Logo Design by FlamingText.com
Logo Design by FlamingText.com

Storynzuri Sehemu ya kumi na nne Shemeji ingiza pole pole



Sehemu ya kumi na nne 
Mtunzi IG @hanscharlz @storynzuri 
Ilipoishia "nilirudi sebureni huku nikimsubilia shemeji wangu Erinest "
.
Kama nitajia jina dada amina huku akimsifia sana Erinest mno mno huku nikiwa na hamu ya kumuona kwani sifa zilizomwagika hazikuwa za kitoto alinsifia sana tena sana.
Nilipumzika dakika chache na ndipo mlango uliposikika ukigongwaaaa! Kwa muitikio wa aina yake nami nilinyanyuka na na kuelekea kuufungua mlango huku nikifikilia kuwa ndiye shemeji Erinest niliufungua na kuona nyuso mpya nzuri tena alionekana kuwa handsome na nikajiongeza ndie Erinest. Kiukweli dada amina alimsifia halali sifa alizompa alikuwa akisitahili nami kimoyo nilimpa sifa zote alizokuwa akimpa dada amina. Nilimkalibisha ndani nae aliingia huku akishaa mazingira ya ndani.
"Karibu sana shemeji yangu "
"Asante sana nami nimekaribia"
"ok! Waweza kuketi hapa nikuandalie maji japo nae uondoe uchovu "
"Sawa nashukuru sana wala usijaliiii "
Niliingia jikoni na kupasha maji ya moto ili atakapooga afulaie maji yale na yalipo chemka kiasi nilimpelekea bafuni.
Na nilipokwisha kuweka nikielekea sebureni tena kumuita shemeji Erinest ili nae akafanye yake bafuni (kuoga)
"shemeji nishakuandalia maji waweza kuongozana nami nikuelekeze bafu lilipo"
"Sawa usijali samahani waitwa nani "
"Mmmmmmmmh shemeji dada amina hakukuambia jina langu "
"Yaaaah shem kwani alinipatia namba zako tu na hakuniambia fika jina lako kwani simu ilikata gafra siku hiyo "
"OK sawa naitwa isabela "
"Oooooh! Sawa ninefurahi kukufahamu shem wangu! Basi ngoja nioge then tutafahamiana zaidi "sawa ondoa uchovu ulionao huku mimi naenda jikoni kuandaa chakula ule shemeji yangu "
Nilielekea jikoni kuandaa chakula ili shemeji erinest aweze kula kama dada amina alivyo nambia nimjari kama navyo mjari yeye kwani ilikuwa ndio mboni yake na alimpenda sana.
Nilifanya hivyo nae alipomaliza kuoga nami nilikuwa bado sijamaliza kuandaa chakula nami ilinibidi nikatishe na nimuongoze mpaka anapotakiwa kulala kwenye chumba cha dada amina.
"Aaahaa shemeji samahani chumba cha kulala wewe ni hicho unachokitazama na funguo ndio hizi "
"Asante isabela "
Alianza kupiga hatua kuelekea kwenye chumba hicho na alipofika mlangoni? 

Share on Google Plus

About storynzuri

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment