Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

storynzuri sehemu ya arobaini na moja shemeji ingiza pole pole

.
.

Sehemu ya arobaini na moja 
Mtunzi IG @hanscharlz @storynzuri
.
Ilipoishia "kutimukia mbali kidogo bila ya mru kujua na nilipotoka nje kidogo ya mji"
.
Ilinirazimu kutafuta mahari pa kuweka japo ubavu wangu na kweli nilifanikiwa kupata nyumba ya kulala wageni basi nilifika hapo mda ya usiku na kukuta imebaki nafasi moja tu na ndio ikawa nafuuu kwangu kwani nilizunguka nyumba nyingine na kukuta zote zimejaaaa watu kwa siku hiyo. Nilitumia balance yangu kidogo niliyokuwa nao ili kulipia chumba hicho kwani niliitumia ile nilio fanya biashara kwa siku mbiliii basi nilikabidhiwa funguo na kuingia chumbani hicho kwa mara ya kwanza na kitu nilichooanza nacho ni kuoga nami nilioga kuondoa uchovu niliokuwa nao kwani nilikuwa nimepata huku nikiwaza tu jambo lililokuwa limetokea kwa siku hiyo lakini pole pole nilisemaaaa maneno potelea pote nilisema maneno hayo kwani niliingiliwa na jinamizi ambalo hata mimi sikujua lilipo tokea basi ndipo ilinibidi nijitupe kitandani na mda kidogo ulipita na simu iliita na kuona namba ile ile nikiokuwa nimeitafuta ndipo nilipifikiria ndio yenyewe basi nami niliipokea simu hiyo huku nikiwa na furaha kidogo.
"Haaaaaaallllllloooooooooo"
"Yes!!! Nani mwenzangu kwani namba yako ilinitafuta mda mrefu kidogo"
"Haaaaah ni mimi isabela uliye nipatia namba yako siku moja hivi ulinipatia lifti kwenye gari yako.
Nilikuwa nikiongea kwa uoga sana kwani furaha yangu ni kumpata na kukutana nae ile anitoke kwenye janga hilii tutakapo kaa na kutatua kwani aliniambia pindi nitakapo pata tatizo au jambo lolote nisisite kumtafuta nami sikuona kama nimechelewaaaa kwani hazikupita siku jambo ndio likatokea basi nami ilinibidi nifanye hvyooo nae aliponikumbuka tu na kusemaaa.
"Hooooooooh! Kumbe ni wewe habari za siku kwani ni mda kidogo sana ndugu yangu hata kunitafuta kwani kwa sasa uko maeneo gani? japo nije tuongeee maneno mawili matatu au unasemaje kwa naona mda bado"
Alionekana kuwa na moto mkali kwa style aliokuja nayo huku akiniweka kwenye wakati mgumu kwani aliponiomba tukutane nae basi nami nilimwambia.
"mmmmmmmmmh! jamani nipe mda hata kesho waweza kuniona kwani mda huuuu nimechoka sana ndugu yanguuu.
Nae alijibu huku akitoa alama ya mshangao"

Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment