Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

storynzuri UTAMU WA TUNDA sehemu ya kumi na saba

.
.
UTAMU WA TUNDA SEHEMU YA 17
MTUNZI HANSCHARLZ
INSTAGRAM @hanscharlz @storynzuri
Whtsapp +255 652486818 kwa 5000# tu.
.                         
Ilipishia       
“wazazi hawawezi niamulia mawazo yangu”
“mmmmh” aliguna na kubaki akimtizama binti Happy huku akimwona akija mpaka alipokuwa kajilaza naye kujitupia juu yake na kumpa busu ambalo lilimchanganya kijana Hans…….!
.
.
Na kumfanya kupeleka mikono yake mpaka kwenye shigi ya binti Happy na kuanza kula mabusu ya kutosha, walizidi kuchezeana takirubani dakika kumihuku kila mmoja wao alikuwa akimfanya mwenzake awe kwenye hali ya kuhamasikia kuvunja amri ya sita. Happy alikuwa kaisha mzoea kijana Hans huku akizijua sehemu zake zote basi alionekana kuwa mtundu pale alipo mbinya mahara naye Hans kushituka huku hisia zikiwa zimepanda juuu, naye kijana Hans alisikika akilalama kwa binti Happy kumfanyia mpango japo ampe cha haraka ili aweze kumtuliza jogo wake
“Happy mimi huku tayari…..”
“kweli….?” Ilisikika sauti ya Happy ikiongea huku jicho likiwa limemlegea
“ndio mpenzi….”
“basi njooo juu yangu…” Happy alidiliki kumuita kijana Hans ili apate kufurahia siku hiyo kwani alikuwa akipenda mechi na kijana Hans kwani alikuwa akimfikisha alikokuwa akisitahili
Hans alipanda juu ya binti Happy na kuanza na kasi ya ajabu ambayo ilimpeleka binti Happy mpaka mwisho wa mchezo huo alidiliki hata kuomba maji, maana kasi aliokuwa katumia kijana Hans ilikuwa kubwa kupita siku zote, lakini cha kushangza wakati Hans akitaka kufunga goli Happy alidiliki kumshika kwa nguvu ili asikatishe utamu ule na ulimpelekea binti huyo kurizika na kile alichopea na kijana Hans. Walilala usiku na kuamka asubui yake huku binti Happy akionekana kuwa mchovu tena sana. Gafla alichomoka mahali alipokuwa amelala na kukimbilia inje ya geto la kijana na kutapikaaaa sana……………!, Naye aliporudi ndani hakumwambia kijana Hans naye aliaga na kurudi nyumbani kwao.
.
.
Baba Happy na Mama Happy waliwaza sana juu ya binti yao kumsafirisha aende tena nje ya nchi kuendelea na masomo
“nimechoka mume wangu na huyu mtoto weto sasa kawa mkubwa”
“mama Happy usimlaumu mtoto”
“unamtetea mwanao”
“siyo hivyo mke wangu jaribu kukaa naye na kumshauri mtoto na siyo kuchukua hatua ya haraka kama siku ile, kaa fikiria mke wangu” baba aliongea na kuondoka kwenda kazini, naye baba anafika getini alimwona binti yake akiingia na kumuuliza
“unatokea wapi mwanangu”
“nilikuwa hapo dukani dady” Happy alidiliki kumdanganya baba yake kwani usiku walirudi wote lakini alipochomoka hakuna hata mmoja wa wazazi wake aliyemuona.
“okay sawa nenda kwa mama yako anakuitaji”
“kuna nini tena dady” aliuliza Happy huku akishika kichwa chake
“hamna kitu mwanangu wewe nenda tu”
Happy aliwaza sana na kuingia ndani na kuelekea moja kwa moja mpaka chumbani wa wazazi wake na kuusukuma mlango na kuingia ndani, naye alishanga kumwona mama yake akitoa tabasamu la furaha……
“Mwanangu…………”
“abeeee! Mama” Happy aliitikia huku akizidi kumsogelea mama yake
“nisameeee bure mama yako sikukusudia mwanangu” mama aliongea maneno yale huku machozi yakimdondoka
“wala usijali mama” Happy alijibu naye machozi yalikuwa yamefika chini.
Walikubaiana dakika nyingi kiasi cha kwamba wote walikuwa kwenye mudi ya mchungu, basi walibaki ukimya mpaka alipokuja dada wa kazi kuwashitua kwani alikuwa akimkalibisha mama apate kunywa chai.
“mama………….” Johari alimwita mama huku akigonga mlango, nao mama pakoja na Happy walishituka na kila mmoja wao kujifuta machozi na kuwa vizuri.
“yes Johari…!” mama aliitika, nae Happy kwenda moja kwa moja mpaka kwenye mlango
“wanini mama? Happy aliuliza
“nimekuja kumkalibisha chai iko mezani”
“sawa anakuja” Happy alijibu na kuurudishia tena mlango, naye Johari alielekea chumbani mwake kumalizia kufanya usafi wa chumba chake.
.
.
Basi ndipo Happy alipo mkokota mama yake mpaka sebureni ilia pate kunywa chai naye alipomfikisha mama yake gafla alisikia kichefu chefu na kukimbia nje, alitapika kiasi kwamba mpaka mama yake alikuwa akisikia kilichokuwa kikiendelea nje naye alipomaliza alijisafisha na kunywa majimengi ili asije sikika arufu iliokuwa ikitoka kinywani mwake. Alirudi mpaka ndani na lengo lake kupita moja kwa moja kwelekea chumbani mwake naye mama alisikika akimwita.
“Happy………………….!”
“yes mamy” aliitika kwa woga mwingi naye kugeuka
“ulikuwa ukifanya nini nje” mama aliuliza huku akimtizama sana
“hamna kitu mama” Happy alijibu huku akitizama chini
“sawa mwanangu……”
Happy aliposikia vile alichomoka moja kwa moja mpaka chumbani mwake na kujitupia kitandani mwake na kulala huku akiitazama taa iliokuwa ikitoa mwanga mzuri ambao ulikuwa ni kitulizo tosha akiwa chumbani mwake pindi apatapo mawazo.
Alipitiwa na usingizi na aliposhituka aliona sura ya baba yake ikimtizama na kumwamsha atoke waende kupata mlo wa usiku kwani mdau ulikuwa umeshakwenda mnooo!,
“dady!!!!!!!!!!!!!!”
“yes amka twende mezani mwanangu” baba alimshika mikono na kwenda naye moja kwa moja mpaka mezani nao kula pamoja huku wakifurahia kupona kwa mama yao nay eye Happy kurudi nyumbani, walipo maliza kula chakula wote walitawanyika kwelekea vyumbani mwao.
“mume wanguuuuu” mama happy alimwita baba Happy
“yes mke wanguuu”
“umemuonaje Happy siku hizi alivyo rudi nyumbani?”
“nini tena hicho mama Happy? Baba aliuliza huku akishangaaa mno na kugeuka vizuri upande wa mama Happy
“kabadilika ujamwona”
“mama Happy umeanza mbona hivyo kabadilika na nini tena utamuuzi mtoto”
“sijamaanisha hivyo darling utamwangalia basi wewe mwenyewe utanipa majibu”
“sawa mke wangu tulale kesho basi upumzike mke wanguu”
“sawa mume wangu”
Basi walilala mpaka kulipokucha naye Happy aliamka mapema sana na kuelekea kwa kijana Hans, alifika getoni mwa Hans alipitiliza moja kwa moja na kumkuta bado akiwa kwenye tauli naye alikaa kitandani huku akiwa amenyongonyea kweli, ndipo Hans alipo nyanyuka na kumfata mahali alipokuwa kaketi na kumshika begani na kumuuliza
“vipi mpenzi?”
“Hans unanipenda…….?” Happy aliuliza huku akimshituwa sana kijana Hans
“yah! Kama kawaida kwani ujui baby”
“najua lakini kuna kitu nataka kukuambia mpenzi?” Happy aliongea huku akimtizama kijana Hans, nayekijana alishangaaaa na kujiuliza ni kitu gani hichooo kwani siyo kawaida ya Happy kuja na hali ile.
“kitu gani mpenzi nambiye”
“kweliiii Hans nikuambiye”
“ndio”
.
JE NI NINI HAPPY ALIKWENDA KUMWAMBIA MPENZI WAKE HANS?


Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment