storynzuri sehemu ya hamsini na mbili shemeji Ingiza pole pole
.
.
Sehemu ya hamsini na mbili
Mtunzi INSTAGRAM @hanscharlz @storynzuri
.
ilipoishia "Basi nilipo sikia hivyo nami moyoni nilikuwa mwingi wa furaha na mwenye shahuku ya kuruhusiwa huku pili nikiwaza atakapo toka je nitampeleka kwake au hotelini lakini laaaaha! sitofanya hivyo kwani itanilazimu kupajua kwake tu? nilijiuliza na kujijibu mwenyewe."
.
Nilichukua kama dakika kazaa maeneo hayo na kuondoka maeneo ya hospital na kuelekea kwenda kumtafutia Erick chakula nje kidogo maeneo kwani daktali aliniambia chakula anacho paswa kula ni cha kupondwa pondwa kutokana na hali alionayoooo alikuwa hawezi kumengenya chakula mwenyeweee. basi nami nilifanya kama maelekezo ya dokital aliyonipa wakati huoo lakini nilipokuwa naelekea kutafuta chakula hicho nilikuwa mwingi wa furaha sana kwa hali aliokuwa nayo Erick na nilifanikiwa kuata chakula kilichokuwa kikimfaaa Erick huku nikiwaza na matunda kidogo nimchukulie na nilifanikiwa kupata vitu hivyo na kurudi hospitali na nilipofika huku nikiwa na chakula kwenye mfuko basi ilinibidi nisogeee kwa ukaribu mahari alipokuwa amelazwaaa Erick na nilipofikaa alionekana ufahamu umeanza kumia kwa kiasi chake japokuwa hakuwa hazikuwa zote lakini kwa hatua aliokuwa kafikia mpaka kunifamu mimi haikuwa mategemeo yangu. sikukaa sana mahari alipokuwa na nilisika sauti huku ikitokea kwa Erick
"Isaaaaaaaabelaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa umekuja?
aliongea kidogo na kupoteza tena sauti huku nami niliitikia huku nikitoa tabasamu mbele ya wagonjwa waliokuwemooo hodini humo huku nikionekana kuwa video ya muda kwani kila mgonjwa alinitupia macho kwangu na nilipojikuta kuwa wote wakiniangalia nami nilitulia.
Ndipo nilipoona busara sana kufungua chakula nilichokuwa nimekileta ili Erick nipate kumlisha chakula nilichokuwa nimekiandaaa kwa mujibu wa daktali. Nilimlisha lakini ilionekana kuwa tofauti sana kwa kitendo cha kukataa chakula huku akiwa hana kitu kwenye tumbo lake na ilikuwa vigumu mnooo huku pindi fahamu yake
ikiwa bado haijakaa vizuri. lakini ilinibidi tu nienedelee hivyo hivyo kumpa chakula huku akitema kingine mpaka hapo nilipo hakikisha kuwa kile nilicho mlisha na akikila kinaweza kujenga afya yake kidogo kidogo.
nilimaliza zoezi hilo na kumwacha mda kidogo apumzike lakini lengo langu lilikuwa ni pindi atakapo pata usingizi nami niweze kuchomoka kwenda hotelini. Na yalipita masaa machache nami kutupa macho kwa Erick na kumwona akiwa kapata usingizi huku ukimwendea sawia na kulala hapo nami ndipo nilipo pata nafasi na kuondoka maeneo ya hospital kuelekea hotelini napo ishi lakini wakati nikielekea nyumbaani (hotelini) njiani nilishituswa sana kusikia sauti huku ikiambatana na sauti ya jina langu.
"isabela isabelaaaaa! isabelaaaaaaa! isabela nisubilie hapo hapo"
niligeuka nyuma kwa hofu kali mnooo ilioambatana na woga mwingi kwani maeneo hayo hakukua anaye nijua kiukweli moyo ulishituka paaaaha! paaaahaaaa! pahaaaaa! huku nikijiuliza ni nani?. lakini yote hayo niliongea huku nikitizama vizuri ni nani anaye niita. Niliangaza sana pande zote na gafra mtu akanishika kwa nyuma huku akiniambia.
"Isabela rudi nyumbani"
Niligeuka kwa hofu ya kuzani mwizi huku nikihofia mwili wangu kudhurika na mambo mabaya wakati huo na nilipo geuka tu na kuona sura ya shemeji Erinest na kukumbuka swali aliloniuliza na ndipo nilipochukua jukumu la kumjibu.
"Umepajuaje huku na umetokea wapi?"
"Ni storia ndefu isabela lakini nakuomba sana urudi nyumbani" aliongea shem Erinest
"Siwezi kurudi shem wangu kwa maana ya kuwa dada amina mimi namjua vizuri kwa ukorofi wake siweziiiiiiiii!!!!!!! shem"
"Tutaenda kukaaa chini pamoja tuyamalize isabela"
Ndipo nilipoona akiendelea kuomba nirudi nyumbani huku akitaka kuteka tena hisia zangu kwani nilitikea sana kumpenda kwa kile alichokuwa akinipatia kwa kipindi cha nyumaa. Nilikaa kwa mda kidogo na ndipo niliponyanyua kinywa changu na kumwambia "nitarudi ili kumlizisha tu shem Erinest. Nae ndipo kusikia hivyo aliniomba namba ya simu japo kwa mawasiliano.
Nami sikutaka kumnyima ndipo nilipo mpatia namba yangu na kumwomba
"Naomba niwahi mara moja mahari mfani naitajika kwa sasa namba zangu hizo napatikana mda wote hata sasa"
Nilipokwisha kusema hayo alibaki akinitizama huku nami nikiwa ni mtu mwenye machale basi sikutaka kwenda moja kwa moja hotelini kwani hayo ndio yalikuwa maeneo ninapo ishi. Basi nilikwenda mpaka mtaa wa pili ili kumpoteza uelekeo wangu ili ajue ninako kwenda ni mbali na hapo basi nilipofika mtaa wa pili nilingoja mdaka msaa yapite huku nikiakikisha kuwa shem Erinest kaondoka maeneo hayoooo. kwani shem Erinest angepajua tu angeanza usumbufu wa kila siku kunifata fata.
Nae alipoona nimepotea aliendelea na safari zake huku tukiwa wote tumeachana vizuri na kwa kuelewana. Yalifika majira ya jioni mda ya kuona wagongwa hospitalini nilishitushwa na nilipo mwomba mtu kuniangalizia mda huku zikiwa zimebaki dakika chache tu kutimia basi nami nilichomoka na kutowaza tena kwenda hotelini kwani mda ulikuwa umeshanitupa mkono na huku nikitazama mda nachanganyikiwa basi nilienda moja kwa moja mpaka hospital lakini cha kufurahisha niliwahi mpaka mda wa kuona wagonjwa ulikuwa bado ukiesabu tu. Na nilikuwa makini sana pindi niingiapo na kutoka kwani sikupenda sana endapo shem Erinest akiniona nami nilikuwa makini mnooo na kuhakikisha hanioni kwani nilihisi anataka kupajua mahari napo ishi tu si vingine.
JE? ERINEST ATAKUWA ALIMFATILIA ISABELA AU LAHAAA?
.
USIKOSE SEHEMU YA HAMSINI NA TATU KUJUA KILICHOTOKEA.
KWA KWA STORY NYINGINEZO WHATSAAP ME +255 (0) 652486818
.............................S T A R...B O Y.............................
0 comments:
Post a Comment