Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

storynzuri UTAMU WA TUNDA sehemu ya tisa


.
.
UTAMU WA TUNDA SEHEMU YA 09
MTUNZI HANSCHARLZ
INSTAGRAM @hanscharlz @storynzuri
Whtsapp +255 652486818
.
Ilipoishia
“Sioni bwana, twende kitandani mimi tayari muda mrefu mwenzio,” alisema happy akianza kumchojoa nguo kijana huyo  huku akikunja sura ili kuziba pua kutokana na harufu mbaya iliyokuwa ikitoka kwa kijana huyo.
.                           
.
“Baby na wewe uwe unaoga bwana.” Aliongea huku akizidi kumvua nguo hans na kuzidi kumpandisha hisia zake
Mi mtu wa kazi, kuoga nina raha gani?” naye hans alimjibu huku akijiandaa kufanya mashambulizi kwa binti happy kwani naye alikuwa ni mda ulipita bila ya kuonana naye.
Ah! Kwani mwili kuwa safi mpaka uwe na raha?
Si ndiyo, kama vile wewe mtoto wa kishua,” alisema hans
Kule alipokuwa, baba happy akili za kawaida zilimrejea akaona tukio alilotaka kulifanya na binti yake huyo lilikuwa kubwa kuliko kawaida naye alibaki akimshukuru munu japo aliona ni heri kumwacha hans japo amkate kiu mwanae...
Huyu binti lazima aolewe aondoke nyumbani, Kama ni kuendelea na chuo atakwenda kuendelea hukohuko kwa mume wake.
Baba alizidi kuongea mwenyewe huku akifikilia yale yaliopita akiwa na mwanae happy
Haiwezekani hata kidogo alale na mimi baba yake. Je akipata mimba? tena apate yangu si itakuwa balaa hiliiii……!,
Halafu naona dalili ya uwezekano wa nyumba yangu kuwa danguro. Ina maana happy amefikia mahali anaingiza mwanaume huku mimi baba mtu naona? Daaaaah! Mtoto anataka kunishinda tabia au ni kwa kile nilichofanya naye kaona afanye ili kuniona nasema vipi kwa mama yake.
Aliwaza sana baba happy lakini alipofikia mahali kwamba yeye ndiye aliruhusu kijana hans  aingie alijiona ndiye chanzo cha nyumba yake kuwa danguro kama alivyofikiria apo awali na kuacha kumlaumu mwanae happy, kwani ange kata wala happy asinge fanya kama alivyo fanya.
Oke, sawa lakini hii si sawasawa, lazima happyafanye kitu fulani.
.
. 
Mama alichukua mda sana kurudi nyumbani ndipo alipompa nafasi nzuri binti yake kuitumia kwa kijana hans, basi walipo maliza hans pamoja na happy kufanya yao happy alitoka na kumsindikiza kijana hans na kumwambia
“jaribu kubadilika mpenzi wangu”
“sawa lakini nimekuambia mimi mtu wa kazi nikionekana kuwa niko tofati na kile nifanyacho watu wataniona vipi mimi” kijana hans aliongea na ndipo binti happy kukubaliana naye japo kuwa anampenda ilimbidi afanye vile.
“sawa hans usisahau kesho basi”
“wala usiofu wewe tena”
Usiku wa siku hiyo, baba happ aliona si vizuri kufumbia jambo lile naye alifikilia sana lakini ilimbidi alimwamsha mkewe ambaye alishauchapa usingizi vya kutosha na alitumia dakika kazaa kwani mama happy alikuwa hoi kwa mizunguko ya siku hiyo huku alichelewa kue=rudi nyumbani,
“mama happy amka…. Amka… amka… amkaaaaaa…!”
“mbona usiku mume wanguu kuna nini tena”
“kunakitu nataka kukuambia mke wangu”
Mama happy alishituka “mmmmmmh kitu gani tena?”
Mimi nina wazo moja mke wangu.
Lipi hilo baba Linda?
“Ni kuhusu binti yetu happy. Kwa nini tusimtafutie mwanaume wa kumuoa?”
Mh! Baba happy hayo mawazo umeyatoa wapi na yamekujaje ghafla?
“Unajua nimebaini ameshakua sana mtoto wetu. anahitaji uhuru kuliko kuwa hapa nyumbani, tunambana atakuja kufanya mambo ya ajabu siku moja.”
Mambo ya ajabu kama yapi mumewangu?
We unadhani yule kijana hans siku ile aliingizwa na happy au na johari?
“johari mume wangu. Hilo mbona liko wazi.”

Hapana, aliingizwa na happy. Mimi nimefuatilia sana. johari hahusiki kwa lolote lile”
“Wewe umejuaje?”
We tambua hilo.Baba alipoona mambo ya mama yanaanza kumzidia naye alijibu kwa mkato tu.
Walizungumza sana mwisho wakafikia kwamba, happy asitafutiwe mwanaume bali apelekwe kusoma mbali na maeneo ya nyumbani kwao. Nao walilala na kulipo kucha wala hilo swala hawakumsirikisha kwanza mwanao happy
.
.
Zilipita siku saba, siku hiyo happy alijisikia hamu ya kukutana na mwanaume baada ya kuangalia video ya X  kama alivyo kuwa kazoea pindi akiwa chumbani peke yake kama kawaida yake. Basi happy mashetani yake aliendelea kumpanda ndani humo naye huku akiwaza atampata wapi kijana hans, lakini alijua hans yuko kwenye miangaiko yake licha yake kuwazaa sana na kupata jibu.
Baba yake alikuwepo sebuleni lakini mama yake na johari walikwenda sokoni kutafuta vitu vya kuwa Sukuma siku mbili tatu…, ndipo happy alipotoka nje ya chumba chake alimwona baba yake akiwa sebuleni amekaa akiangalia TV naye kurudi chumbani mwake.
Sijui nikamvae baba? alijiuliza mara mbili mbili huku akikumbuka kipindi cha nyuma.
Lakini kwa hali ya siku ile sidhani kama baba atanielewa, maana alionekana kujutia. Halafu siku hizi kama hapendi utani sana na mimi, si kama zamani,aliwaza sana happy akiwa anajishika sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo kidole kimoja kukiweka mdomoni huku macho yamemlegea na hisia za mwili wake zilikuwa zikienda mbio mno...
“hans angekuwa ana simu ningempigia aje sasa hivi. Au itabidi nimnunulie simu ndogo hata ya tochi ili tuwe tunawasiliana, maana hii sasa itakuwa najiumiza mwenyeweee tu, sijui nifanye nini mimi”
Happy akiwa amezidiwa na joto la mahaba alitoka kitandani akafungua upande mmoja wa kanga maana akiwa kitandani alikuwa kama alivyozaliwa.
Alijitupia kanga kwa kuipitishia katikati ya maeneo ya juu ya kifua chake, ndani hakuwa na ,kufuli,wala ,mlango,. Akatoka chumbani. Alipita sebuleni mbele ya baba yake bila kujali huku wowowo likizunguka kwa namna yake huku akimwacha baba yake macho yakiwa yana tamani...
Da daa daaa dadadada, baba happy alisemea moyoni wakati happy anapita kwenda nje...
Unakwenda wapi wewe?
Nje baba.”
Baba alishangaaa sana kumwona mwanae akiwa kwenye vazi lile, naye ilimbidi awe mkali kidogo
Nje una amaana unatoka getini?
Ndiyo baba.
Hivyo ulivyovaa?
Kwani baba nimevaaje? Nafungua tu geti mara moja kuna kitu naangalia.
Haya sawa.
Happy alifurai kimoyo moyo huku akipiga hatua za kutoka nje, lakini baba huku alizidi kumsindikiza kwa macho mpaka alipotoka maeneo ya sebuleni.
.
Happy alitoka, wakati anatembea kuelekea getini sasa, baba yake alisimama na kumchungulia kwa kupitia dirisha kubwa la sebuleni...
Mbingili...mbingili...mbingili, daaaaaaaaah!” alisema baba mtu akiigiza wowowo la binti yake linavyocheza kwa mtingishiko mkubwa ndani ya kanga moja.
“Kudadeki, huyu mtoto kaumbika haswa hata mama yake haoni ndani, ni balaa kwa kweli,” baba aliongea kimoyomoyo na kumeza funda la mate huku akizidi kumwangalia mwanaeee happy.
Happy alifungua geti na kusimama nje kidogo na geti laho huku akitizama kama atatokea kijana hans. Hata yeye mwenyewe alijua alivyovaa ni hasara sana. Baadhi ya vijana wa mtaani walikuwa wakipita na kumwona happy pale nje ya nhyumba yao walimsalimia na utani juu huku wengi wao walimtolea mate binti happy huku yeye akingoja yule tu atakaye onesha ujasiri wa kurusha karata kwake ndio atakaye mkata kiu kwa siku hiyoooo...
Wakati alipokuwa kasimama akimwangalia hans na kukosa matumaini ya kumwona alimwona kijana mmoja kwa mbali akiwa anakuja maeneo ya nyumba yao, kwani watu wengi walikuwa wamezoea njia ile kupita basin aye happy alimwona kijana yule tena mtanashati hatariii. Basi naye kijana yule alizidi kukata hatua mapaka alipofika karibu naye kumwona happy alivyokuwa macho yalimtoka na kushindwa kuvumilia naye alijitoa ufahamu.
“Ah! happy nakuona upo bomba,” alisema huku akitoa mate kwa mtoko alikuwa kavaa binti.
“Umeona ee?” alisema happy huku akicheka cheka...
“Da! Unatupa wakati mgumu sana wenzako.” Frank aliongeaa huku akiangalia wowooo ya binti happy hapo ndipo alipo fikiria mbali mnooooo...
“Wakati mgumu kivipi?”
“We huoni mambo hayo...twende nyumbani kwetu basi happy hapo mtaaa wa pili...?
“Kufanya nini?”
“Aaah! happy si kuongea tu.”
“Akha!” alisita binti happy na kumwangalia Frank
“We unataka uje kufanya nini?” hakutaka kukata tamaaa kijana Frank aliendeleza harakati……
“Sitaki bwana.”
“Happy acha ujeuri...unadhani mimi si rijali nini?”
Hapo walikuwa wakijibishana huku Frank amesimama pembezoni kidogo lakini walikuwa wakielewana .
“Nitajuaje?” alisema happy kwa sauti nyembamba Zaidi huku akitamani mno kwenda. Ukweli ni kwamba, alishakuwa hoi hata kwa kumwona Frank tu alivyovaa na sehemu kubwa ya mikono kuwa wazi na akionekana kuwa na nguvu...
“Huwezi kujua happy, ndiyo maana nikasema twende nyumbani...”
“Haya nakuja,” happy alisema huku akicheka chekaa mwenyeweeeee na kuwaza mengi papo hapo. Akiwa anaendelea kucheka pale alizidi kuvutiwa na kupenda waende wote lakini huku nyuma akiwaza baba yake alimwambia kuwa yuko nje kidogo anarudiiii, ndipo happy alipo mwomba kijana Frank……….
.
JE NI NINI? HAPPY ALIMWOMBA FRANK
USIKOSE IJUMAAA HAPA HAPA KUNDINI NA MSIMULIAJI WAKO HANS



Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments:

  1. Huu ni lazima ushuhudia usomaji na kila mtu, nipo hapa kuruhusu ulimwengu wote kujua kuhusu mtu aliyeokoa uhusiano wangu na mtu huyu mkuu anaitwa Dr IZOYA. Hakika alifanya kazi nzuri kwangu kwa kumrudisha mpenzi wangu wa zamani ambaye aliniacha na kuahidi kamwe kurudi kwangu tena. Kwa hili, nimekuja kutambua kuwa kutoa maelezo ya Dk IZOYA kwa ulimwengu utafanya mengi mazuri kwa wale walio na nyumba zilizovunja au uhusiano kwa ajili yake ili kukusaidia kurekebisha uhusiano huo uliovunjika au ndoa yako. Unaweza kumfikia kupitia barua pepe yake: drizayaomosolution@gmail.com. Kuwasiliana naye na kuona jinsi tatizo lako litatatuliwa ndani ya 24hours. Pia mtaalamu katika mambo yafuatayo ...
    (1) Unataka kurudi nyuma yako.
    (2) Unataka kukuzwa katika ofisi yako.
    (3) Unataka wanaume / wanawake kukufuate.
    (4) Unataka mtoto.
    (5) Wewe ni mjasiriamali na unataka kushinda mikataba
    (6) Unataka mume wako awe wako milele
    (7) Unahitaji msaada wa kiroho.
    (8) Umeshambuliwa na unataka kupona fedha zilizopotea.
    (9) Weka talaka
    (10) Kualika kwa mila ya fedha
    (11) Chagua uchaguzi

    ReplyDelete