Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

storynzuri sehemu ya therasini na sita shemeji ingiza pole pole

.
.

Sehemu ya therasini ya sita 
Mtunzi IG @hanscharlz @storynzuri
.
ilipoishia "Alipomaliza kusema hayo aliondoka maeneo ya saloon"
.
Na aliondoka na kuelekea nyumbani huku mimi nami wateja walikuwa wakiningoja basi ilinibidi niendelee na shughuri ya kuwa hudumia wateja wangu nami nilifanya hivyo siku hiyo huku kila mteja nikimfanyia haraka mpaka walifurahia huduma basi na siku ilikata pale mimi nilipo funga saloon na kuelekea nyumbani na nilipofika nyumbani kama kawaida nikiingia chumbani kama kawaida na kubadilisha nguo zangu na kuvaa za kazi.
Nilipofanya hivyo na nikiingia jikoni na kuanza kupika na nilipo maliza kupipa chakula nilitenga na kuandaa meza ili tujumuike kwa pamoja basi nikipomaliza kufanya meza ichafuke kwa kile chakula nilichokuwa nimeandaaa mezani basi nikiwakaribisha mezani wote shem pamoja na dada Amina na sote tulianza kula chakula nilichokuwa nimeandaa basi sote tulimaliza kwa wakati tofauti kula chakula na ndipo maongeze yalipo anza kunoga huku dada amina akionekana kuwa mnyonge sana na nikahisi tu kuhusu lile swala alilotoka kuniambia leo mchana lakini sikutaka kuongea au kujionesha kuwa nilicho muhisi dada alihokuwa akiwaza basi ndipo niliposikia sauti ya dada amina ikisikika ikisema.
"Aaaaaaaaah ndugu yangu na mume wangu mimi nina swala langu leo nataka niwajuze nina safari ya kesho asubui na.safari hiyo nitachelewa sana kurudi nyumbani na ninategemea kukaaa huko ndani ya siku saba au sita"
Wote tukishangaaa haaaaah?!!!! huju shem moyoni alionekana mwingi wa furaha kwani hata akuuliza kitu aliposhangaaa basi nami ndipo nilipo sema "Sasa dada mbona safari ya gafra sana kuna nini na unaenda maeneo ya wapi huju tukae tukifahamu uliko hata pindi kitu chochote kikitokea huko tupate pa kukupata dada yangu."
Nae dada akitaka kuonesha usiri lakini ndipo alipo sema
"Haaaaaaah isabela natoka nje ya jiji hili kwa kuna vitu vya ofisini naenda kufatiria sawa mdogo wangu na siunajua saloon pindi ipatapo wateja vitu vichache sasa huko niendako miongoni mwa vitu nitakavyo kuja navyo ni vya saloon yetu na ninataka niifanye iwe ya kisasa zaidi au unaonaje mdogo wangu"
Nami nikiitika "ndio dada na tena utakuwa umefanya jambo la maana sana kwani wengi?"

Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment