Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

storynzuri UTAMU WA TUNDA sehemu ya tatu

.
.
.
UTAMU WA TUNDA SEHEMU YA TATU (3)

.
MTUNZI INSTAGRAM @hanscharlz @storynzuri 
.
.
Ilipoishia “Ndiyo anti na hicho chakula nacho chukua huwa napeleka hukooo” alijibu tena hans kumuelewesha happy
“Unaishi na nani?”
Kabla hans hajajibu swali hilo aliulizia uliko mfuko wake wenye mazaga zaga yake mwenyeweeee.
“Ule mfuko wangu uko wapi?”
.
.            
“Sebuleni, usijali hans, utaukuta tu.?
“ mmmmmmh happy ujue ni Hela zile.”
“Enhe, niambie sasa hans, Eti ...unaishi na nani hapo ulipoooo?”
“Happy nimekwisha kuambia awali niko na washikaji.” Hans alijibu kwa jaziba kaliiiii
“mmmmmmh washikaji ndiyo wakina nani” happy aliuliza baada ya kusikia neon geni kwake
“marafiki nimetumia neno la kisera hapooo”
“okay sawa lakini hans mbona uko kwenya haliiii hiiii” happy aliendeleea kumuuliza kijana hans maswaliiii
“Aaaaaaaaaa! Maswali gani sasa hayo happy” alionekana kukasilika tena lakini mbele ya mtoto wa kike sikuzote wanaume zaifu ndicho alichoonesha kijana hans
Kijana mzuri halafu unajiweka hivyo bwana, si vizuri unajikosea sana hans . Twende ukaoge bafuni kwangu,  alisema happy huku maneno yale aliokwisha kutoka kuongea binti yaliyoonekana kumkasirisha hans na kutaka kuondoka zake kurudi kijiweniiiii kuendeleza mishe mishe...
“Dada mimi naondoka .” hans aliaga huku akiwa kainamisha kichwa chiniiii
“kwenda wapi tena wakati nimekuomba twende, au umegailiiii hans”
“mimi naondoka” alirudia tena kijana kutamka maneno mafupi tu
“Aaah! Hans, Usiondoke bwana, mimi bado nakuhitaji,” alisema happy  huku akimshikashika kijana huyo sehemu mbalimbali za mwili hali iliyomfanya asisimke kwa mara ya pili kijana hans ...
“Unajua nini happy, midamida, kwani ndio kwanza nataka kuingia mzigoni na jua hili linakimbia sana.”
 .
.
Happy alionekana kumuelewa sana kijana hans huku akutamani kumwachia aende zake nae kuanza kufanya mipango ya kuwa nae akribi sana kwani alionekana kwake kuwa ana vitu adimu mnooooo
“Kwani shida yako nini hasa hans”
“Nipo mzigoni na saka mavumba mwenzio usinione hivi.” Alikazia hans
“Sasa unatafuta pesa, au?” aliuliza happy swali la kizushiiii uku likiwa limemuacha mdomo wazi kijana hans, nae kujibu
“Ndiyo umejuaje happy.” Alibaki akitabasamu hans
“Mimi nitakupa pesa utakazo hans, we kaa tu name hapa wala usiwe na hofu yoyote”
Happy ilim’bidi ajikakamue kumwambia maneno mazuri kwani aliona kuwa anamfaaa sana kwani hakuwai kupata rahaa kama aliotoka kuipata, basi nae kijana hans alibaki akishangaaa sana kwa kile kitendo cha kunyanyua kinywa chake binti na kutamkaa kuhusu pesaaa kwani pesa alikuwa akiitafuta usiku na mchana lakini haikukizi mahitaji yake,
“mmmmmmmh! Kweli happy” aliongea kijana hans
“yaaaah! Nitakupatia wala usijali” alijibu binti happy
Happy akulizika na kile alicho pata kwa wakati ule, tena ilimbidi aweke amsha amsha kwa kijana hans kumpandisha mizimi ambayo ilikuwa imekwisha lala ili apate kwa mara nyingine, nae happy alifanya hicho kwa kumpapasa papasaaa hans huku akijitaidi kumuweka kwenye mazingira mazuri ambayo hans hato weza kuchomokaaa.
“Happy nini tena mimi nataka kuwai mzigoni jua hili la zama” aliongea kijana huku akitoa mate kwa kile alichokuwa akifanya binti happy
“mmmmmmh hans nawe kiduchu tu mwenzio sijatosheka” aliongea huku akijing’ata ng’ata huku akionesha wazi anaitaji mno.
Hans nae alishindwa kuvumilia hisia zake kwani pindi alipo kuwa akijitahidi kuzuia hisia zake alkini binti happy alionekana kuwa kaziteka kwa kiasi kikubwaaaaa,
Johari mahari alipokuwa kajificha kuogopa ya dada yake huku mapigo ya moyo wake yalikuwa yakienda mbio mno kwa sipidi alizotumia wakati huo ilimbidi nae achomoke kwa kuona ukimya ukiwa umetawara pande zote na huku akichungulia kuona nini kinachoendelea lakini hakuweza kuona kitu nae kutoka mahari pale.
Alizidi kunyata nyatia mpaka sebuleni na ndipo kusikia sauti ya happy ikisikika kwa mbali nae aliogopa, na kujificha lakini kadri alivyokuwa akisikia sauti hiyooo ilikuwa ni yenye furaha na mahaba ndani yake nae kujiuliza,
“mmmmmmmmh kuna mtu kaingia au masikio yangu” alijisemea mwenyewe akiwa kajificha Johari
.
.
Nae ilimbidi atoke mahari pale na kuifata sauti ile kuona ikitokea kwenye mlango wa happy, na ndipo kusogelea mlango na kuanza kuisikiliza kwa umakini sauti ile
“oooooooshi yaaaaaaaa!” sauti zilisikika kutoka chumbani
Hans alianza kumshugurulikia tena binti happy huku nae fahamu zake zikiwa hazipo tena kwa kuhofia kukutwa na wazai wake,
“Oyeeeeeea”
Hans alizidi kumchezeshea binti kichapo cha nguvu huku binti akifurahia kwa sauti nzuri na yenye mahaba ya kutosha ambayo pia dada wa kazi Johari alipokuwa kasimama mlangoni alizidi kusikiliza huku nae kizikidi kupando moli wake lakini hakuwa na namna yoyote ile mpaka hapooo alipo msikia kijana hans akisema na happy kutaka kuondoka nae kutimuka kama akuwa mahari pale
“mimi niondoke happy nisije kutwa na mama yako” aliomba kuondoka hans
“mmmmmmmmh unaelekea wapi sasa hans” aliuliza binti kappy
“kijiweni” alijibu hans
“kijiweniiiii!!!!”
“yaaaaah”
Wakati akitaka kutoka kijana hans mara ilisikika honi ya gariii ikiita nje, happy alijua ni wazazi wake nae hans kumuuliza
“ni nani huyooooo”
Happy alibaki mdomo wazi ajui nini afanyeeee kwa wakati huo nae kijana aliuliza
“Happy nijibu basi mbona uko kmya “
“ni mama na baba hans”
“eeeeeheeeee!” alishituka hans na kuwaza kutaka kupaaaa apoteee mahari hapo
“nifate mimi” alimwambia kijana hans
Basi nae alimfata na kumpitisha mlango wa nyuma na kusahau mfuko wake na kutimuka, Johari alifungua geti na gari kuingia ndani nae kupokea mizigo huku happy akiwa ajiamini amimi kwa kile kitendo cha kufanikiwa kumtorosha kijana hans nae kujitupia kwenye kitanda chake huku akikumbuka kuyabadilisha mashuka yale kwani yalikuwa shagara bagaraaaaaa huku yakiwa onyoo ayatamaniki kwa mchezo aliokwisha kuufanya kijana hans.
Mama ndiye aliye kuwa wa kwanza kuingia ndani huku akifatiwa na baba happy, nae moja kwa moja mpaka chumbani kwa happy,
“Happy!!!!!!” mama alimwita mwanae
“Yes mama” aliitika happy
“Mbona umelala mpaka saizi” aliuliza mama huku akiingia mpaka ndani
 “Uchovu tu mama” alijibu happy
.
.
Basi mama aliangalia sana huku na kumwambia mwanae
“hauko sawa happy kuna nini” mama aliuliza tena
“hamna kitu mama uchovu tu”
Mama aliondoka na kwenda chumbani kwake lakini alikuwa kahisi kitu kwa mwanae na ilimbidi akapumzike huku akitaka kujua na ndipo kuwaza “itabidi muuulize tu Johari”, mama alipumzika kitandani nae baba kuingia ndani pia na kumkuta mkewe akiwa kwenye mawazo
“vipi mama umetoka sipidi kwenye gari ukiwai kuoga vipi mbona umefika na kulala”
“mmmmmh kuna kitu kimenichanganya akili”
“kipi tena mama wa toto” aliuliza baba happy
“si happy” mama alijibu
“nimemkuta kwenye hali tofauti mnoooo” alijibu mama happy
Hali gani tena mama” aliendelea kuuliza baba happy
“nitakapo pata ufumbuzi wa hilo swala nitakujuza mume wangu”
“sawa” baba happy aliitikia kwa kinyonge na kuingia bafuni kuoga.
Mama aliona ni vyema kwenda kumuuliza Johari na kutoka kitandani na kumfata Johari.
“Johari! Johari!” mama aliita
“abeee mama” aliitika Johari na kuelekea alipo mama
.
.
NINI KITAENDELEA MAMA ALIPATA JIBU AU LAAAHA!!
.
USIKOSE INAYOFATA HAPA HAPA KUNDINI 


Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment