Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

storynzuri sehemu ya arobaini na mbili shemeji ingiza pole pole

.
.
.

Sehemu ya arobaini na mbili
Mtunzi IG @hanscharlz @storynzuri .
.

Ilipoishia "Nae alijibu huku akitoa alama ya mshangao "
.
"Mmmmmmmh! Kweli basi sawa kesho itabidi nifanye juhudi hizo na nitakutafuta au vipi isabelaaaa? "
"sawa na tena utakuwa umefanya jambo la busara mno kufanya kesho maana siunajua mda huuu "
Nilimjibu hivyo nae aliongea maneno machache na kukata simu basi nami huku nikiwaza ya kesho juuu ya kuonana nae kwani sikutaka kukaa sana kwenye hifadhi hilo kwani pesa nilikuwa nao hazikutosheleza maitaji yangu kwa kipindi kirefu sana kwani pesa zilikuwa chache mno na ndipo nilipo zima taaa na kulala na nililala usingizi mzito na huku nikiwa mwingi wa mawazo katikati ya usingizi niliota ndoto ya ajabu na yenye kutishaaa sana huku ikionesha kwa kina sana tafsiri yake kuwa maisha yangu yanayo kuja mbele ya safari yangu ya maisha ni yenye tabu kweli na huku nikiendelea kuota ndoto hiyo nilishituka sanaaaa kutoka usingizini na haraka haraka kuwasha taaa na.nikuwa nikitoa pumzi kwa kasi sana niliogopa sana na kuifikiria sana ndoto hiyo basi nilipo maliza na kutulia kidogo na.ilinibidi nitoke kitandani ili niingie tena bafuni japo nijimwagie maji ili nipate kurudi kwenye hali ya kawaida kwani pindi niliposhituka niliishiwa nguvu mnooo huku akili ikionekana kuchoka kwa wingi wa mawazo huku ndoto nayo ikichangia. Basi nilifanta hivyo kuingia bafuni na kujimwagia maji kiasi na kurudi tena kitandani kupata japo usingizi wa kumalizia siku hiyo. Kulikucha asubui ilionekana kuwa mpya machoni mwangu kwani matazamio yangu yaliona ni siku itakayo badilisha fikira na mtazamo wangu wa maisha lakini laaaaaaa! sikujipa asilimia zote juuu ya jambo hilo basi nilipata chai ya asubui kutoka kwa wahudumu wa pale lakini wakati nikiendelea na tukio la kunywa chai gafra simu iliita na kuona namba ni ile ile ya kaka aliyenipa lifti basi nami nilipokea kwa nidhamu nzuri sana.
"halllloooooooo! za asubui?"
"nzuri lakini vipi za toka jana "
"Mmmmmmh! Kwangu ziko poa sana hofu ilikuwa kwako lakini sorry vipi kuhusu jana tulivyo pangaa kuhusu leo kuonana na wewe maana ni na hamu kweli jaapo nikutane na ww?"
Kijana huyo alinifanya niwe na wenge pindi alipo niambia anataka kuniona!

Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment