Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

Storynzuri Sehemu ya kumi na tatu Shemeji ingiza pole pole IG @hanscharlz @storynzuri

                                 

Sehemi ya kumi na tatu 

Mtunzi IG @hanscharlz @storynzuri..ilipoishia "nilihisi nami wanaweza kuniingiza kwenye kesi ile ".Zilipita siku kazaa hali ya maeneo yote zikawa shwari juu ya kusambaa kwa kesi ile ya dada amina huku kila mtu kasahau yale yote nami niliendelea kufanya kazi na huku faida nili hifadhi vizuri zote nilizokuwa nikipata.Siku zikakata lakini siku moja simu ilipigwa ngeni huku ikinishitua sana kwani sikuzoea kupokea namba kama hio nilijifikilia sana jinsi ya kuipokea namba hiyo huku mikono yangu ikitetemeka na hofu jingi likinitawala lakini ilinibidi nijitoe ufahamu na kuipokea namba hiyo huku nikiwa kimya mara sauti ilizungumza niliifananisha na niliendelea kuisikiliza ndipo nilipoinasa na kuijua ni ya dada amina Isabela "halllooo!!!!!"+2228 "hallo! habari mpendwa mzima wa afya "Isabela "mzima lakini samahani nani mwenzangu "Niliuliza ili kusibitisha kuwa ni yeye au laaaah +2228 "Hoooooo! usijali kwani unayezungumza nae hapa ni dada yako amina namba yangu mpya hiyo niko nje kidogo.ya mjii "isabela "mmmmmmh dada kulikoni mbona kmya sana "Tulielewana vizuri na ndipo katikati ya maongezi akanambia kuwa kuna mgeni atakuja siku yoyote na aliniambia kuwa ndie mume wake yani kwangu mi "shemeji "Atakuja likizo ya mwaka mmoja kupumzika Tanzania.Zilipita siju kazaaa hali ilizidi kupungua na kurudi tena vizuri polisi waliacha kufatilia nami nilikuwa nisha rudi kwenye nyumba ya dada amina. Kawaida siku ya jumapili huwa siendi kazini na ninakuwa tu nyumbani kwa pumziko la week asubui simu ilipigwa na namba ilikuwa ngeni nami nikajua ni dada amina tena rabda katumia namba nyingine ""Halllloooooo ""Halloooo ""Samahani nimepewa namba na mpenzi wangu amina na kuniambia kuwa wewe ndio utakuwa mwenyeji wangu niko air port sasa nachukua gari nakuja huko nyumbani sawa ""Hoooooooo kumbe karibu sana shemeji tutakuwa pamoja tena niko nyumbani utanikuta"Alikata simu na nikifanya upesi kuweka mazingira safi kwani nilizoea kujiachia sana kila siku na nilipomaliza nilirudi sebureni kukaaa nikimsubilia shemeji yangu "Erinest"

Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment