Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

StoryNzuri sehemu ya ishirini na sita shemeji ingiza pole pole

.
.

Sehemu ya ishirini na sita 
Mtunzi IG @hanscharlz @storynzuri .
Ilipoishia "niliondoka sebureni na kuwaacha wakiendelea"
.
wakiendelea na ya kwao basi mimi nikiingia jikoni. Nikikuwa nikiendelea na kuosha vyombo jikoni vile vilivyokuwa vichafu tena vilikuwa vimetumika siku iliyopita basi nilishangaa kumuona shem Erinest akiwa ameshika vyombo vilivyokwisha kutumika na akivileta jikoni. Ndipo iliponibidi akifika tu nivipokee na nilipovipokea ilinibidi tena nimuulize "Vipi shem si ungeniita nikaja kutoa vyombo "
"Acha isabela niliona nitakuchoshe tu mpenzi na ikanibidi nimuage dada yako amina nije kukuona kwa style hiyo wala usishituke"
"Shem Erinest mbona hivyo tena unataka kuniletea matatizo mapema yote hiii lakini sinilikuambia kuwa pindi tu dada amina kuzoeana kuishe japo mara moja moja sio mbaya na siyo kila mda tu sipendi kukosana na dada yangu amina please Erinest nakuomba kwani akija kujua tu kutakuwa na baraha hapa ndani "
"Sawa nimekuelewa ngoja niwahi huko nilikokuwa nimemuacha dada yako asije kuchomoka na kunifuata huku na yote usemayo nimekuelewa isabela "
Aliondoka na kurudi alipokuwa dada amina nami aliniacha nikiendelea na shughuri za hapa na pale jikoni. Zilipita dakika kazaa dada amina aliniita ili nimwandalie maji nae apate kuoga nilifanya kama alivyonuambia basi chapuchapu nilifanya na kumuita dada nae akaoge. Aliingia bafuni akimuacha Erinest sebureni akiwa ka keti mwenyewe nami kwa wivu nilionao nilisogea mpaka alipo shem Erinest nae alipo niona tu alininiita.
"Shem isabela vipi dada yako kaisha ingia bafuni kuoga"

"Ndio shem kaingia mda huuu tu mbona "

""Ok sawa nakuomba uje mara moja hapa nakitu nataka nikunongonezeeee isabela ""

"Shem shem lakini wanitakia baraha hapa mmmmmmh "

"Mara moja tu na utarudi na kuendelea na shughuri zako" 
Nilimkubalia hapo hapo nikijua tu dada amina hatoweza kutoka mda 
huo bafuni. Nilipomfikia shem Erinest alinikiss busu zito na kuniambia "Busu hili la kuimalisha penzi letu lisije kushikwa na amina sawa isabela" "Sawa shem nimekuelewa"

Nilitoa tabasamu langu kwa Erinest huku nikisahau tena kuwa dada amina yupo bafuni 

tena mda wowote anaweza kutoka na kunikuta. Nikigeuka na kuanza kupiga hatua kuelekea?

Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment