Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

Storynzuri Sehemu ya kumi na sita shemeji ingiza pole pole


Sehemu ya kumi na sita 
Mtunzi IG @hanscharlz @storynzuri .
Ilipoishia "hapana niko poa tu "
.
alikata simu huku akiniweka kwenye mawazo huku nikiwaza na maswali mengi huku yakikosa majibu juu ya simu aliokuwa kanipigia wakati huo kunitakia kazi njema.
Niliwaza kidogo lakini upepo ulipo pita nayo yote nilisahau na kuendelea na shuguri zangu na ikipofika majira ya jioni mda ya kufunga saloon nayo niliifunga ili hali niwahi nyumbani kumuandalia chakula cha usiku shem wangu kwani hakukua na mfanyakazi wa nyumbani tulikuwa wawili tu mimi pamoja na shem Erinest. 
Nilifika nyumbani mapema kwani haikuwa kawaida yangu kufika wakati kama huo nae alinikalibisha huku akionekana mcheshi na mwenye tabasamu zuri "amakweli Erinest wewe daaaah" maneno hayo nilijisemea mwenyewe huku nami nikitoa tabasamu kulipokea lile alilinioneshea shemu Erinest. 
Nikiingia chumbani ili niweze kubadilisha nguo na niingie jikoni kuandaa chakula. Nilofanya hivyo kubadili nguo na kuvaa za kazi niandae vizuri. Nikipika na kuhakikisha kinaiva vizuri na kupeleka mezani na kumkalibisha shem Erinest nae alijongea mezani kwa ajili ya kupata mroo wa siku hiyo huku nikiqa na yangu moyoni sokutaka aangaike nami siku hiyo nilipania nipike vizuri niwezavyo ili shem Erinest apate kuupenda na kuutamani pamoja na kufurahia siku hiyo toka kwangu.
"Mmmmh shem kabla sijapakua chakula cha leo daaah cha nukia hatari cha vutia sanaa "
Maneno hayo aliiongea pindi alipofunua chakula tu kwani harufu ilikuwa yenye kunikia na kutapaaa maeneo hayo yote.
"Yaaah! Shem leo nimepika vizuri ule ushibe mpaka ukikimbie mwenyewe "
Alikula chakula kile huku akiwa akinisifia sana kuwa ni mpishi mzuri na mwisho alikifurahia zaidi kwali alitokeaaa kivutiwa nacho sana kuzidi vile nilivyokuwa nazani mwenyewe.
Tulivyo maliza kula sote kila mmoja aliekea anaki lala lakini cha kushangaza Erinest mda ya saa saba (7) aligonga chumbani kwangu.
"Ohooooodi "
"Ohooodi "
"Ohoodi "
Nilishituka sana kwa mpigizano wa mlango sikutaka kuitika mpaka pale niliposikia vizuri sauti na.kujua ni shem Erinest.
"shem kulikoni tena usiku wote huuuu kwenye milango ya watu"
"Nifungulie kwanza mlango tutaongea vizuri kwani kilichonikuta huko"

.
GROUP NOW LIKO OPEN KWA SHS 5000 FULL STORY 
CHECK WHTSAP NO : +255652486818
Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment