Sehemu ya kumi na nane Mtunzi IG @hanscharlz@storynzuri . Ilipoishia "baada ya kuona nimezidiwa kwa vyote ilinibidi nichomoke " . Nilichomoka na kuelekea jikoni ili niandae chai na niwahi kazini. Nikifanya hivyo huku nikifanya haraka na upesi na wakati nimemaliza sikutaka kumuaga shem nilinyata nyata kuuwai mlango na ndipo shemu kuniona na kuniita tena nilishituka sana na kuwaza anachoniitia ni kipi. "Shem shem shem isabela " "Nambie Erinest lakini mimi nawai kazini naomba tutaongea nikirudi sawa shem " "Mmmmmh! shem kweli ombi langu umelikataaaa naomba uje japo mara moja lakini sawa nikitaka kukuambia kitu shem wangu tena kizuri utafurahia mwenyewe " "Mimi shem nawahi naomba ridhaaa yako niende nikirudi tutaongea wala usiwe na wasi wasi hapa ni nyumbani hilo ondoa hofu litunze tu jioni ikifika nambie sawa shem " Niliondoka huku nafsi yangu ikitamani kurudi japo kusikia kile alichotaka kunambia lakini niniliogopa mnooo juu ya kitu alichotaka akitaka kuniambia huku hofu kubwa juuu ya kitu hicho kutendeka kati yangu na shem Erinest. Mawazo yalikuwa mengi siku hiyo kwani hata kazi sikufanya ipasavyo juuu ya jambo hiloooo Jioni ilipofika nikilejea nyumbani na nilimkuta shem akiwa jikoni akiandaaa chakula nami kuona hivyo nilipigwa na butwaaaa kubwaaaa kwa kile alichokuwa akikifanya jikoni. "Sheeeeeeeeeeeeeem! Erinest kulikoni leo jikoni " "Isabela ndio umefika karibu tuungane na tusaidizani kufikisha gurudumu hili la upishi leo" "Shem unajua kupika kweli kwani muonekano wako ni tofauti sana na uvifanyavyooo " "Haaaaaah! ujawahi kumuuliza dada yako Amina na kukuambia kuwa mimi ni fundi wa kila kitu" "mmmmmh ajawahi kuniambia kitu kama hicho ndiyo mara ya kwanza hiiii kukuona lakini waonekana tuuuuu Hongera zako " "Basi na leo utakula chakula nacho kiandaaa mimi kwa mbwembwe zote" "Sawa nakisubilia kwa hamu yote chakula chako shem nione juhudi zako leo" Niliingia chumbani kubadili nguo nilizokuwa nimevaa ili nirudi tena jikono kumsaidia shem kazi ndogo ndogo zilizopo. "shem nimekuja japo nikusaidie japo kazi mbili tatu " "Etiiiiiheeee basi sawa njooo japo uniosheee hiki chombo nipate cha kuwekea hiii mboga " Nikishika chombo kile kama alivyoooniambia kukiosha.
0 comments:
Post a Comment