.
.
.
UTAMU WA TUNDA SEHEMU YA 16
MTUNZI HANSCHARLZ
INSTAGRAM @hanscharlz @storynzuri
Whtsapp +255 652486818 kwa 5000# tu.
.
Ilipishia
Mama Happy alikuwa
anaendelea vizuri lakini alipo mwona mwanae alishituka sana na kumtazama yuko
na kijana yule yule mchafu ambaye apendi kumwona machoni mwake naye alinyanyuka
kwa hasira kitandani hapo na kuanza kupiga hatua lakini chakushangaza…………………….?
.
Mama alidondoka chini na
ndipo ilipomlazimu kijana Hans kutoka nje, Happy na manesi walikuwa zamu
walisaidiana kumnyanyua mama Happy na kumrudisha tena kitandani huku walipo
maliza zoezi lile Happy alitoka mbio kumkimbilia kijana Hans ili kwenda
kuzungumza naye kwa kile kilichokuwa kimejitokeza,
Hans alikuwa ana vuka
geti ili apate njia ya kwenda kwake basi alisikia sauti ya mpenzi wake ikimwita
naye kugeuka kumwona Happy akija mbio, naye ndipo aliposimama na kumngoja mpaka
afike amsikilize anasema nini…………..!
“Hans mpenzi wangu
usichukie kwa kile kilichojitokeza………!”
“sawa wala mimi
sijachukia Happy” alijibu huku akimtizama Happy kiunyonge sana
“okay sawa mda huu
unaelekea wapi maana ulivyotoka hapo sikuelewa..”
“ukuelewa nini wakati
mama yako hapendi kuniona mimi au kisa niko na hali yangu hii eti Happy?” Hans
aliongea huku naye akimtizama sana bnti kwa jicho la upole mno.
“usiseme hivyo kwani mimi
ndiye niliye chagua kwa kila kitu ulichonacho mpenzi”
“lazima niseme Happy”
“ukisema hivyo unakosea
Hans”
.
.
Happy alikwisha kusema
yale maneno machozi yalimdondoka kwani Hans alipokuwa akiongea naye alionekana
kuwa anapoteza mda tu kwa binti wa kitajiri huku mchezo ndio uliokuwa ukimbeba
kwa bindti Happy, basi ndipo Happy alipomshika mkono Hans na kulala kifuani mwa
kijana huyoo, gafla baba naye alifika maeneo yale na kuona tukio zima na kubaki
akishangaa na kuwaza nini afanye mpaka mtoto wake aweze kuachana na kijana huyo
kwani aliona yaweza kuwa aibu kwa mtoto wao kuolewa na kijana fukara kama Hans
japo wanajua kuwa mtoto wao alikuwa ndiyo kafa kaoza kwa kijana yule.
“Happy happy………………………!”
baba alimwita mwanae Happy
Happy alishituka kumwona
baba yuko upande wa pili akiwatazama wakiendelea kula raha yeye pamoja na
kijana Hans, kwani kijana Hans alikuwa ameshafikisha mdomo wake mpaka kwenye
lipsi za binti Happy huku akila utamu uliopo kwenye mdomo wa mpenzi wake Happy.
Happy alimwangalia sana
baba yake na kubaki hakimtolea macho kwa kile kitendo walichokuwa wakifanya
yeye na Hans tena azalani, ndipo baba alianza kuwasogelea na ndipo kijana Hans
alitafuta upenyo na kuchomoka mbio kumwacha baba pamoja na Happy huku alipokuwa
akifanya mipango ya kuchomoka kijana Hans alimwambia binti Happy “utanikuta
Geto jioni”
Happy aliposikia maneno
yale akili zote zilimtoka na kuwaza jioni ifike mapema na hakuwaza tena kama
baba yake yuko pale, akili zilikuwa mbali mnoo
“weeeee happy sinaongea
na wewe?” baba alimshitua kwa kumtingisha tingisha mwili wake,
“baba”
“unafanya nini na huyu
kijana si nimeshakukataza au bado aijaingia akilini mwako”
“baba nimeshakuambia
kuhusu mtu huyooo na mchango gani kwangu”
Baba alishika kichwa na
kubaki akimtizama mwanae kwa majibu aliokuwa akiyapata basi ndipo na kumwona
mtoto anachomoka na kuelekea alipokuwa amelazwa mama yake. Happy alifika na
kumkuta mama yuko anaendelea vizuri na kukaa pembeni yake huku akimbembeleza na
kuuchezea mkono wa mama yake basi ndipo mama alipo zinduka kutoka usingizini
kwa kile alichokuwa akikihisi na kuchezewa chezewa mkono wake na kumwona
mwanane Happy…
“happy umerudi tena na
yule kijana? Mama aliongea huku akifumba macho na kufumbua
“hapana mama kaondoka”
“kwanini sasa mwanangu
unafanya hivi”
“nafanya nini mama?
“huoni ufanyacho na
kijana yule mchafu unaye fanya usielewe kitu”
“mama lakini mbona yuko
sawa tu”
.
.
Hata maongezi na mama
yake hawakumaliza naye baba aliingia ndani ya hodi aliokuwemo mama Happy
kalazwa naye kufika karibu na kitanda moja kwa moja huku akionekana kuwa
mnyongeee mno.
“kulikoni mume wangu”
mama alinyanyua kinywa chake kwa shida na kumuuliza mumeweee
“kawaida tu mke wangu
vipi unaendeleaje na matibabu” baba alikwepesha swali huku akijua tu endapo
ataendelea nayale maswala ya kijana Hans, naye binti Happy atamwalibia baba
yake kwa baba yake kwa ule mchezo anao cheza kwa mfanyakazi wao Johari.
“daktali kasema leo
unaweza kuruhusiwa na kurudi nyumbani”
“Kweli dady…!” Happy
alidakia
“ndiyo mwanangu mama yako
leo ataruhusiwa”
“okay! Ni saa ngapi?
“sijajua mwanangu”
Baba alikwisha kusema
vile mara daktali naye aliingia na kumfanyia vipimo vya mwisho Mama Happy na
kumwandikia dawa atakazokuwa anatumia akiwa nyumbani, baba Happy alikipokea
kikaratasi kile na kuongozana na daktali mpaka ofisini kwake na walipofika baba
alichukua maelekezo machache.
“mgonjwa wako kwanzia
sasa unaweza kuondoka naye”
“sawa daktali….!”
Aliitikia baba
Walimchukua mama Happy na
kutoka naye mpaka nje na kuelekea nyumbani, walipofika nyumbani walimwingiza
mpaka chumbani mwake na kumlaza kitandani japo alikuwa hayuko fiti lakini
aliweza kusimama mwenyewe na kutembea tembea huku akifanya mzoezi machache.
Happy alipata upenyo na
kuchomoka na kuelekea kwenye geto la kijana Hans na alipofika alikuta kumefugwa
na kijana Hans hakuwepo maeneo yale naye kuulizia vijana waliokuwepo maeneo
yale na kukutana na kijana Erick alikuwa akipita zake maeneo yale huku akiwa na
geto lake pia jirani na kijana Hans, basi naye Happy bila woga alimsimamisha
kijana yule na kubaki mdomo wazi licha ya kumsimamisha mwenyewe
“vipi dada?” Erick
alimuuliza Happy
“samahani nimechanganya
sorry”
Okay sawa” Erick alijibu
huku akipiga hatua kuelekea anapokaaa, ndipo binti Happy alisahau kuwa kaja kwa
kijana Hans naye alimfatisha kijana yule anapoelekea , naye kufika kwenye
mlango wake na kugeuka nyuma nakuiona sura ni ile ile ya yule binti aliyekutana
naye mda mchache uliopita alishangaa sana na kumwita.
“karibu…………..”
“Ahsante” Happy aliitikia
huku akijing’ata vidole vyake na kuzama kwenye geto la kijana Erick kiulaini,
huku ajielewi maana Erick alionekana kuwa kijana mzuri na mwenye kuvutia,
alifika na kuketi kwenye kitanda cha Erick huku kichani mwa Erick alikuwa
akiwaza juu ya binti yule kuwa na ujasili mpaka kuingia chumbani mwake bila ya
woga wowote naye alipata wazo “mmmmh uyu binti kuna kitu anataka name sita laza
damu mbichi kaja mwenyewe” ni mawazo aliokuwa akiwaza kijana Erick wakati
akimtizama kwa jicho la huba huku akimkonyeza konyeza.
“vipi mrembo”
“poa” aliitikia Happy
“nambiye mtoto mzuri”
aliongea huku akimgusa gusa
“wewe tu” Happy alijibu
huku akibana mapaja yake na kutetemeka ju!
“Okay sawa” Erick
alinyanyuka na kuubana vizuri mlango na kurudi tena kitandani alipokuwa
kamwacha binti Happy
Erick hakutaka kulaza
damu ile mbichi ya binti Happy kwani alijua tu binti yule anataka nini kwake
basi aimshika sana mpaka kupelekea binti Happy kulegea mwili wake wote na
kukubali kile alichokuwa akifanyiwa na kijana Erick, alinayua mikono yake yote
juuu kwa kuvuliwa nguo yake aliokuwa kavaaa ili kijana Erick asipate tabu wakati
akianza kula TUNDA, basin aye alimchojoa nguo zake fasta na kujipanga kwa
mashambulizi ambayo binti Happy alikuwa tayari kwa kukabiliana nayo.
“siamni mrembo kama uko
vizuri kiasi hichi” alizungumza kwa sauti ya upole huku akizidi kukandamiza
mashuti kwa binti Happy
“kweli eeheeee!”
alisikika akijibu Happy
“ndiyo maana
unakizungusha hatari”
Erick alionekana kuwa
zaifu pale alipo piga goal la kwanza na kuwa mchovu huku binti Happy alikuwa
akiitaji japo vifike vitatu, alijarubu kupandisha mashetani ya jogoo lake
lakini lilishindwa kuwika mpaka kumpelekea binti Happy kujiuliza kuna nini?
“vipi………….! Mbona jogooo
lako aliwiki tena”
“mmmmh sijui”
“bwana mimi nataka kingine…?”
Happy alianza kudai kwani akulizika na kile alichokuwa kapewa kwani kilionekana
kuwa kama chemsha akili naye alikuwa akiitaji kichapo chenyewee
.
.
Alianza kupata aibu pale
alipokuwa akitaka kumfanya jogoo wake awike lakini alishindwa mpaka kumpelekea binti
Happy kumsukuma na kumwona afai na kumkubuka tena kijana shupavu Hans. Erick
alibaki akishika kichwa na kubaki kwenye taulo lake huku akiita naye Happy
akutazama nyuma naye moja kwa moja mpaka alitoka nje ya Geto la Erick na
kutazama geto hilo mara mbili mbili na kutimkia kwa kijana Hans, alifika na
kuukuta mlango uko wazi naye hakutaka kupiga hodi alizama moja kwa moja mpaka
ndani na kumkuta kijana akijiandaa kulala kwani mda ulikuwa umeshakwenda hivyo
alikuwa ndani ya taulo tu,
“happy mbona umenishitua
hivyooo”
“samahani Hans
nimechelewa kuja itabidi na leo nilale kwako”
“mmmmh Happy wazazi wako
Happy watanifunga mimi”
“wazazi hawawezi niamulia
mawazo yangu”
“mmmmh” aliguna na
kubaki akimtizama binti Happy huku akimwona akija mpaka alipokuwa kajilaza naye
kujitupia juu yake na kumpa busu ambalo lilimchanganya kijana Hans…….!JE NI KITU GANI KILIENDELEA CHUMBANI USIKOSE SEHEMU INAYO FATA
0 comments:
Post a Comment