Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

storynzuri sehemu ya therasini na tano shemeji ingiza pole pole

.
.

Sehemu ya therasini na tano 
Mtunzi IG @hanscharlz @storynzuri.
.
Iliopita "lazima nikushirikishe kwa hili nalo kwenda kukuambia "
.
Naomba sana ulitunzeeee na liwe siri sawa mdogo wangu.
Nilishituka mno alipo niuliza hivyo nami kwa sauti ya uwoga na huku nikionesha wasiwasi nilimjibu kwa kusita huku nikiofia kuwa kajua kila kitu.
"sawa dada yangu niamini nami nitatunza chochote uniambiachooo"
Nae aliendelea pindi pale nilipomjibu na kumruhusu kuwa nitatunza icho kitu.
"Haaaaah sawa itakuwa vizuri sana endapo utakuwa msiri na kitu nacho kwenda kukuambia ni kuhusu jana usiku mdogo wangu nikikuwa usingizini gafra tulipokuwa tumelala mimi na shem wako Erinest ilifika kipindi usingizi ukakolea mno na nililala fofofo na niliposhituka kwani niliota ndoto majira ya saa kumi ndio ilionifanya nishituke na nikijikuta nikiwa peke yangu kitandani na ndipo nilipo changanyikiwa huku nikifananisha na ndoto nikioota basi nilishika kichwa changu na kufikiria kwenda kumtafuta nikafikiria huwenda yuko mahari na kaniacha peke yangu. Nilishuka kitandani na kuanza kuufata mlango na nilipo ukaribia mlango nae nilikutana nae huku akionekana tofauti na kunifanya niwaze sana juu yake japokuwa sikujua alipokuwa kaenda kwa wakati huo. Nami ilinibidi nimuulize anatoka wapi nae alinijibu anatoka bafuni na ndipo alipojibu hivyo na kuingia ndani na kulala."
kiukweli shem wako siku hizi mbili hata kunipa haki yangu ya msingi kapunguza kwa kiasi kikubwa sijui tatizo ni nini mdogo wangu. 
Nikibaki sina majibu ya kumshauri dada amina kwani mimi ndie niliekuwa kikwazo kikubwa lakini yeye alikuwa hafahamu basi nami sikufanya kama sijui na ndipo nilipo mshauri.
"Dada hapo cha kufanya mpe mda huwenda anatafuta nguvu za ziada pindi atakapokuwa vizuri tu atakupa haki yako na pengine ana yake ndio unapaswaa kukaa nae chini na mtafute ilo tatizo mimi sioni kama shem anamatatizo jaribu kumsikiriza anataka nini na wewe mpange vizuri tuuuu "
"sawa nimekuelewa mdogo wanguuuu "
Alionekana kunielewa lakini mimi moyoni nikijua kila kitu juu ya hilo swala lakini sikutaka kuweka wazi swala hilo kwani nami nilipata kitu roho ikipenda kwa shem Erinest.
Basi alipomaliza kusema hayo nae aliondoka maeneo ya saloon.

Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment