Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

storynzuri UTAMU WA TUNDA sehemu ya nne





.
.
UTAMU WA TUNDA SEHEMU YA NNE (4)
MTUNZI INSTAGRAM @hanscharlz @storynzuri
                        whtsapp 0652486818
.
.
Ilipoishia Mama aliona ni vyema kwenda kumuuliza Johari na kutoka kitandani na kumfata Johari.
“Johari! Johari!” mama aliita
“abeee mama” aliitika Johari na kuelekea alipo mama
.
.
.
"mama abee" johari aliitika huku akiwa anatetemeka huku akijua amesha mwaga mboka kwenye kazi yake
"nimekuita hata kuna kitu kimoja nataka uniambie ukweli" mama alionekana kuwa na jaziba kali sana huku akimfanya johari kuzidi kuogopa 
"kitu gani mama" aliuliza johari huku akiwa anatetemeka 
"ni kuhusu happy leo mbona hayuko sawa kuna nini eti waweza niambia nilipo toka nae alitoka au" 
"hapana alikuwa nyumbani tu mda wote nae huwa hatoki mara kwa mara na mda mwingi huwa analala tu mama" johari alimtetea happy huku akiwa anajua fika kila kitu kilichokuwa kikiendelea,
baba happy alitoka bafuni na alipofika chumbani hakumkuta mkewe nae kutoka chumbani kwenda kumuangalia sebureni nae alipofika tu, sebureni alimuona mama happy akimuoji maswali johari nae alikatisha haraka 
"mama happy mbona umenitoroka chumbani? alimuuliza mama happy
"mmmmmh mume nakuja sasa hivi wala usiwe na shaka niko na mpa maelekezo tu hapa johari" mama happy alijiongeza na ndipo alipo mwambia johari 
"okay sawa kaendelee na shuguri zako ukimaliza funga mlango vizuri sawa mimi naenda kupumzika"
"sawa mama" aliitikia johari huku akiwa kainamisha kichwa.
siku ilikata kwa johari kuingia chumbani mwake huku akihakikisha kuwa kila kitu kiko sawa kama wajibu wa mfanyakazi, 
.
.
.
Kulikucha asubui na mapema huku happy akiwa mtu wa kwanza kuamka na kwenda nje kufagia, basi alianza kufagia huku nia na lengo laki kumuona tu kijana Hans akifata vyakula walivyokuwa wamemuweka, johari nae aliamka na kufanya kazi za ndani huku akiwaandalia chakula mama pamoja na baba happy mezani nao kunywa chai na kutoka kwenda  makazini woe wawili nao kupita na kumwona mwanao akifanya usafi nje
"baba na mama shikamoni" happy aliwasalimia wazazi wake
nao wote kwa pamoja waliitikia salamu ya mwaanao nao kupandisha vioo na kutokomea na gari huku mbinti yao happy kubaki akiangalia gari mpaka kuishia, basi hazikupita dakika kwa mbali happy alimuona hans akija nae alimgoja mpaka afike, nae alipofika
"vipi happy" hans alimpa hai happy
"poa" happy aalijibu
"nambye za toka jana"
"nzuri tu hans japo uliufanya usiku wangu kukuwaza tu wewe" happy alijibu na kuweka hisia zake kwa kijana hans
"mmmh kweli vipi mama yako alijua kuwa nilikuwepo maana kidogo tu anione nilichomoka hatariiiii"
"wala hata na sasa hivi umepishana nao wakielekea makazini wote" happy alianza kutengeneza magingira ya kumvuta kijana waingie ndani
"okay sawa" alijibu hans
ndipo happy alipo mshika mkono na kuzama nae mpaka chumbani kwake na walipo fika tu happy hakutaka kucheleweshwa maana alikuwa ana hamu sana na ilimfanya kuwaza mapenzi tu mda wote, nae kuwasha TV huku akiweka CD yenye mambo ya kikubwa huku na kule mara hans kusangaaa kuona vile alishika macho yake huku akiukumbuka mfuko wake alipo uacha nae alishangaaa sana kumuona happy akimvuta na kudondoka nae kitadani.
.
.
.
johari aliona tukio zima la kijana kuingia nae alisogea na alisimama mlangoni kwa happy akisikiliza kwa umakini maneno ya kutokea ndani ya chumba cha happy. Alijua aliyepo chumbani ni happy na hans kwani aliuona mfuko wake mchafu wa vyakula, tena juu ya meza jambo lililomshangaza na kumshitua sana...
“Hivi kweli da happy anaweza kumwingiza mtu mchafu kama hans chumbani mwake” Ina maana kumbe alipokuwa akisema anamchukia ile ni danganya toto tu, alisema moyoni Johari huku akikumba ya jana pia.
“Ooo! Jamani wewe...ooo! Aaa! Enhe...”  ni maneno yaliyosikika na Johari kutoka kinywani kwa happy baada ya kuanza raundi ya pili na hans...
“Lo! Ndiyo maana alinitaka mimi jana daaaaah!, inaonekana alikuwa ameshikikwa sana,? alisema Johari maneno hayo.
Kwa mbali hata yeye alianza kuhisi mwili ukimnyevuanyevua huku akijishika sehemu mbalimbali za mwili wake na wakati mwingine akisema maneno yenye kuashiria kwamba alikuwa moto huku damu ikichemka kwa hisiaza kimapenzi  kwa sana!
“Daa! Loo! Yes...weweee!”
“Mmh! Mm! Mmm...mm!”
Maneno hayo ya wawili hao kule chumbani kati ya hansna happy yalizidi kumchanganya akili johari, akauegemea mlango sasa, nusura akishike kitasa kwa mara ya pili tena na kufungua ili azame ndani na kuungana nao katika raha bila karaha!
Kilio cha happy na kelele kwamba sasa anafika kwenye lango la goli na kujiandaa kwa kuachia shuti la nguvu ilimharibu akili johari, akaona cha kufia! Alisukuma mlango, akazama ndani bila aibu wala soni achilia mbali haya!, alizungumza mfanyakazi kwa kuona hali imekuwa ngumu kwake
“Dada happy na mimi sikubali, kwa nini nipate tabu na raha ipo” alizungumza Johari huku akitua kitandani. Lakini happy na mgeni wake walishtuka kwa ujio wa jphari na kuwaondoa kwenye hari ya kimahaba na kuingia hofu kwa kijana hans huku akiwaza sana kuwa binti Johari nae kajua ...
“Ha! We Johari kulikoni na ndiyo nini hivyo, Mbona huna adabu,” alisema happy akiwa amemsukuma kijana yule na kukimbilia shuka akajifunika sehemu za kukatisha kifua chake ili kujiziba matiti yake,.
“Sasa dada unadhani mimi ningefanyaje sasa? Hali yangu mbaya!” aliongea huku akiwa ajielewi binti johari
“Hali gani?” aliuliza happy
“Si nilikuja mlangoni nikawasikia.” Alijibu Johari kwa huruma na akiwa hoi mahari aalipokuwa kaengemea mlangu wa chumba cha happy
“Wewe jana si ulikuwa hutaki, sasa nini tena?” alimjibu tena happy
Johari aliingiwa na pepo la ngono wakati huo kwani ilionekana kuwa akuwahi kufanya mapenzi md asana
“Nilikuwa sitaki saa zile, sasa nataka,” Johari alimjibu happy huku akimtizama hans  bila woga...
“Oya! Ungejikata kwanza nimalizane na dada yako hapa” alisema hans kumwambia Johari kwa Sauti yake ilionesha kama asiyetaka kuzinguliwa na mtu yoyote kwenye mambo yale nae alionesha uanaume wake .

               NINI KITAENDELEA USIKOSE INAYO KUJA HAPA HAPA 
Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments: