHEMU
YA PILI
Mtunzi IG @hanscharlz @storynzuri
Whatsapp 10000 +255652486818
.
.
Kama hakuwa mtu mkubwa naye alipo pewa mara ya kwanza
alifakamia maji yale na kumpelekea binti NAMALA kumsitishia zoezi lile na
kujaribu kurudisha chombo chake, hakuweza kukifikisha mpaka sehemu ya mwisho na
ndipo ilipombidi afanye maamuzi……………?
.
Alifanya maamuzi ya kumrudishia tena chombo kile ili
aweze kunywa tena kwani alimwona akiwa na hamu sana ya kukata kiu yake kwani
aliikatisha huku akimtizama sana bwana TUMBAKU…. Basi ndipo alipoishika tena
ile chupa na kuanza kunywa huku akichungulia jicho la pili upande mwingine
akimtizama binti NAMALA huku akiofia huwenda anaweza kunyanganya tena chupa ile
basi aliweza kunywa mpaka dakika ya mwisho alipoona kuwa kalizika naye
alishusha chupa ile na kubaki akimtizama binti yule huku akiwa hoi kwani
alipokuwa akinywa maji kwa kasi yalimfanya kuonekana kuwa mzito wa kila kitu….
Sauti ya binti NAMALA ilisikika ikimuuliza bwana
TUMBAKU
“unatokea wapi husiku huuu”
“kijiji cha hapo jirani”
“kufanya nini”
“kuwatembelea….jamaa zangu”
“umechelewa sana kwani hapa watu wengi mida kama hii
huwa kwenye malindo kama hunionavyo mimi hapa”
“samahani sana binti” bwana TUMBAKU alijibu huku
akitetemeka na kuanguka nchini huku akimwomba msamaa binti yule
Binti NAMALA alipo mwona bwana TUMBAKU akiwa chini alibaki
akicheka moyoni na huku akimtizama bwana TUMBAKU kwa ile hali aliokuwa
akiionshe wakati yuko chini….
“sawa lakini usirudie maana hili pori ni kubwa sana na
lina kila aina ya wanyama wanao zuru sawa”
“ndiyo…..” aliitikia huku akinyanyuka kwa upole naye
tena kusikia sauti ya binti NAMALA…
“unaitwa nani wewe”
“TUMBAKUUUUUU…”
“sawa naitwa binti NAMALA waweza kuniita kwa jina la
binti mjanja mjanja”
“nashukuru kukufahamu NAMALA….”
Wivu ulianza kumwingia binti NAMALA kwa wakati ule
alipokuwa akiziona six pat za bwana TUMBAKU huku akitamaaani kuzishika lakini
hakuweza kwani bwana TUMBAKU alikuwa makini sana kwani alikuwa akizificha ficha
naye binti ndipo aliposhika mkono wake na kutoa…………….
.
.
.
Alitoa Kamba huku akiwa na malengo yake basi ndipo
alipoona ni vyema kuitumia Kamba ile kumshika nayo ili asiweze kutoka mahali
pale kwani aliona ni kile kifuo ndicho ilichokuwa kikimchanganya wakati wote
kwani alitokea kukipenda na kukivutia…. Basi ndipo alipoutu Kamba ile na kwenda
moja kwa moja kwa bwana TUMBAKU huku naye alikuwa akishangaa kilichokuwa
kikiendelea wakati alipokuwa akitupa Kamba ile na kumnasa…
“kulikoni NAMALA…?”
“hapana usijali TUMBAKU….?”
“mbona unanifunga na kama nimekukosea tena” aliuliza
huku akibaki amepigwa butwaaa hajui afanye nini na kubaki akimtolea macho binti
tu
“hapana husiwe na hofu….. bwana TUMBAKU…”
“unanitisha NAMALA…..”
“Hahahahahahaa Bwana TUMBAKU”
“Kweli………”
Aliendelea kumvuta vuta huku wakionekana kujuana kwa
mda mfupi kwani bwana TUMBAKU alionekana kuwa na woga sana naye ndipo alioona
anaelekea pasipo sitahiri naye bwana TUMBAKU alianza kujihami huku akishusha
mkono wake chini maeneo iliopo siraha yake naye kuifikia na kuanza kuivuta
taratibu huku akizani kuwa binti NAMALA hakuona kile alichokuwa akifanya gafra
alisikia sauti ya binti NAMALA huku ikimsisitiza kushusha siraha yak echini
kwani alikwisha kumwona muda….
“hahaha Bwana TUMBAKU… shusha siraha chini”
“siwezi NAMALA kwa hiki unacho nifanyia”
“hahahahhaa Bwana TUMBAKU mimi siko hivyooo napenda
kifua chako”
“mmmh!” mguno wa bwana TUMBAKU ulimfanya kuzidisha kwa
kile alichokuwa akimfanyia Binti NAMALA….
“nini sasa wewe”
“hamna kitu” aliitika huku akifurahia kile alichokuwa
akikifanya binti NAMALA
“hayo ndio maneno” alijibu huku akiongeza sipidi ya
kumchezea na kumvuta Bwana TUMBAKU
Ilifikia mahali mzuka ndipo ulipo mpanda bwana TUMBAKU
huku akiwaza ni kwa njia ipi afanye aweze kutatua tatizo alilosababisha binti
NAMALA……..
.
Waliendelea kuvutana mpaka hapo binti NAMALA alipo
msogeza kwa ukaribu bwana TUMBAKU huku akimpapasa na kumtia hamasa na amsha
amsha huku naye bwana TUMBAKU alikuwa ajielewi ni nini afanye kumsogeza vizuri
ili atomize haja yake….
“NAMALAAA……….!” Aliita bwana TUMBAKU
“nambie TUMBAKU….”
“unashika wapi huko jamani……” aliuliza huku hisia
zilikuwa zimeshafika kwenye ubongo wa kati huku zikingoja kufanya hukumu….
“hahaaaaaa….! Bwana TUMBAKU….. kidogo tu”
“kidogo lakini siunajua madhara yake”
“yapi hayo? Ndiyo nataka unifundishe name niyajue”
“hahahahahahaha……..” alicheka huku akimtizama binti
NAMALA
.
.
.
Waliendelea kujibizana huku kijana akitafuta upenyo
mzuri wa kumshusha juu ya farasi yule ili amfundishe vizuri licha ya bwana
TUMBAKU kufikilia sana na ndipo alipokumbuka kuwa si mbali na pale kuna gofu la
nyumba ambalo lilitelekezwa na watu kipindi cha nyuma naye ndipo alipo mwita
Binti NAMALA kutaka kumwelekeza mahali pale waende kama ataweza kumkubalia……..
“nawazo……”
“wazo lipi hilo”
“hapa tulipo si mahara salama na unaonaje twende hapo mbele
kuna jumba liko tupu”
“heeeee.. hayo ndiyo maneno ni wapi?” NAMALA alijibu
huku akionekana kuwa na furaha kwani alijua Bwana TUMBAKU atamponesha kidonda
alichokuwa nacho mda mrefu sana..
“twende sasa”
.
.
USIKOSE SEHEMU INAYOFATA HAPA HAPA
0 comments:
Post a Comment