Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

storynzuri sehemu ya kumi na tisa shemeji ingiza pole pole


Sehemu ya kumi na tisa 
Mtunzi IG @hanscharlz @storynzuri .
.
ilipoishia "nikishika chombo kile kama alivyoniambia kukiosha "
.
Wakati nikipitisha maji ya mwisho chombo hicho shem Erinest alikuja nyuma yangu na kutaka kunielekeza jinsi ya kuosha vizuri chombo hicho. Basi alianza kunishika kiuno huku akifatisha mikono yangu inapoelekea na ndipo alipoipata na kuishika kwa pamoja huku akinifundisha taratibu alinifundisha nami akili yote iliama na kusahau nini nafanya ama kweli shem Erinest ni mkufunzi mzuri mno nami niliamini yale maneno ya dada amina. Aliendelea kidogo na alipofika katikati gafra aliniacha kwenye hali ngumu huku nami aliponifikisha nilitamani aendeleee japo kidogo kwani utamu ulinoga. 
Alimaliza kupika na kuweka kila kitu na kuanza kupanga meza kama ninavyo panga mimi na kuweka chakula mezani.
Tulielekea sote huku mimi nikimtazama mnoooo! Erinest huku nae nikimuangalia alikuwa hata aoneshi chochote kitu zaidi ya ucheshi niliouzoea mda huo.
Tuliketi kwa pamoja na kuanza kula chakula huku nami kiukweli kila nilipokuwa na nyanyua kijiko changu huku macho yangu yalimtazama shem Erinest huku na kule nikizungusha macho yangu huku nikitamani kile alicho taka kuniambia asubui nikipenda aniambie wakati huo.
Tulielekea kuangaliana mpaka sote tulipomaliza na kila mmoja ulipofika wakati wa kupeleka chombo jikoni nami nilikuwa wa kwanza kupeleka sahani yangu na huku shem Erinest nae aliponiona tu nae alichomoka alipokuwa amekaa na kuongozana nami. Nilifikisha sahani yangu na nilipokuwa nageuza kurudi sebuleni nilimuona shem nae speed kali na kunifikia karibu yangu alinikonyeza nusu ukope huku nami nilipigwa na butwaaaa!!!!!! kwami alikwisha niteka akili yangu tangu jikoni sasa ananikonyeza.
aliweka sahani yake pia na kunifata nilipo na ndipo aliponishika kiuno na mikono yake yenye kujaaaa mahaba na amsha amsha ya mwiliiii wangu nami niligeuka kwa hofu huku nikijiuliza "shem wangu leo ananitaka nini kutoka kwangu!!!!!" alianza kupandisha juuu mikono yake huku mimi nijitaidi kumzuia asifanye anachotaka kufanya kwani nilikuwa sijielewi mda huo.
"shem jamaani unataka kufanya nini nambie basi "
"Isabela bwana mpaka wakati huuuu ujui nataka nini kutoka kwako?"

Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment