Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

Storynzuri Sehemu ya kumi na tano Shemeji Ingiza Pole Pole


Sehemu ya kumi na tano 
Mtunzi IG @hanscharlz @storynzuri
.
Ilipoishia "alielekea mpaka kwenye mlango na alipofika aligeuka"
.
Alinitazama ndani ya dakika kaza huku nilivyoona hivyo nami nilishusha macho yangu chini kwa hofu kubwa ikichangiwa na aibu kali sana. Nilipoona akizidi kunitazama nami ilinipasa nielekee jikono kuendelea na shuguri niliokuwa nimeiacha ya kupika chakula cha siku hiyo 
Nilimaliza kupika na niliandaa meza fasta ili tu atakapotoka kuoga shemeji akute chakula kiko mezani. Basi nilipanga vizuri meza na kuweka kila kitu kilichokuwa kikihitajika kwa wakati huo na huku nikiwaza ukope alionipiga nao shemeji (kunikonyeza).
nilichukulia kawaida na alipotoka tulikula chakula na kufurahia kwa pamoja na siku hiyo ilikata kwa kila mmoja kwenda chumbani mwake na kuuchapa usingizi.
asubui kulipambazuka nami kama kawaida yangu nilijiandaa kuelekea kazini lakini niliakikisha na muandalia chakula chem wangu na nilipotaka kuondoka ilinipasa nimkalibishe na kumuekeza "Shemeji za asubui "
"Nzuri "
"Umeamka vipi na uchovu wote wa jana pia safarini "
"Haaaah! niko poa kwani siku ilienda vizuri kwangu na pia nishakuwa mwenyeji shemeji yangu hofu kwako labda "
"Mimi niko vizuri sana lakini shem nataka kuelekea kazini lakini kuna chai nimekuandalia mezani lakini sito kawia kurudi nyumbani leo "
Sawa shemeji kazi njema mimi utanikuta nimejaaaa telee nakungoja.
Niliondoka mara moja na nilipofika ofisini kama nilivyoo zoea niliendelea na huduma kwa wateja wangu.
Nilipokuwa nikiendelea na kazi na simu iliita kuona jina la.mtu aliepiga nilishituka nikajiuliza "vipi tena nyumbani shemu ananipigia mara hiii simu Ebuuu! Ngoja nipige nijue kuna nini "
"Halooooh shem wangu "
"Poa vipi kazi zinaendaje huko "
"Haaaaah kazi ziko poa namshukuru mungu ziko poa japo changamoto huwa hazikosi siku zote "
"Oooook! sawa nikikuwa nakutakia kazi njema Na iwe nzuri hapo kazini kwako "Sawa shem asante pia vipi lakini kuna kitu kimepungua nyumbani au vipi ."
"Hapana niko poa tu hakuna kitu"

Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment